Mkasa wa kweli: Leo nimetua mzigo mzito wa mahusiano

Mkasa wa kweli: Leo nimetua mzigo mzito wa mahusiano

PART SEVEN


Ilipoishia

Niliamua kumuita sehem tulivu ya wazi, nilimchomoa Chuo siku hiyo nilimpa busu za kutosha kukata kiu yake nadhani hakuamini kama ningeweza kufanya tukio lile pale hadharani.

Hii ilikuwa ni mbinu ya kimafia kwani itamfanya awe na maswali na kukufikiria mda wote.

Endelea...

Sikutaka maneno mengi siku hiyo, tulikuwa maeneo ya sinza mori kule wanapouza ice cream nimepasahau jina, baada ya hapo nikamrudisha chuo. Rasmi sasa nimeingia kwenye dunia aipendayo.

Msg za mahaba zikawa zinamiminika, nikawaza ipo siku wife atakuja kuona na ikawa balaa. Ikanibidi nimjulishe wife mapema kama kuna dogo ananielewa nimeshamchimba sana biti naona haelewi, wife alinijibu we ni mtu mzima. Nikajua mtego huu.

Kusema ukweli wife ni mtu fulani hivi cool anapenda kufa na vitu moyoni, siku ukija utamkuta analia af kosa umelifanya majuzi huko. Sasa kwa hali hii na kwa imani yangu nilipanga kutomfanya ajute kunifaham. Ukizingatia wakati na hustle boom zake za chuo amenipa sana kunisuport so niliamua kumheshim.

Niliona ipo siku nikiwa nimelala anaweza nitia bisu watu wa namna hii hatari sana. Kuna jambo aliwahi lifanya lilinistua sana na kuamua kuwa mtakatifu kwake. Kuna siku nilikuwa na usingizi mzito, kama mida ya saa nane usiku haja ndogo ilinibana, ile kupata ufaham naona mtu anaongea maneno ambayo siyasikii na kaweka mkono wake kifuani kwangu, kumbe alikuwa ananiombea hhahaha mimi hapo ndo kwanza imani inatetereka.

Ilinibidi niuchune kwanza nilivoona amalizi nikajitikisa kidogo, mana warokole ukiwapa hata nafasi ya kuombea chakula, wanaomba kama wanatoa pepo. Nikaona nisije kesha na mkojo unauma ya nini nijikojolee.

So katika kupanga tahadhari zangu nilitumia mbinu moja ya kivita, hiyo siku nilichati na Recho then nikamwambia sikutaki tuachane, kumbuka hapo natengeneza mbinu ya kivita kwa wife.

Recho alijibu msg ndefu ya kulalamika oo sjui me nakupenda na nn maelezo kibao, chini nikajibu msg moja tu me nna mke achana na mm. Simu iliita kama mvua na ndo point niliyokuwa naitaka, kwenye maongezi nikamwambia nilikuwa nakutania. Akalialia pale yakaisha.

Zile msg nilikuwa na kazi nazo nilifuta ile niliyomuandikia tuachane ikabaki aliyokuwa analalamika na niliyomjibu tu, siku narudi hom nilijifanya nimechoka simu nikaiweka kihasara hasara nikijua wife atasoma tu, na kweli mpango ulitiki tutaona huko mbele ilikuwaje.

Mawasiliano yetu yaliendelea kuwa siri, kama mnavojua mapenzi ya madem wadogo mara katuma video anacheza na chupi tu, mara akutumie maziwa view once basi tabu mtindo mmoja.

Mara nyingi mabalaa yangu ya kuchati nilikuwa nafanya njiani, napack nachati nikilizika ndo narudi hom, nikijifanya mtakatifu.

Mwaka huo huo 2025 nilifanya kazi moja ya uaminifu kuna mzee alikuwa na canter yake inahitaji spare ile kazi niliunganishwa na nilikosa boda, so nikaamua kupeleka mwenyewe kama boda.

Nilifikisha mzigo na sikutaka nilipwe nauli, kumbe faza alilengeshwa na mtu kwamba dogo atakufaa kwenye kazi zako, so kitendo cha kutodai nauli kilikuwa CV tosha ya kuniingiza kwenye kazi zake moja kwa moja.

Part hii kuna baadhi ya vitu nitaficha sana uhalisia kwasababu nilifanya sana kazi na serikali, so yatakayoongeleka hapa yana uhalisia uliofichwa kiundani. Tutasameheana kidogo.

Picha linaanza faza ananisaili, tumuite mzee kipara. Mzee kipara ni mzee ambaye ana connection za watu wengi wakubwa mjini, sijui amefahamiana nao vipi, na wote wanamfaham. Yaani itokee unahitaji kitu chochote, mahala popote kwa asilimia kubwa utasiiia nina mtoto wa mjomba angu pale ngoja nimpigie, mara nina shemeji yangu. Me mwenyewe akili nyingi najua kabisa wengine sio ndugu zake.

Sasa ana story flani hivi za kimitego usipokuwa smart unajikuta unabwabwaja. Nakumbuka gari yake pendwa ni Landcruiser LC 300 Ndiyo nimemkuta nayo, so kuna muda anakula hadi hii mihogo ya mia mia, kuna muda tunaingia kwa mama ntilie kisingizio anapenda mlenda. Me nilishajua baadhi ya movement nilikuwa nasailiwa nifanye kazi zake.

Hapa nataka niwaeke sawa kidogo vijana. Jitahidi ukipata mtu akaamua akusaidie, usimuoneshe shida zako. Vijana wanapenda kupiga vizinga mara kodi imeisha, mara mtoto anaumwa n.k usimtamkie sana shida unazopitia ishi as if haumuhitaji sana huyo mtu.

Kama kijana jitahidi kuwa mwaminifu hata kwa kidogo, vijana wanatabia ya kumkadilia mtu uchumi wake akipewa pesa chenj ikibaki buku 5 anaasume huyo mtu ana hela so anaizuia. Penda sana kutoa taarifa ya kila kinachobaki kwenye pesa na urudishe. Ridhika na maisha yako.

Watu wengi sana wanapenda kupima uaminifu kwenye pesa. Sasa ukishapass hapo wanakuwa huru kwako huchunguzwi tena labda siku aamue kukutega, sasa hapo ni akili zako kukwepa mitego lakini ushakabidhiwa dunia ya mafanikio.

Bas bwana Mzee kipara alipenda sana uaminifu wangu, nilijitahidi kila kazi ninayopewa nahangaika mjini napata bidhaa zile za jumla kabisa, vijana wanaita bei ya mazoezi. Nilikuwa nipo tayari kulipa hela ya winga kutoka mfukoni kwangu ilimradi tu nijue machimbo ya vitu mbalimbali.

Kiukweli sikujua mzee kipara hasa anafanya kazi gani yeye kila kitu anafahamu. So ndani ya muda mfupi nilijua machimbo ya bidhaa kibao, hadi viwandani kote nimechafua.

Nikawa Mafia, baadhi ya kazi nilikuwa nalengeshwa anasema za rafiki zake siwezi kuziweka hadharani, kuna siku nilitakiwa niingize mzigo somewhere ulinzi wa kutosha, walikuwa na mashaka sana na hiyo kazi kama ntakamilisha, kuangalia ukubwa wa mzigo kwangu ilikuwa jambo jepesi sana.

Huwa nina kanuni moja nikifika sehemu nahitaji info ama nataka kufanya mchezo haramu, huwa naanza na mlinzi wa getini hawa majamaa ukiwaona ni kama wajinga hivi, wanaelewa vitu vingi mno. Na wanajua mipenyo mingi mno ambayo unaweza kamilisha mambo yako kwa wakati. Muhimu kuongea nao vizuri.

Ni kama kwenye kutafuta machimbo k.koo nilikuwa na deal na wasambaa, hawa watu nimewavilia mikono wana info zote za k.koo, kuanzia wamiliki wa maghorofa k.koo, wapangaji, kazi wanazofanya, mastore yaliyopo k.koo yaani ushindwe ww.

Hapa nna hakika kuna watu watakuwa wamepata kitu kikubwa siwezi kufunua kila kitu.

Basi bwana siku nakabidhiwa mzigo nikachukua pkpk chap mpaka kwa mlinzi alikuwa mtu mzima kuelekea uzee. Nikapiga nae stor 2 tatu, nkamwambia ndani humu spend kupaki pkpk wazee wetu hampati rizki, so akae nayo kwenye kibanda chake nikampa na buku 2 ya chap.

Mzigo wangu hapo nimeweka ndani ya helmet af ipo kichwani, nilikuwa na kahelmet kadogo cha kibishoo unaweza tembea nacho kama kofia. Kufika kwenye scanning moyo wangu umetulia tu, najua hawa wajinga wanaanzia kwapani, kuelekea chini, kweli kama nilivyozoea, baada ya sekunde nipo ndani na mzigo.

Nikatafta mbinu ya kufikisha kwa wahusika wakawasiliana wenyewe mchezo ukaishia hapo. Nilioga maswali mfululu juu ya kupita na mzigo pale kwa walionituma, nilificha tu nikawaambia hawakuniscan. Nikala ganji ya kutosha siku hiyo.

Maisha yaliendelea Mzee kipara alinikutanisha na watu wazito, nikihitaji kuchange dolar kanikutanisha na mtu mkubwa tu anamiliki bureau change, nikikwama popote alihakikisha napata msaada chap. Huko kote alinitambulisha kama mwanae. Rasmi sasa nipo kazini. Nilipiga madili ya hela ndefu kwa uaminifu mkubwa mno, alizidi kunifurahia.

Hapa sitayaeleza haya madili kidogo pia tusameheane, yanahusu serikali.

Huku mapenzi na Recho yalikolea nikaona nitengeneze account facebook yenye jina la uficho, tuwe tunachat kule tu. Account haikuwa na rafiki hata mmoja zaidi ya Recho tu. Tulikuwa huru sana kule, nikirud hm facebook yenyewe na unstall.

Recho alikuwa hasikii haambiwi nikaona huyu dogo atadata, kwani kuna kipindi alinitamkia wazi wazi siku nikimuacha atajifanya kitu kibaya. Hili jambo lilikuwa linaniwazisha kila uchwao.

Nilianza mission yangu ya kumrekwbisha tabia, kwa week nilikuwa naenda chuo mara 2, nilikuwa nampa mbinu mbalimbali za kusoma, jinsi gani ya kuelewa masomo na kufaulu mitihani. Nilijitahidi kumfanya awe na ujasiri wa kuzuia hali ya ndani ya kupenda ngono mana nilijua ni ngumu kuacha lakini kwa kiasi kusikia kwa kenge mpaka damu imtoke, basi mimi ndo mtoa damu mwenyewe.

Nilijitahidi, mda mwingi akaanza kushinda chuo, kama anakipindi asubuhi na jioni, atajitahidi huo muda wa mchana awe anajisomea au anafanya discussion. Nilimuwekea minara yangu pia hapo chuoni, nikawa napata info za kutosha sometyme anafatwa na mwanaume lakini alipunguza si sana kama zamani. Sikuumia sana coz sikuwa na interest nae. Nilimchukulia kama mdogo wangu.

Mishe zangu za kazi na madili viliendelea na nilikutana na watu wengi mno, kuna kipindi niliaminiwa mimi ni mtaalam wa kila biashara nafahamu. Yaani nipe dili lolote ilikuwa sikosi mteja, ama sikosi bidhaa, sikosi usafiri hata iwe saa ngapi. Kiufupi nilikuwa Mafia wa jiji.

Nakumbuka kuna shareholder mkubwa sana wa kampuni fulani kubwa sana ambayo inaubia na wazungu na huyo jamaa. Alikuwa anahitaji kufanya biashara fulani, sikutaka kwenda kinyonge kwa status yake, nilikiaxha kibunju changu, nikaazima gari ya juu kidogo kwa jamaa. Nikaenda panga mipango ya kibiashara aliyokuwa anataka kuanzisha.

Location rainbow, jamaa alikuwa na mawe si mchezo na mm sikumuoneaha nia ya kuzitaka pesa zake bali nilitaka aone kwamba amelengeshwa kwa mtu sahihi. Nilikuwa nafahamu logistic nzima hadi sehemu za kupata store au magodown ya kukodi kwaajili ya biashara.

Kwa biashara aliyotaka kufanya yeye alikuwa muweka pesa tu, kazi zote zilizobaki mimi ndiye mhusika. Mgawanyo wa 100% ndipo tuliposhindwana. Sikutaka mazoea na kile ninachoamini kipo kwenye akili yangu. Nilijiamini mno sikuwa na shida na pesa ya mtu ya haraka ukizingatia dili la hela ndefu kama nitazamisha kampuni ni mimi ndiye nimejizika.

Nilimpa plani nzima ya jinsi ya kuendesha lakini nilificha vitu muhimu, kama suppliers, agents, nilikuwa nataja nchi nyingine kabisa, vitu vingine nilikuwa naongopa kabisa ili nisitoe code asije siku akaamua kufanya yeye kila kitu, maana kuna watu wajanja sana hili jiji wanaiba sana akili za watu. Alitaka kutoa 20% ya share and i wanted 40%. Ilikuwa ni series ya maongezi yaliyochukua tabriban mwezi, sisi ni kuhama location tu.

Hapa mwendo wa kula jeans na makoti ya suit, i was so smart kipindi hiki.

Mzee Kipara kuna siku alinipigia simu na kuniambia nenda bank fulani fungua account kisha muulizie mtu fulani. Sikutaka kuuliza chap nikawasha chuma ndani ya muda mfupi niliwasili nikamaliza shughuli. Nikamjulisha nimewasili akanijulisha muulizie mtu fulani nimeahampa taarifa atakupa form ya mkopo. Moyo ulienda mbio sana, kwani hii ilikuwaga shida yangu kubwa sana niliyokuwa nalilia ili nizidi kujiweka pazuri kiuchumi, coz fursa zipo ila pesa hakuna.

Je nitafanikiwa? Na itakuwaje kama ndo naingizwa mjini na huyu mzee

Tukutane Part 8

Itaendelwa .........
Naendelea kuweka kambi hapa
 
Mtoto wa 19 years now 20 ni kama unamzidi. Miaka 8 au zaidi anakuchanganya kias cha kukutwika mzigo.
Huko Daslam ulikua unasomea uzembe?
 
PXL_20260604_182632351.jpg


Nipo najiandaa kurudi hom nikifika tu naweka nishauandaa.
 
PART NINE


Baada ya kama mwezi tangu balaa lile Litokee, niliamua rasmi sasa nianze mission yangu ya kumrudisha Recho awe karibu yangu, niliamua kuwasha gari kuelekea chuoni kwa Recho, nilipofika sikutaka kumtafuta kwa simu yangu, nilitafuta kabinti mcharuko, hivi ukiviita vinakuja tu. Nikakitania kidogo then nikakaongopea nikampa namba ya Recho ampigie, amuulize kama amekuja chuo.

Recho alikuwa hakufika bado, alisema atakuja kipindi cha mchana, nikamnong'oneza amwambie saa 7 kamili aje stationary fulani. Hii ni code ambayo niliwahigi kumpa Recho bila kujua nikiamini siku akiisikia tu atajua ni mimi. Maana bila kunijua angeuliza maswali kibao, alompigia simu ni nani na kwania gani.


Niliamini ameelewa tu ile code coz nilikuwa namsisitizia sana aidha kuitaja kwenye utani n.k

Nilimkabidhi yule dada buku 5 kama asante then nilielekea cafe kupoteza muda nikimsibiri Recho hadi mida atakayoingia nielekee hiyo sehemu. Baada ya kusubiri kwa muda mrefu, hatimaye muda uliwadia, nilijiegesha sehemu ili nione wote wanaoelekea hiyo sehemu. Saa 13:03 Recho alifika lakini sikutaka nimkaribie wala kumstua isijekuwa amejinyea akaja na nzi na mimi wakanidandia.

Nilisubiri hadi afanye movement ya kuondoka then niende uelekeo atakaoelekea. So baada ya kumuona anaondoka nilifanya hivyo na kuona hakuna mpambe yeyote anayemchunguza nyendo zake nikamtaitisha kabla hajafika mbali. Kauli ya kwanza tu alitamka nilijua kama ni wewe naomba kaa mbali na mimi. Home nimepigwa vya kutosha, kiukweli alipigwa hadi kutembea ilikuwa anachechemea

Usoni alivaa baibui ili kuficha alama za kipigo, na ghafla nilimuona amepungua kidogo. Kwa wakati huo akili haikuwepo juu ya ile kauli kwa kipigo kile niliamini huyu hakutumwa bali watu wamekuta chati zetu ama kuna mmbea kafikisha taarifa, kwasababu Recho alionekana ni mtu ambaye anajivunia sana kuwa na mimi so ilikuwa lazima atangaze kwa watu wake wa karibu.

Nilichomwambia ni kuuliza unanipenda au hunipendi? Nilivyoona anahangaika kujibu nikajipa point 3 muhimu. Nilichofanya nikamuelekeza mbinu ya kuchati kupitia watsap, unahide watu wote status anaona mtu mmoja tu ambaye ni mimi, then ukishaona imesomwa anaidelete hapo hapo.

Nilikaa siku 2 kila muda nachungulia status lakini hola, moyo ulianza rasmi kuumia. Baada ya siku 3 niliona status yake imeandikwa Mambo, status imepostiwa lisaa na nusu nyuma. Nikajua hapa code imeeleweka. Nilivyosoma haikupita dkk 5 status ikafutwa, tukawa tunaendelea na maongezi.

Mbinu hii ni tam sana kwa wachepukaji, yaani hata mtu ahack vipi simu yako ni ngumu kuona status. Labda alink na device nyingine, uchafu wangu mwingi nilikuwa nauandika kupitia hii njia kuliko kuamini kwenye njia za kawaida.

Hii mbinu nikiri niliipata humuhumu jamiiforum kuna mwamba alikuwa anakula mke wa mtu.

Mission ya kuanza kumteka akili Recho ilianza nilimpa siku tukutane na ajiandae kisaikolojia kwamba anakuja kuliwa. Sipendagi mambo ya kustukizana, japo wanawake huwa wanafaham kama wanenda kuliwa hata usipomwambia.

Siku hii nilipanga iwe spesho ya kumfanya Recho achanganyikiwe, kwanza nina hasira za kusingiziwa kumpa Mimba ilihali sijawahi kufanya nae chochote, pili ilitakiwa apate show murua ili nizidi kuiteka akili yake.

Siku ya siku ikafika, nikampeleka hoteli, always ukitaka kumfanya mwanamke achanganyikiwe usiwe na papara nae, mpe show kama za kwenye movie. Nilijitahidi kumuandaa vya kutosha nilihakikisha amelainika, na always huwa nikiwa namchezea analoaga sana, siku hiyo nilihakikisha analoa hadi anakauka. Siku hii nikili niliuza match, nilijikuta nawahi kumaliza, sijajua ni kujiandaa sana, ama kukamia, hadi leo sijaelewa kwakweli.

Hii situation hadi leo nikiikumbuka huwa nafedheheka sana, niliamua tu kuishia viwili, nikamuona Recho yupo mnyonge sana. Nilianza kupata mawazo kichwani mwangu, mbona nikikutana na wife fresh, mbona nikiamua kutoka na dem mwingine fresh. Huyu mtoto si itakua fedheha.

Nikaingia chatgpt kumuuliza, alinipa majibu ya kunifariji lakini akili ni kama ilihama.

Hapa nipende tu kuwahasa wazazi, wasidhani siku hizi kama kuna watoto wakike, wapo wachache mno, yaani mtoto wa miaka 19 au 20 ananyonya koni kama mshangazi.

Kwa niliyoyashuhudia wazazi wa kizazi chetu tutakuwa na kazi kubwa sana ya kufanya, miaka 19 anajua anal sex ni nini, humuongopei chochote kuhusu homosexual, anasema alikuwa anafanya shuleni huko boarding alikuwa na mpenzi kabisa. NajiuliA hivi vyote mtoto anafanya mzazi anajukumu gani? Au wazazi ndo nao wamekua mishangazi. Hii ni tafakuri tu.

Baada ya hapo Recho hakuwa na mzuka kabisa wa kuchat na mimi anachati kwa kujisikia, mara apost status kuhusu watu wake japo hapost sura lakini ujumbe tu ulionesha vilivyojaza moyo. Ilichukua kama wiki 2 hivi hakuonesha interest na mimi. Niliamua kumlaghai tukutane tena ili nikajaribu bahati yangu kwa mara ya pili. Siku hii sikutana sana kupania, nilipanga amalize kwanza kabla ya match husika ili nikianza kufanya kazi asinipe tabu.

Akajichanganya akajaa, siku hii alijuta. Tulianza kubadilishana lita za mate kama dkk 7 au 8. Kisha nikaamia kwenye vititi vyake vidogo na vichuchu vyake, niliamua nisiwe na shauku ya kumaliza kazi kwenye show, kazi nilipanga kumaliza hapa hapa kwenye maandalizi. Niliendelea kuinua chuchu zake taratibu kwa viganja vya mikono kisha nikaamua kuingiza titi zimazima mdomoni, uzuri vilikuwa vidogo so ukiingiza ni kama linaingia lote.

Nilikuwa naingiza mdomoni kisha nalivuta kama nataka kumeza then natoa taratibu af nikifika kwenye chuchu naking'ata kichuchu kwa mbali. Niliendelea na mchezo huo kwa maziwa yote mawili hadi nilipoona hajiwezi nikaamua kushusha mkono kwenye pichu, la haula chupi kwa chini ilishapakia mrenda mzito hadi nilishangaa sikuwahi kuona uwingi ule.

Sikumvua ile chupi nilipenyesha kidore taratibu na kuing nikiingiza ndani ya K, huku mdomo ukiwa kwenye chuchu moja nikiing'ata ng'ata, niliskia sauti nzito ya kuvuta pumzi huku chuchu yake ikitoa vimaji vya chumvi chumvi, aliinua miguu juu kwa kuchechemea, huku mikono yake ikinikwaruza mgongo kwa nguvu. Sikutaka kutoa kile kidole mapema, kwa ndani nilikuwa nasikia hali kama ya kamshipa hivi kakiwa kanafanya kama kuna mapigo ya moyo vile.

Moyoni nilijisemea kwisha habari yako kuanzia sasa utaanza kunitii, mbwa wewe, akili yangu ilikuwa inawaza uharibifu tu.

Niliamua sasa kumpiga mapigo na mwendo siku hii Shetani wa uzinzi alikuwa upande wangu, nilimvuruga sana akili, ukipump tu sauti zinabadilika mara anakakamaa, for sure hii siku nilienjoy na pia nilimaliza hasira. Kuanzia hapa sasa ikawa rasmi tumekuwa kama mke na mume.

Nilianza kupewa zawadi kwa kulazimishwa, hata nikiwa hom simu ziliita, wivu uliongezeka, kila tukikaa, neno mke wangu mdomoni mwake lilikuwa halikauki. Kiukweli ilikuwa tunapumzika wakati akiwa P tu haipiti siku 2 au 3 lazima irudiwe.

Hatukuwa tunachagua pakufanya show, na hii nilitaka iwe spesho ili azidi kuchanganyikiwa. Kama mara 2 hivi tumewahi fanya kwenye parking za chuo, yaani ilikuwa fujo tu. Kila mda alikuwa anatamani bakora.

Game kwa mke wangu zikawa zimepungua kuna siku wife ni kama alishtuka hivi, alinambia simuombi tena, nikaanza kuwa na dharau, mara kumwambia na yeye ni haki yake kuniomba. Kiufupi Recho alianza kuingia akilini. Badala ya kumteka akili niwakomoe ndugu zake tukajikuta tumetekana.

Perfomance ya kazi ikaanza kushuka, mda mwingi nilikuwa nashinda guest ama hotel.

Nilikuwa na mpango wa kumpa Mimba Recho ili niwakomoe familia yao, maana kama akili yake kuiteka nilishawin.

Vipindi akawa haudhurii mda mwingi namtorosha darasani, nilipanga familia ijute kwa matendo yao walionitendea. Nilimlaghai vya kutosha kuwa akipata Mimba namtorosha nje ya nchi, na alikubali, kiufupi nilipanga kuwafanyia maasi mazito familia ya huyu binti.

Kwa upande wa pili hali ya biashara ilianza kuyumba, nilianza kusikia tetesi kwamba familia ya Recho wameenda kwa mganga kuniroga ili nifail kwenye mambo yangu. Niliamua kuuza roli tipa moja ili niendane sawa na kasi ya marejesho, maana nilikuwa naona yananielemea. Kwa hali niliyofika. Hom nikifika ni kulala tu, time na wife imepotea.

Hakuwahi kunikatia tamaa hakujua kinachoniendesha kwa kipindi hiko alijua ni labda ile kesi ya binti ndio imeniyumbisha kiuchumi. Kumbe niko dunia nyingine kabisa.

Nilizidi kukutana na Recho na akawa ananisisitiza sana lini nitampa Mimba lakini ni kama ubongo haukuamua kufanya maamuzi hayo ya kikatiki kwa wakati huo. niliendwlea kumuahidi kuwa siku yoyote nikikamilisha mipango ya kumtaftia passport.

Kwenye uuzaji wa ile tipa kibiashara nikiri haikuwa kete nzuri ya kucheza, ni kheri ningevumilia taabu kuliko kupunguza nguvu ya mapato. Sometyme mapenzi ufala sana, hata akili ya kuwaza kikawaida inapotea.

Nimejifunza kwenye shida, kuuza vitu vyako kuna muda sio suruhisho, ni kheri utafute njia mpya ya kuikabiri hiyo shida na si kukimbilia kuuza vitu.

Ajali zilikuwa nyingi sana kwenye zile daladala, kiufupi nikahisi kweli nimerogwa. Marafiki kila mtu anakushauri lake mara niende nikaogeshwe dawa nipate na kisomo. Mwengine biashara ya daladala sio nzuri uza magari, yaani kila mtu na lake ilimradi uvurugike akili.

Ofa za msosi kwa vijana niliokuwa nawalisha zilikufa kabisa, wakinikumbusha gesi ama unga vimeisha nawaambia nao ni wanaume wanatakiwa wachakalike. Kiufupi i was mad.

Akili ikiyumba namtafuta Recho wangu tunajifungia, kuna kipindi niliamini Recho hana jini mahaba ila yeye ndo jini mahaba mwenyewe. Yaani dam changa hazichoki hata ukakunje vipi ufanye nacho kila siku kesho kinataka tena.

Ama kweli ngono ni adui wa akili.

See you next chapter ............
 
Back
Top Bottom