Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Updates:
Niliomba wanafamilia wawatambue wenyewe kwa kukiri kuwasaidia wote walioahidiwa kusaidiwa na marehemu leadermoe. .
Screenshot_20230503_115312_Gallery.jpg

Best, Gilbert
 
Updates:
Niliomba wanafamilia wawatambue wenyewe kwa kukiri kuwasaidia wote walioahidiwa kusaidiwa na marehemu leadermoe. .
View attachment 2608288
Best, Gilbert
Kwahio alimtajia list ya aliokuwa ameahidiana nao???

Dahhh mwamba amekua na moyo mzuri sana wa kujitolea!!
Apumzike kwa amani leadermoe
Sasa huyo mwanae atajiridhisha vipi kuwa huyu aliahidiwa na dad??!
 
Updates:
Niliomba wanafamilia wawatambue wenyewe kwa kukiri kuwasaidia wote walioahidiwa kusaidiwa na marehemu leadermoe. .
View attachment 2608288
Best, Gilbert
Dahh mpaka leo siamini amini kabisa kama cousin hatunae tena![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]!!

Hapa mwisho wa story yake utadhani alijua atakufa inahuzunisha sana kiukweli I'm so hurt!![emoji18][emoji24]
 
Dahh mpaka leo siamini amini labisa kama cousin hatunae tena![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]!!

Hapa mwisho wa story yake utadhani alijua atakufa inahuzunisha sana kiukweli!!
Maisha ya mwanadamu ni mafupi sana, yafaa tuwe wanyenyekevu sana
 
Kwahio hao wana familia watajiridhisha vipi kuwa huyu aliahidiwa na dad?!? Aliwaachia list??
Mkuu ukisoma hapo kwenye taarifa ya kijana wake, anasema ameagizwa na baba yake na amepewa taarifa muhimu kukusu hao watu. Maana yake amepewa taarifa zao na namna ya kuwapata. Au mimi sijaelewa kimalkia Gily
 
Dahh mpaka leo siamini amini kabisa kama cousin hatunae tena![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]!!

Hapa mwisho wa story yake utadhani alijua atakufa inahuzunisha sana kiukweli I'm so hurt!![emoji18][emoji24]
Pole sana Antonnia, kuna watu wanaonyeshwa kifo chao kabla hakijafika. Yawezekana aliona mwisho wake.

Mimi kuna bibi yangu alitumia mwezi mzima kutuaga kuwa anasafiri kwenda mbali, hatimae akafariki kweli huku sisi tukijua alikuwa anafanya utani.
 
Bro Gily.
Nimekuelewa sana, una moyo wa kipekee ambao wengi wamenyimwa.
U rafiki asiyechoka katika lile alilojitoa.
Mungu wa mbinguni akubariki sana sana.
Watu kama Gily hupata malipo yao hapa hapa duniani, anaweza asijue kipato kimeongezea kwa sababu gani, kumbe ni msaada aliotoa umemrudia. Tusichoke kusaidiana.
 
Dah! Yaani Hakuacha fikiria watu hata wakati wa kifo chake apumzike kwa amani nilizoea kumuita Triple G😭
Mtu mwenye moyo wa kusaidia huwa hachoki, ni kitu ameumbwa nacho, angalia hata namna alivyo msaidia yule Livia. Alikubali ku risk maisha yake.
 
Pole sana Antonnia, kuna watu wanaonyeshwa kifo chao kabla hakijafika. Yawezekana aliona mwisho wake.

Mimi kuna bibi yangu alitumia mwezi mzima kutuaga kuwa anasafiri kwenda mbali, hatimae akafariki kweli huku sisi tukijua alikuwa anafanya utani.
Acha tu mkuu mara nyingi sana cousin amekua akiniambia ana muda mchache ana muda mchache kiutani utani tu Yani😭
Alitamani sana kushuhudia Harusi ya vijana wake hii Novemba/ Desemba aendelee kupumzika mahala pema peponi cousin leadermoe Amin🙏🙏🙏🙏 😭😭!!!
 
Acha tu mkuu mara nyingi sana cousin amekua akiniambia ana muda mchache ana muda mchache kiutani utani tu Yani😭
Alitamani sana kushuhudia Harusi ya vijana wake hii Novemba/ Desemba aendelee kupumzika mahala pema peponi leadermoe Amin🙏🙏🙏🙏 😭😭!!!
Masikini, kumbe kuna harusi ya vijana wake mwaka huu. Sijui hii familia itakuwa imeumia kiasi gani, msiba usikie kwa jirani tu. 😢
 
Back
Top Bottom