Mkasa wa kweli: Leo nimetua mzigo mzito wa mahusiano

Mkasa wa kweli: Leo nimetua mzigo mzito wa mahusiano

Hivi yule jamaa alikua anaitwa Chizi Maarifa aliendaga wapi? Kuna kipindi story za namna hii msimuliaji anasimulia na hamalizi story yake anasuasua kwa kuleta vipande vifupi vifupi, utamsikia chizi maarifa amemtag msimuliaji na kumwandikia ujumbe kwa maandishi ya herufi kubwa

"NIMELETEWA MALALAMIKO NA WASOMAJI WA HADITHI ZAKO, WANADAI UNASUSUA KUMALIZIA HADITHI UNAYOWASIMULIA. IKIFIKA LEO JIONI SAA KUMI NA MBILI KAMILI UMALIZIE HADITHI YAKO YOTE... SITEGEMEI KULETEWA MALALAMIKO TENA. USIPOFANYA HIVYO NITAKUCHUKULIA HATUA KALI SANA"

Ilifikia kipindi waleta story wengine walikua wanazira kabisa kumalizi story zao kutokana na maneno ya shombo kutoka kwa Chizi Maarifa, so ilikua inafikia stage wasomaji wanamwomba mwandishi aendelee kusimulia hadithi huku wakimwomba Chizi Maarifa akae kimya asiwaharibie story yao 😅🤣😂

Kipindi story zinaletwa hapa jukwaani Chizi Maarifa alikua anakula ban sana kutokana na hizo issue.
 
Story ikiwa na vipengele nakosa mood ya kusoma
Nisamehe sana, nilitoa hudhuru wakati naandika hii story bado kuna migogoro na hasara vinaendelea kwenye maisha yangu. Hata ukimya huu nipo napambana, nilipost picha ya ajali. So sipo katika hali nzuri. Japo nitaimaliza imebaki sehemu ndogo, kesho inaweza kuisha.
 
Kuza mwanao akifika umri huu ndo utaelewa.
Sio haja ya kukuza atakuzwa na mama yake nikishapiga mimba nimemaliza shughuli mengine hayanihusu, nikuze halafu mabaazazi km nyinyi mumtembeze uchi toka msasani mpaka tabata huku mnampiga madole na yeye kaweka miguu kwenye dashboard ndio unachomaanisha?
 
Tena zaidi ya sana

Ila sema ni stoli na series imeisha kwa hapo

Ila Kuna vitu vinatekenya sana uvungu wa watu msipende kuvitumia sana watunzi tutawachukia bila sababu
Story ilipofika episode 5 ndio ulipoiona sura ya Ibilisi ipoje
 
Back
Top Bottom