UMUGHAKA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 2,753
- 12,932
Kwamba umenishusha Busha,uongo!.Wawili nimesha waadhibu akiwemo umugaka mwenyewe nimemshusha kabusha kadogo tu siku mbili tatu kamsumbue ili arudishe heshima. Alianza jisahau sana yule dogo. Sasa wanaonitishia maisha nimewaonya tu wasifikiri mi wa mchezo.
Ila we jamaa unapenda sana kujikweza na huna chochote zaidi ya "camel toe".
Soma uzi wa Mwandishi acha kunitaja taja au unataka nikuongeze uwe mke mdogo nini!