stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,479
Hahaa katika kabila ambalo wazee wangu waliniambia nisiolewe ni wakurya sijui kwanini waliniambia vile?Huu ni ukweli kabisa kama hana wake wawili basi ana mchepuko na umemzalia...hii inasababishwa na nature ya wakurya ya kupenda kuwa na watoto wengi siku hizi imepungua kwa walioenda shule au kukaa mjini