Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Ooh my God
 
Mkuu leadermoe umeondoka mdogo wangu mapema hivi ?
Mbona hatukumalizia kile tulipanga kukutana ? [emoji24] , Rafiki mbona ni siku chache tulizojuana tukaahidiana mengi ?

Nenda salama ndugu , sisi tuko nyuma yako , nitakukumbuka kwa mengi yaliyo mazuri hukusita kunipa moyo kwenye magumu yangu ila yaliyo mabaya haukujali ukubwa wangu zaidi yakunielza kuwa inabidi nibadilike .

Kweli muda ni wake Allah , kila uliponisistiza kufanya kile nilichokuahidi kukueleza nilisema pata nafuu kwanza nitakueleza ila hukusita kuniomba ila nilisema pata nafuu sikujua ya mbele kaka [emoji24]
Ninayo mengi kuhusu wewe ila nisiyoweza kuyaweka hapa ila tambua nitaukumbuka mchango na mawazo yako kwangu , ni wewe ulihitaji kukutana nami kwenye nchi za watu yote ikiwa nikuufanikisha uzee wetu ulio na kheri na fanaka kwa vizazi na ndugu zetu .

Adhab ya 'akhi ' ana warayik 'ana asf li'ana tahadathna kthyran wakhatana kthyran lakina ali'amr iam 'astatie wadeah huna , lagad kunt mithl lakh bialdul mu

Bialtaakid sanaeud iilahy naman fi makan jayid ya saghirat.
 
Inaonekana hata shule ilikuwa mvivu wa kusoma [emoji16]mbona kaelezea jamani
Nimeuliza hili swali kwakua ktk alidai ameokoka naktk ukristo hakuna sheria ya kua nawake wawili kwahyo ndio manaa nikawa nasubiria hapo amewezaje kupavuka??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…