Mkataba wa Bandari: Anayekiri makosa na kuomba msamaha asamehewe kisha twende pamoja

Tanzania ujinga mwingi sana! Unakuta hii comment ni ya degree holder kabisa [emoji23]. Unajua hata kama huna akili tumia hata hizo ndogo zilizopo usiache kutumia kabisa.
Sio siri tena!
Sasa hivi makanisani ibada imekuwa ni bandari tu.....
 
Wakiristo wana chuki sana dhidi ya waislam, waraka wa maaskofu na wapingaji wa Mkataba wanaendeshwa na udini tu hamna jengine.
Kichwa kikubwa kubeba akili kisoda haya ndio matokeo yake yaani pumba tupu
 
Kwa sasa hata rais akiuvunja mkataba na kuomba msamaha kiutu uzima, maana yake ni kwamba nchi itapigwa faini kubwa, si chini ya dola za Kimarekani milioni 100, kwa sababu anakuwa anavunja mkataba uliopitishwa na bunge.

Ila inawezekana gharama hizo ni ndogo zaidi uilinganisha na kuuvunja mkataba baadaye.

Ni ujinga kwa jinsi yoyote utakavyouangalia mkataba huu
 
Wakiristo wana chuki sana dhidi ya waislam, waraka wa maaskofu na wapingaji wa Mkataba wanaendeshwa na udini tu hamna jengine.
Waraka umeonyesha ubovu wa mkataba. Vifungu kwa kwa vifungu. Sioni sehemu walipolalamikia imani yoyote bali ubovu wa mkataba.

Je uislamu ndiyo ubovu wenyewe au ......

Je mtawala asikosolewe hata kama amepotoka kisa imani yake ?!.
 
Umeandika ujinga mtupu.

Kwani umeishia darasa la ngapi?

Na madrassa umemaliza
Elimu ipi unaulizia hii ya wakoloni kutoka Ulaya, tena kwa lugha za kikoloni?
Hiyo niligonga gonga kidogo si haba.
BA business and finance.
MSc Oil and gas management
Kisha nikabadilika kabisa nikagonga
BSc Medical science
Nikapiga BSc Diagnostic radiography
Huku madrasa nina kiwango cha thanawi yaani elimu ya sekondari.
Kuhusu kuandika ujinga naomba tukubaliane kutokukubaliana.
Wakoloni wana msemo wao "Common sense is not common"
Mtazamo wako na wangu hauwezi kuwa sawa
 
Sio siri tena!
Sasa hv makanisani ibada imekuwa ni bandari tu.....
Tena haitakiwi kuwa makanisani tu, inastahili kuwa misikitini, mahekaluni, kwenye mabaa, mabarabani, na kila mahali, mjadala uwe ni bandari. Hili ni jambo kubwa sana. Nchi kuporwa rasilimali zake kwa ulaghai, siyo jambo dogo
.
 
Mkataba huu urudiwe kwa kuwa huu ni Sumu sio haramu tu ni Sumu katika aspect zote,kiusalama,kiuchumi,kibiashara na kila kitu.
Hatupingi uwekezaji,tunakataa mikataba fiche yenye kuleta hasara kwa nchi na utumwa kwa taifa la kesho.
Vipengele vya mkataba viwekwe wazima,vijadiliwe na Kisha virekebishwe tusonge mbele.
Haraka ya Nini kwenye huu mkataba,kama kuchelewa tumeshachelewa saaana kama nchi,lakini haraka zetu ni kujiweka kwenye tanuri la moto wa gesi,kama Taifa.
 
 
Wapi kachukiwa mwislam hapa ukitaja mkataba mbovu umekuwa ndini au umepinga wislam wehu nini?
Huu mchezo hautaji hasira.
Kunitusi hakutafanya nibadili mtazamo wangu, ni uhuru wa kutoa maoni tu.
Mimi kwa maoni yangu ni udini tu
 
Wakiristo wana chuki sana dhidi ya waislam, waraka wa maaskofu na wapingaji wa Mkataba wanaendeshwa na udini tu hamna jengine.
Masheikh wako wamekujaza takataka kichwani na wewe unabeba tu.

Nyinyi wafuasi wa Mudi mnashida sana vichwani mwenu
 
Bandali zetu haziuzwi kama mwataka kuuza kauzeni za kizimkazi na kisiwandui hizi za bara haziuzwiii noooooo
 
Na mama Tibaijuka nae wepo miongoni mwa wakupongezwa.
 
Masheikh wako wamekujaza takataka kichwani na wewe unabeba tu.

Nyinyi wafuasi wa Mudi mnashida sana vichwani mwenu
Hii hapa pia inathibitisha chuki na udini wa wapinga mkataba.
Dhihaka, kejeli na dharau dhidi ya mjumbe wa Mungu hapa umeleta ili nami niwe kama wewe nimkosee heshima Yesu, lakini mimi huko sifiki maana namuheshimu.
Ila kwenye hili suala la mkataba, nadhani kwa kiasi kikubwa wapingaji wanaendeshwa na mihemko ya kidini na chuki dhidi ya waislam na uislam kwa ujumla period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…