MKASA WA KWELI: Ni bora ubaki na umaskini kuliko utajiri wa pesa za "ndagu" au majini

Asante kwa story yenye kufundisha Don mtarajiwa, ukweli ni kuwa hakuna short cut kwenye utajiri, utajiri wa haraka huwa una mazonge-mazonge mengi sana.

Vv
 
Asante kwa story yenye kufundisha Don mtarajiwa, ukweli ni kuwa hakuna short cut kwenye utajiri, utajiri wa haraka huwa una mazonge-mazonge mengi sana.

Vv
Acha uoga mkuu
Kuwa mjanjaa upate pesa ohoooo utakufa maskini, shauri yako
 
Story km ya kutunga hivi, speaking of ndago hakuna ukweli wowote ni story tu za vijiweni
Mbona amemtaja mtu ambaye namfahamu na ni jirani yetu hapo maeneo ya UDSM? Mtafute akuthibitishie uongo/ukweli wa story.

Vv
 
Mbona amemtaja mtu ambaye namfahamu na ni jirani yetu hapo maeneo ya UDSM? Mtafute akuthibitishie uongo/ukweli wa story.

Vv
Boss watu wengine ni kubisha tu.. huyo Kiringo hata Mimi namfahamu. Anaitwa John Bosco Kiringo yuko hapo Mlimani ni mkuu wa usalama Nina mawasiliano yake lakini simtafuti leo kwa sababu tutakutana kwenye vikao vya harusi ya mwanae nitamuuliza hili.


Lakini ninachofahamu Mimi kaka yake alikufa na alikuwa ameoa na mke sijui yuko wapi kwa sasa
 
Watu wa humu ni zaidi ya wajuaji aiseee.
Haya naitoa wapi?

Unajua story za kusimuliwa wewe?...A u unataka nikupe majina ya wahusika kabisa

Mkuu muwe mnapunguza ujuaji basi....na mbona nimeshamaliza yote
Na wewe utoe mahali basi,acha wivu
dogo...
 
Silasy kaniuliza swali hili PM

"mtu akimtoa kafara ndg yake akawa tajiri ikagundulika na yeye anaweza akanyang'anywa utajiri wake kiuganga?nimesoma ktk hiyo story mtu huyo pamoja na kugundulika aliua shemeji yake lkn ana guts za ku attend functions zote kijijini bila ya woga wowote"

Mshana Jr tunaomba jibu.
Hili swali ni kubwa kwangu
 
Story za uongo zisizo na evidence yoyote,
Ukiona mtu anapesa jua kaziiitafuta kwa njia flani halali au sio halali ila hakuna kitu kama majini wala ndagu, huo upuuzi ni uongo mtupu na wanaoamini huo ushenzi wote maskini
ndago ni njia isiyo halali pia...acha kujikanyaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…