exaud morrey
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 1,024
- 977
Duh hata kamaElimu ipi unaulizia hii ya wakoloni kutoka Ulaya, tena kwa lugha za kikoloni?
Hiyo niligonga gonga kidogo si haba.
BA business and finance.
MSc Oil and gas management
Kisha nikabadilika kabisa nikagonga
BSc Medical science
Nikapiga BSc Diagnostic radiography
Huku madrasa nina kiwango cha thanawi yaani elimu ya sekondari.
Kuhusu kuandika ujinga naomba tukubaliane kutokukubaliana.
Wakoloni wana msemo wao "Common sense is not common"
Mtazamo wako na wangu hauwezi kuwa sawa
Elimu uliyo nayo ukiacha kupelekwa nahisia waweza kua msaada kwa Taifa