Requal
JF-Expert Member
- Jun 5, 2020
- 1,025
- 1,917
- Thread starter
- #141
Ndugu yangu sio lazima uamini na mimi sipo hapa kukuaminisha wewe Kama unataka kujaribu Mimi sijakukataza ila kwa sababu ni andiko nimeweka lazima nijibu Sasa hata wewe nitakujibu.Jana kuna muda nilikwambia kwenye huu uzi, uko kama hujiamini na hii story yako, unajibu sana critiques.
Kuna watu hata tukiona kwa macho tutakwambia siyo kweli, ni kiini macho, sasa vipi tukisimuliwa!
Utahangaika sana kuwaaminisha watu humu.
Nenda pale Isaba (Sabasaba) au mtafute mtu wa maeneo hayo akupe hii habari....hapohapo sabasaba kulikuwa na kambi ya Wachina ya Ujenzi wa barabara ambapo Sasa ni makazi ya mkuu wa wilaya ya butiama...ukipanda juu unaingia kwa mzee kilaryo kwa jirani yake ndio kwao huyu mwamba ambapo ni kwa mzee NYANDA.
Kwa Sasa jirani yao nyumba inayopakana kuna kijana ndio don mpya Kijijini.
Kila la kheri katika kujaribu kwako au Kama ni miongoni mwa wenye utajiri huu nisamehe