CHRONOLOGY YA MATUKIO MUHIMU KUHUSIANA NA HII CASE YA “TROJAN HORSE” (tuiite CTH)
CTH
…………………….inaendelea
Tukio hili la CTH halikuwa la kwanza bali kuna jingine ambalo mhusika aliwahi kukumbana nalo May mwaka huu na ambalo aliwahi kuleta taarifa zake kupitia post hii hapa
#2,046
Tukio hili nalo lilwahi kuangukia kwenye CTH isipokuwa mhusika hakuweza kuliongelea kwa mlengo huo kwa sababu ilikuwa ni simple case
CHRONOLOGY OF EVENTS KUHUSIANA NA CTH
JUMATANO ASUBUHI YA WIKI HII; TAREHE 28/08/2024
J5 asubuhi mhusika alifika ofisini na kukuta OM-2 ameshafika ila akaacha begi na kutoka kidogo; na hakuwa ameweka laptop yake kwenye Meza yake
Kwenye majira ya saa 4:30 asubuhi mhusika alifanya muamala huo anaoungelea hapa na hatimaye fedha yote kuelekea kwenye account ya mtu mwingine;
na wala hakuwa amekosea kuandika namba yake ya simu
- Wakati mhusika anafanya muamala huo OM-2 alikuwa bado hayupo ofisini
- OM-1 naye alikuwa bado yupo safari na huyu yeye alirejea usiku wa manane wa J4 kuamkia jana J5
Baada ya mhusika kugundua kuwa fedha yake ilienda kwingine badala ya kuingia kwenye account yake, aliamua kuharakisha kwenda kwa Service Provider (SP) wa mtandao wake wa simu na
hadi inafikaa saa tano Kasorobo, mhusika alikuwa tayari amesharipoti kwenye ofisi za SP wake
Kabla ya kuondoka kwenda kutoa taarifa kwa SP,
mhusika alijaribu kuipigia simu mara moja namba iliyokuwa iepokea fedha hizo lakini ilikuwa haipatikani
- Pale Customers Service (CS) aliwakuta staff wawili wa kiume na wote walikuwa wamekaa viti viwili vya mwisho kama unaingia, na vya mwisho kushoto kama mtu anai-face counter ya CS
- Pamoja na kuwa walikuwa wanaedelea kuhudumia wateja wengine, mhusika aliwaeleza kuwa alikuwa na emergence na hapo mmoja wao aliamua kumsikiliza mhusika
Mhudumu alliyemsikiliza mhusika alikuwa kijana mweusi umri karibia miaka 35 na mrefu wa wastani
Baada ya kumtajia namba ambako hela zilikuwa zimeenda; mhudumu
alimhakikishia mhusika kuwa hela hiyo ilikuwa bado hajachukuliwa na hivyo kumshauri mhusika awahi Benki ili waweze kuirudisha kwenye account yake mhusika, huku yeye akiwa ame-block temporarily account iliyopokea hela kimakosa kuhakikisha kuwa hiyo hela haitoki tena kwenye account
Kwa uelewa wake mhusika kwenye maswala haya ya transactions; kuanzia pale sasa liabiility ya fedha hizo ikawa imetoka kwa ISP, kwenda kwa Benki ya mhusika;
pending Benki husika kuko-confirm kwamba kweli hela hiyo ilikuwa kweli bado haijavchukuliwa na mtu aliyekuwa ametumiwa kimakosa
BAADA YA MHUSIKA KUWA AMEFIKA BENKI
Baada ya kuwapa details walizozihitaji, Benki nao walianza kufanya mawasiliano yao ya simu kwanza
muda huo huo na hatimaye wali-confirm kuwa hela hiyo ilikuwepo na kwamba ilikuwa bado haijachukuliwa
Kuanzia pale sasa liability ya fedha hizo ikawa imekuwa tranfered kutoka kwa SP kwenda Benki kwa sababu Benki wali-confirm kuwepo kwa fedha hiyo na wao ndiyo waliokuwa na mamlaka ya kuzirudisha kwa mteja wao
Baada ya hapo mhusika ndiyo akapewa taarifa kuwa swala lake litashughulikiwa ndani ya masaa yasiyozidi 72 na alipoona muda unakuwa mrefu kidogo aliamua kuonana na Manager; ambaye naye alisisitiza kuwa muda anaotakiwa kusubiria maximum ni huo; ila pia unaweza ukawa pungufu ya pale
- Mhusika alikubaliana na ushauri wa Manager na baada ya hapo, alienda kaunta na kwenda kuchukua kiasi kidogo cha fedha iliyokuwa imesalia kwenye akaunti yake
- Notification ya sms ya muamala huo alioufanya pale benki iliingia kwenye simu yake saa 5 na dakika 24, ikiwa ni dakaika chache tu baada ya kuwa ameufanya
- Kabla ya kutimia saa sita kamili, mhusika alikuwa tayari amesharudi tena ofisini
DAKIKA CHACHE BAADA YA MHUSIKA KUWA AMERUDI OFISINI; OM-2 NAYE ALIREJEA
Muda mfupi tu baada ya mhusika kurudi kutoka benki, OM-2 naye aliingia ofisni; alikuwa anatokea kwenye Kikao.
OM-2 alirudi ofisini ikiwa ni takribani dakika 5 tu baada ya mhusika kuwa ametoka Benki
Hapo mhusika aliamua kumshirikisha OM-2 kuhusiana na kile kilichokuwa kimempata; na OM-2 naye alimpa pole mhusika
Hiyo siku ya J5 ikapita
BAADA YA MASAA 24 KUWA YAMEPITA; JANA ALHAMIS SAA TANO NA ROBO ASUBUHI
Mhusika akaona ujumbe kutoka kwenye
simu binafsi ya mkononi ya mfanyakazi wa Benki uliokuwa unamjulisha
kuwa Benki wameshindwa kuiridisha fedha kwenye akaunti yake kwa sababu mwenye simu aliichukua
- Ujumbe huo aliusoma angalau saa moja ikiwa imepita baada ya kuwa umeingia simu
- Kwenye muda wote wa aubuhi hiyo; OM-2 alikuwa hayupo ofisini na aliingia kwenye mida ya karibia saa 5 na nusu hivi
Wakati OM-2 anaingia ofisini kwa mara ya kwanza siku hiyo, ujumbe wa kutoka Benki kuja kwa mhusika ulikuwa tayari umeshaingia, n
a hivyo OM-2 aliingia ofisini jana Alhmis, ikiwa ni dakika chache tu baada ya ujumbe kutoka kwenye SIMU BINAFSI YA MFANYAKAZI WA BENKI kuwa umeingia kwenye simu ya mhusika
Baada ya muda mfupi kupita kabla mhusika hajauona na kuusoma ujumbe kutoka kwa mfanyakazi huyo, OM-2 alitoka tena kidogo nje ya ofisi na safari hii wakati anarejea,
alimkuta mhusika ndiyo anamalizia kuisoma message ya ujumbe huo kutoka kwenye simu ya mfanyakazi wa Benki
- Ujumbe huo ulikuwa unamshauri mhusika akaifuatile tena hela hiyo kwa SP au ampigie mtu mwenye namba ambayo hela ilikuwa imeingia kwake
- Mhusika aliamua kumshirikisha tena OM-2 na muda mfupi tu baada ya pale, mhusika aliamua kuelekea Benki
Nia ya kwenda Benki ilikuwa ni kwenda kuchukua official notification letter kutoka kwa Branch Manager, inayomthibitisha kuwa Benki walishindwa kuirudisha fedha yake; ikiwa kama ni ushahidi kwa SP ambaye mwanzoni wa mchakato huu, alimthibitishiamhusika kuwa hela yake ilikuwa haijachukulia na mteja wao aliyekuwa ameipokea kimakosa
Mbali na hilo, SP alikuwa pia amemhakikishia mhusika kuwa ali-block namba ya mteja huyoi ili asiweze kuzichukua fedha hizo
Kwa hiyo hadi kufikia hapa,
swala la mhusika kuonekana tena ofisini kwa SP bila uthibitisho kutoka kwa Branch Manager, ZINGEKUWA NI FUJO na SP angeweza kuwa na haki ya kumchukulia mhusika hatua zozote just in case
AKIWA ANAELEKEA BENKI JANA BAADA YA KUWA AMEPOKEA UJUMBE
COINCIDENCE MUHIMU ILIYOJITOKEZA BAADA YA KUWA AMETOKA NJE YA GATE LA JENGO LA OFISI YAKE
Pale kwenye parking, alikutana na mtu wake wa karibu ambaye naye hapo kabla aliwahi kuwa staff wa Taasisi, ila aliondoka kwenye mazingira ya kutatanisha kidogo na yaliyopelekea hadi mwajiri wake kutoa notice gazetini iliyokuwa ikimhusu mtu huyu
- Hii ilikuwa ni mara ya tatu kwa mhusika kumuona tena kwenye mazingira ya taasisi, tangu mtu huyu apatwe na mkasa huu
- Mara ya mwisho mhusika aliwahi kumuona takribani miezi mitano iliyopita na alisema kuwa alikuwa anelekea Library ya zamani
- Mara ya kwanza mhusika aliwahi kumuona kwa mbali na hawakuweza kusalimiana; na ilikuwa ni zamani kidogo possibly mwaka na ushee umepita
Mbali na hayo,
mara ya mwisho mhusika aliwahi kuongea na mtu huyu akiwa bado ni staff wa taasisi; ilikuwa ni siku ya uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015; na waligongana meaeno ya Mwenge Sokoni
Baada ya mhusika kumaliza kupoga kura siku hiyo, alielekea Mwenge sokoni na huko ndiko alikokutana na mtu huyu
Ikumbukwe kuwa asubuhi ya siku hiyo wakati yupo kwenye foleni ya kupiga kura, mhusika aliwahi kukoswa koswa na tukio lislokuwa zuri, ambalo aliwahi kulileta humu kupitia
baadhi ya maelezo yaliyopo kwenye posts hizi hapa
#776 #798 #1,029
CTH
………….inaendelea