Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Je hizo dini nyingine au madhehebu mengine yanazo miundombinu kama ya hao walalamikiwa? Je wanayo hospitali kama Bugando au KCMC? Je wanavyo vyuo vikuu kama Tumaini au SAUT au ST Johns?

Mara nyingine kuzidi kulumbana nao ni kuwapa umaarufu wasiokuwa nao. Wao utasikia kwenye kujiunga na Al Shabab, Kupokea tende za msaada na kutaka Mahakama ya Kadhi na mashindano ya kuhifadhi Quran tu. Hawajui mambo ya msingi ambayo jamii inahitaji
 
Naomba nakala ya MoU nijue makubaliano yalikuwa katika nyanja zipi
 
Hindu Mandal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…