MKASA WA KWELI: Ni bora ubaki na umaskini kuliko utajiri wa pesa za "ndagu" au majini

Jana kuna muda nilikwambia kwenye huu uzi, uko kama hujiamini na hii story yako, unajibu sana critiques.

Kuna watu hata tukiona kwa macho tutakwambia siyo kweli, ni kiini macho, sasa vipi tukisimuliwa!

Utahangaika sana kuwaaminisha watu humu.
Ndugu yangu sio lazima uamini na mimi sipo hapa kukuaminisha wewe Kama unataka kujaribu Mimi sijakukataza ila kwa sababu ni andiko nimeweka lazima nijibu Sasa hata wewe nitakujibu.

Nenda pale Isaba (Sabasaba) au mtafute mtu wa maeneo hayo akupe hii habari....hapohapo sabasaba kulikuwa na kambi ya Wachina ya Ujenzi wa barabara ambapo Sasa ni makazi ya mkuu wa wilaya ya butiama...ukipanda juu unaingia kwa mzee kilaryo kwa jirani yake ndio kwao huyu mwamba ambapo ni kwa mzee NYANDA.

Kwa Sasa jirani yao nyumba inayopakana kuna kijana ndio don mpya Kijijini.

Kila la kheri katika kujaribu kwako au Kama ni miongoni mwa wenye utajiri huu nisamehe
 
Samahani mkuu Mzee kiraryo uliyemsema hapo ni huyu ambaye mwanae ashawahi kuwa Mkurugenzi idara ya wanyamapori Maliasili au
 
Mkuu jaribu kuwapotezea hao hawajiekewi, unavyoendelea kuwajibu unazipooza nafsi zao, huwezi jua stress walizonazo vichwani mwao
 

Kwa mbali naanza kuelewa kwamba unafanya marketing ya hii bidhaa.

All the best.
 
Kwa mbali naanza kuelewa kwamba unafanya marketing ya hii bidhaa.

All the best.
😃😃😃 Wewe utakuwa unahusika kabisa na hili andiko limekugusa..

Hahaha hebu soma andiko langu wapi nimesema hivo zaidi ya kutoa onyo...

Mzee Relax Mimi nimetoa funzo tu kw vijana..ukihangaika sana inawezekana kabisa likawa linakugusa
 
Mkuu jaribu kuwapotezea hao hawajiekewi, unavyoendelea kuwajibu unazipooza nafsi zao, huwezi jua stress walizonazo vichwani mwao
Ila kweli chief...Hawa jamaa watakuwa na stress.

Lakini tatizo uongo ukiachwa bila kujibiwa unageuka ukweli
 

Sasa mkuu, mimi ndiyo ni relax au wewe ndo unatakiwa kurelax.

Umeshaweka story, acha reviewers watoe analysis zao, naona unajaribu sana kupambana na wanao toa opinions kwamba hii ni chai.
 
Sasa mkuu, mimi ndiyo ni relax au wewe ndo unatakiwa kurelax.

Umeshaweka story, acha reviewers watoe analysis zao, naona unajaribu sana kupambana na wanao toa opinions kwamba hii ni chai.
Nawezaje kupambana na keyboard, humu kuna watu Wana stress zao za pesa, ajira na misongo ya mawazo Kama wewe hapo.

Kwa hiyo hatuwezi kupambana ila nakujibu na kukupa ukweli KUHUSU hili...Japo unaonekana umeguswa...

Na ungejaribu kuonesha hio chai iko wapi? Au wapi panakupa utata ujibiwe..

La sivyo utakuwa na msongo wa mawazo na hapa ni sehemu ya wewe kupumlia.

Mimi nimeshakupa mpaka sehemu za kwenda na watu wa kuuliza bado unataka kugombana na keyboard 🙌🏼🙌🏼🙌🏼😃

Na lazma ujue hili ni andiko langu hivyo lazma nikujibu...Mimi Sina msongo wa mawazo kwa hiyo siwezi kukasirika nitakujibu kwa chochote
 

Nafikiri bado gongo uliyokunywa jana bado iko kichwani, huwezi kunielewa.
 
Kaa hivyo hivyo na dhana potofu utaishia kutoa story za wanaume tu. Watu wanapiga dili za unga, wengine majambazi akili ndogo wanadanganywa eti ni ndagu.
Mkuu Sasa wewe unabishana na kisa ambacho mtu namjua A to Z.

Halafu maisha yangu wewe umeyajuaje?

Jf bhana🙌🏼😃😃
 
Mkuu hii ya kutoacha nyayo huoni kama ni teknolojia ya kipekee kabisa ambayo ilipaswa wananzengo kuitambua
 
Mkuu ndani ya mwaka huu nimepanga nikatembelee home(kiabakari) baada ya miaka 14 ,Mungu akijaalia ntafika huko nikashuhudie ma don
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…