Mkasa wa kweli: Tulizichapa na member wa JF Tabata Shule

Natala battle na wewe, nami nkikande
 
Wasioijua tabata shule watakuamin ...lakin hyo shule imepakana na kituo Cha polisi kiasi kwamba mda wote polisi wapo hapo uwanjani ni ngumu kutokea ugomvi eneo Hilo haswa kwa mda uliosema ..acha kudanganya watu
Ukisoma between lines, hawa hawakupigana kwa sababu hizi ID mbili ni za mtu mmoja. Ni kwa macho ya kijasusi tu utagundua hili.
 


SIKUWA NA NYUNDO WEWE

SEMA NGUMI ZILIKUWA NZITO UKAHISI NI NYUNDO

WEWE SEMA LINI TUITE WAKINA [mention]Half american [/mention] [mention]Grahams [/mention] wawe mashahidi

NITAKUKANDA TENA ALAAA
 
Wasioijua tabata shule watakuamin ...lakin hyo shule imepakana na kituo Cha polisi kiasi kwamba mda wote polisi wapo hapo uwanjani ni ngumu kutokea ugomvi eneo Hilo haswa kwa mda uliosema ..acha kudanganya watu

polisi iko upande gani?

Uwanja upo au hamna.

Saa 12 giza wanakuonea wapi na polisi pale muda wote wako ndani.

Jitambue wewe
 
Naona Katia timu hapa pambano lirudiwe
Yes nataka rematch tena iw neutral ground maana ile siku nahisi alimpanga yule mzee mlinzi aliyepiga yowe kuita watu, alipoona namzidi kwa kipigo yule mzee akaanza kupiga kelele kuwa namuua huyu mjinga, ghafla akatoa nyundo akaanza kunipiga nayo then nikaona watu wanakuja upande wetu wameshika fimbo, nikahisi ni rafiki zake hapo nikaamua kukimbia wasije kuniua maana ilikuwa mitaa yake, next pambano nataka tukapigane neutral ground ili nimuonyeshe mimi ni nani.
 
yaani mmeenda kabisa kupigina kweli acheni hizo mambo za utoto asa hivi unganeni mumpige mtu anaitwa Rizki filmanyati ikiwezakana peaneni link za mishemishe za kutoboa itakuwa mmefanya la maana saana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…