Mkataba wa Bandari: Mbunge Aida Khenani akiri kupelekwa Dubai, lakini mpaka wanarudi hakujua walikwenda kufanya nini

Nami nikuulize aliyepeleka majina ya COVID-19 bungeni ni nani?

Mwanasheria mkuu wa Sirikali na Ofisi ya mwanasheria mkuu wa Sirikali ni vitu viwili tofauti.
Tupe huo utofauti wa mwanasheria mkuu wa serikali na ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali?
 
Hii ni Aibu kwa nchi yetu.

Nchi nyingine Rais angeachia. Sipika angeachia ngazi kwa huu tuhuma tu.
 
Asemee hayo kwenye bunge lipi, hilo lenye spika anayejifanya mwalimu mkuu?
Umeelewa swali?
Huyu mbunge alipata nafasi ya kuchangia bungeni hakusema haya anayosema leo akaishia kusema Mbowe hajamsema vibaya Rais na kucheza clip yake bungeni.

Sasa lipi lilikuwa na umuhimu kusemwa hili la sasa au la mbowe na kucheza clip yake?
 
Amenisikitisha sana huyo mbunge na hiyo statement yake, yaani hakujua hata malengo ya safari yeye amekurupuka tu kufurahia shopping ya Dubai? Loh!
Labda hujamsikiliza mpaka mwisho...

Rudia tena kumtazama na kumsikiliza Kwa makini...

Tuchukulie Kwa mfano, wewe unapoitwa ghafla na boss wako kisha anakuambia jiandae kwa safari ya kikazi kwenda Kigali Rwanda, utahpji nini at that stage?

Obviously, cha kwanza ni kutii wito. Maswali mengine ya tunakwenda kufanya nini ni baadae huko. Na wengine wanakuambia tu, utajua hukohuko..!!

Hivyo ndivyo alivyofanya huyu mama na kalieleza vyema kabisa.

Shida iko kwa waandaaji wa safari hiyo, yaani bunge Kwa kutumiwa na waziri (serikali). Hawakuwa clear kwenye malengo ya safari hiyo. Hata walipokuwa wanaulizwa huko Kwa "what are doing here specific?", hawakuwa wakitoa majibu...

Na ndugu yangu bitimkongwe, hivi ndivyo mambo hutendeka katika mfumo wa serikali corrupt kama ya kwetu na hiyo ya Dubai...!!

Na wewe hujiulizi, hiyo timu nyingine ya wabunge walioenda India walikwenda kufanya nini? Si waliambiwa tu nyie nendeni mkafanyie shopping yenu huko na mambo yatakuwa hivi???

Unataka usikie nini zaidi tena ili utambue kuwa jambo hili limegubikwa na giza la rushwa tupu?

Kwa hili la mkataba DP WORLD, Rais Samia Suluhu Hassan katukosea sana Watanganyika..!!
 
SAFARI YA KWENDA DUBS ILIKUWA YA KUZUGA TU, MAMA NA TEAM YAKE WALISHA JIPIGIA CHAO MAPEMA IN THE MORNING, ILA HII NCHI WANA SIASA WANA HARIBU SANA, YAANI WANA INGIA MIKATABA HATA OFFICE YA MWANA SHERIA HAIJUI DUH HII HATARI., WANA PELEKA WABUNGE BILA KUWAAMBIA WANA KWENDA KUFANYA NINI, UKIRUDI UNAKUTANA NA MKATABA MEZANI U SIGN, HONGERA MAMA, KIMATAIFA.
 
Muda wa kuchangia bungeni hauzidi dakika 10, fahamu tu kuwa miongozo na intervetion ya spika ilizidi dakika 5, katika mazingira hayo anawezaje kuchangia kila kitu?
Hakuona umuhimu wa kuzungumza hili kama jambo la kwanza? Akaishia kucheza clip za mbowe??

Nyie watu rahisi sana mtu kuwashika akili
 
Baada ya Hii ziara ilitakiwa wapelekwe Wataalamu wetu wa bandari wajue huo mfumo na uanze mchakato wa kuupata. Tunacho Chuo cha Bandari kiwezeshwe kututengenezee Wataalamu wakuwezesha efficiency!
That's correct..

But all in all, hii kitu (DP World) haijakaa vizuri Kwa CCM na Rais Samia in particular..

Hii kitu inamchafua na kumvunjia heshima. Ni Bora akawa bold na kulisitisha kwanza mpaka haya yanayolalamikiwa yarekebishwe..

Uwekezaji toka nje ni mzuri sana. Lakini si kwa namna hii ya ki - DP World..!

Thanx
 
huu mkataba ni BATILI

naona hata samia mwenyewe anajuta ubatili huo wa mkataba kuwafikia wananchi nadhani hakutegemea alijua waTanganyika ni walewale kumbe wamebadilika.
Kwa hiyo wewe ndo msemaji wa Samia siku hizi?

🤣🤣🤣🤣 kweli bongo sihami
 
Haijakaa vizuri according to who? Yaaani nyie msiojua hata mambo ya bandari na hali ya nchi ndo msitishe jambo kubwa kwa maslahi ya Taifa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…