Dah jaman, umejua kutusuprise kamanda wetu,ulituambia lakini hatukutilia maanan kuwa utakuwa busy soon kumbe ubusy wenyewe ndioo huu. Pumzika kwa amani ndugu yetu ,tutaonana baadaeNataka iishe haraka maana nitakuwa busy soon.
Dah! Yaani Hakuacha fikiria watu hata wakati wa kifo chake apumzike kwa amani nilizoea kumuita Triple GπUpdates:
Niliomba wanafamilia wawatambue wenyewe kwa kukiri kuwasaidia wote walioahidiwa kusaidiwa na marehemu leadermoe. .
View attachment 2608288
Best, Gilbert
Kwahio alimtajia list ya aliokuwa ameahidiana nao???Updates:
Niliomba wanafamilia wawatambue wenyewe kwa kukiri kuwasaidia wote walioahidiwa kusaidiwa na marehemu leadermoe. .
View attachment 2608288
Best, Gilbert
Kwahio hao wana familia watajiridhisha vipi kuwa huyu aliahidiwa na dad?!? Aliwaachia list??ndio maana nikawaomba wanafamilia wanitumie niwatumie wasije sema mimi ndio nimesema. .
Bro Gily.Kat Kit inauma sana sana sana
Dahh mpaka leo siamini amini kabisa kama cousin hatunae tena![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]!!Updates:
Niliomba wanafamilia wawatambue wenyewe kwa kukiri kuwasaidia wote walioahidiwa kusaidiwa na marehemu leadermoe. .
View attachment 2608288
Best, Gilbert
Mangi haya maisha tunapita hivi vyote unavyoviona vinapita tu...Bro Gily.
Nimekuelewa sana, una moyo wa kipekee ambao wengi wamenyimwa.
U rafiki asiyechoka katika lile alilojitoa.
Mungu wa mbinguni akubariki sana sana.
Maisha ya mwanadamu ni mafupi sana, yafaa tuwe wanyenyekevu sanaDahh mpaka leo siamini amini labisa kama cousin hatunae tena![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]!!
Hapa mwisho wa story yake utadhani alijua atakufa inahuzunisha sana kiukweli!!
Sahihi mangiMangi haya maisha tunapita hivi vyote unavyoviona vinapita tu...
Mkuu ukisoma hapo kwenye taarifa ya kijana wake, anasema ameagizwa na baba yake na amepewa taarifa muhimu kukusu hao watu. Maana yake amepewa taarifa zao na namna ya kuwapata. Au mimi sijaelewa kimalkia GilyKwahio hao wana familia watajiridhisha vipi kuwa huyu aliahidiwa na dad?!? Aliwaachia list??
Pole sana Antonnia, kuna watu wanaonyeshwa kifo chao kabla hakijafika. Yawezekana aliona mwisho wake.Dahh mpaka leo siamini amini kabisa kama cousin hatunae tena![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]!!
Hapa mwisho wa story yake utadhani alijua atakufa inahuzunisha sana kiukweli I'm so hurt!![emoji18][emoji24]
Watu kama Gily hupata malipo yao hapa hapa duniani, anaweza asijue kipato kimeongezea kwa sababu gani, kumbe ni msaada aliotoa umemrudia. Tusichoke kusaidiana.Bro Gily.
Nimekuelewa sana, una moyo wa kipekee ambao wengi wamenyimwa.
U rafiki asiyechoka katika lile alilojitoa.
Mungu wa mbinguni akubariki sana sana.
Mtu mwenye moyo wa kusaidia huwa hachoki, ni kitu ameumbwa nacho, angalia hata namna alivyo msaidia yule Livia. Alikubali ku risk maisha yake.Dah! Yaani Hakuacha fikiria watu hata wakati wa kifo chake apumzike kwa amani nilizoea kumuita Triple Gπ
Acha tu mkuu mara nyingi sana cousin amekua akiniambia ana muda mchache ana muda mchache kiutani utani tu YaniπPole sana Antonnia, kuna watu wanaonyeshwa kifo chao kabla hakijafika. Yawezekana aliona mwisho wake.
Mimi kuna bibi yangu alitumia mwezi mzima kutuaga kuwa anasafiri kwenda mbali, hatimae akafariki kweli huku sisi tukijua alikuwa anafanya utani.
Masikini, kumbe kuna harusi ya vijana wake mwaka huu. Sijui hii familia itakuwa imeumia kiasi gani, msiba usikie kwa jirani tu. π’Acha tu mkuu mara nyingi sana cousin amekua akiniambia ana muda mchache ana muda mchache kiutani utani tu Yaniπ
Alitamani sana kushuhudia Harusi ya vijana wake hii Novemba/ Desemba aendelee kupumzika mahala pema peponi leadermoe Aminππππ ππ!!!