MKASA WA KWELI: Ni bora ubaki na umaskini kuliko utajiri wa pesa za "ndagu" au majini

MKASA WA KWELI: Ni bora ubaki na umaskini kuliko utajiri wa pesa za "ndagu" au majini

Huu ni ukweli kabisa kama hana wake wawili basi ana mchepuko na umemzalia...hii inasababishwa na nature ya wakurya ya kupenda kuwa na watoto wengi siku hizi imepungua kwa walioenda shule au kukaa mjini
Hahaa katika kabila ambalo wazee wangu waliniambia nisiolewe ni wakurya sijui kwanini waliniambia vile?
 
Jamii yetu ya kikurya kama huna hela na familia yaani mke na watoto utadharaulika hadi na watoto wadogo wa mtaani,kijiji kizima kitakusema sana ni jamii inayoamini mwanaume lazima apambane
Heee kiruuu[emoji134][emoji849]...Sasa kama umezitafuta na umezikosa?
 
Hahahah kama umeolewa bahati yako ila kama bado unaweza anguka kwenye mtego...wakurya wa sasa ni very caring and calm husbands ila asili bado ipo akiwaka hasira
Kuna mkurya hapa ofisini ana kigugumizi, halafu anapenda chiu balaa

Kibaya zaidi ana crown [emoji146] ya mkopo, ila anavaa suti mda wote

Akikutongoza ukamkataa anang'ata meno na kupiga ngumi ukuta
 
Hahahah kama umeolewa bahati yako ila kama bado unaweza anguka kwenye mtego...wakurya wa sasa ni very caring and calm husbands ila asili bado ipo akiwaka hasira
Ila wakurya wakorofi sio watu wa mchezo KIONGOZI....wale wa bush wenyewe ukikutana nao ni zaidi ya mmasai.

Bora Hawa wa town
 
Ila wakurya wakorofi sio watu wa mchezo KIONGOZI....wale wa bush wenyewe ukikutana nao ni zaidi ya mmasai.

Bora Hawa wa town
Heheh mkurya ni mkurya tu,wa mjini hawali kichuri wamepoa ila mchokoze ni moto...ila wakurya wa kijijini wengi ni wakorofi sana na wanapenda ugomvi kuliko chochote afu bila sababu
 
Heheh mkurya ni mkurya tu,wa mjini hawali kichuri wamepoa ila mchokoze ni moto...ila wakurya wa kijijini wengi ni wakorofi sana na wanapenda ugomvi kuliko chochote afu bila sababu
Kabisa wale watu Moto wao sio wa kitoto
 
Back
Top Bottom