Mkataba wa Bandari: Anayekiri makosa na kuomba msamaha asamehewe kisha twende pamoja

Mkataba hauna tofauti sana na mikataba yetu karibu yote na wakoloni na mabepari kutoka ulaya, ama mikataba yetu na wageni wengine, na hii ni kutokana na uzoefu nilinao wa mikataba ya mafuta na gesi na madini duniani ambayo ni moja ya taaluma zangu
Nina mshikaji wangu kasoma masters in law (oil and gas) Scotland Aberdeen ila ana mawazo ya kinyimbi kama yakwako mpaka huruma.Fikiri nje ya box, escape the matrix broh
 
lets call them by there names are thiefs
 
Hao wabunge waambie waache unafiki,kuitwa ktk chama Kwa wabunge linapokuja jambo kubwa Hilo lipo kila wakati na Wala sio mara ya kwanza,pili wote walikubali na kujadili na kuupitisha
 
Huo Mkataba hawauvunji na wala hawatouvunja hiyo Bandari ndio hivo tena tayari imeenda
 
Uhai ndio huu.
Kupewa rushwa kuiuza Bandari yetu.
Gemu bado bichi hili!
 
Kwa mandishi yako hayo hizo Bandari wapewe tu hao Dp world tena zote mpaka Bandari kavu
Umeona balaa hilo, yaani hawa ndugu zetu wa damu ni wadini sana, ukitofautiana nao kimawazo tu ndio hivyo wanashindwa kujizua chuki zao.
Na huu mkataba wanapinga kwa udini tu hamna jengine
 
Na mimi nichukue fursa hii kukutambua kama Fala, jinga na pumbavu. Nchi inagawiwa bure kama njugu wewe unashangilia. Punguani kabisa.
Duhhhh.
Asante mzee wa mtaguso.
Ila chuki haijengi, punguzeni udini, waislam ni ndugu zenu kabisa wa damu
 
Nami nakupa mfano , chunguza mikoa ya waislam mwambao wa pwani mara nyingi wakiristo wanapata ushirikiano mkubwa sana kutoka kwa wenyeji wao.
Tofauti na mikoa ya bara kwa wakiristo waislam wanachukuliwa kama wakimbizi na hawapati ushirikiano.
Waislamu ni watu wakarimu, wenye utu na sio wabaguzi ndio maana wakiristo wamejaa hapa Dar es Salaam mpaka wengi wao washasahau kama ni mji wa waislam.
Lakini huko bara kwa wakiristo ni chuki tu
 
Nimewahi kushuhudia makanisa yakichomwa moto na watu waliojiita ni waislam. Hilo lilitokea Dar na Zanzibar. Lakini sijawahi kusikia kama kuna msikiti uliwahi kuchomwa moto na wanaojiita wakristo.

Nimewahi kushuhudia biblia zikichanwa hadharani na watu ambao wanajiita waislam.

Bucha za nguruwe na maduka ya pombe, yamewahi kuvamiwa na kuvunjwa na watu waliodai ni waislam.

Mwinyi akiwa Rais, alikemea sana tabia hiyo. Akasema mtu akitaka kula nyama ya nguruwe ni ruksa. Akitaka kula nyama ya nyoka ni ruksa. Na ndipo alipopewa jina la Ruksa.

Nasema kuwa hayo yalifanywa na watu waliojiita ni waislam. Siamini kama ni uislam ndio unaoagiza hayo. Rais Mwinyi ni muislam. Kuna.mashekhe walikemea sana mambo hayo, ni waislam.

Mimi nimeishi mikoa yote yote ya pwani. Nimeishi mikoa ya bara. Sijawahi kuona wala kusikia huko bara eti kuna mtu alibaguliwa kwa sababu ya uislam. Huo ubaguzi unafanywa kwenye nini, na unafanywa kwa namna gani?

Kule Katoro, Geita, ni watu waliotoka msikitini ndio waliomwua mchungaji. Sikusikia kuwa kuna shekhe aliuawa na watu waliotoka kanisani.
 
Kwa maelezo yako haya (kama ni kweli), na ule mchango wako pale juu, basi naomba nihitimishe kwa kuandika kwamba wewe binafsi ndiye mwenye chuki dhidi ya Ukristo.
Pole sana sana.
 
Well said mkuu. Nimependa sana uchambuzi na maoni ya utulivu kabisa. Hawa viongozi wasidhani hii nchi ni yao peke yao, ni ya watanzania kwa ujumla. Ni wakati sahihi wa wananchi kutambua kuwa hatuna Bunge, tunaye Mungu peke yake anayetupigania..

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Acha chuki na udini, sisi wote ni ndugu, kutofautiana mawazo ni jambo la kawaida
Umesema kweli, mimi nachukia udini na sitaacha kuchukia udini. Maana mkileta udini kwenye mambo muhimu ya nchi mnajaribu kutugawa na hatutagawanyika kamwe. Wote waislam kwa wakristo na dini zingine na hata wasio na dini wameukataa mkataba batili wa dpw.
 
Acha chuki na udini, sisi wote ni ndugu, kutofautiana mawazo ni jambo la kawaida
Umesema kweli, mimi nachukia udini na sitaacha kuchukia udini. Maana mkileta udini kwenye mambo muhimu ya nchi mnajaribu kutugawa na hatutagawanyika kamwe. Wote waislam kwa wakristo na dini zingine na hata wasio na dini wameukataa mkataba batili wa dpw.
 
Wakiristo wana chuki sana dhidi ya waislam, waraka wa maaskofu na wapingaji wa Mkataba wanaendeshwa na udini tu hamna jengine.
IBARA ya 4 (2) ya mkataba huu wa Kimangungo inasema, iwapo Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari, inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini, ndio basi. Yaani nchi huru ikaombe ridhaa Dubai? Tena kwa Mali zake? Ujinga huu ubaki CCM na Dubai.
 
Tunaunga mkono uwekezaji,ila maoni ya wananchi yazingatiwe mkataba whatsoever makubaliano vipengele vyake virekebishwe kabla ya kukubaliwa na wananchi ndio Bunge lilidhie hiyo ndio hoja ya Dk Shoo kwa kifupi literally kabisa ametoa maoni sawa na msimamo wa TEC vinginevyo haungi mkono huo mkataba,zingatia mkataba sio uwekezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…