Rwekaxa Autonomy
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 461
- 498
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bandari yako kivipi? Umeijenga?Tunataka Bandari yetu ndio hoja kuu.
Yaaani wewe hufikii hata thumni ya mazuri aliyoifanyia hii nchi Rostam Aziz. Wewe utaishia kuwa mpiga kelele tuRostam Azizi ndo number moja kudhoofisha maendeleo ya nchi. Huyu Jamaa alitakiwa asiwepo Tanzania hili nchi iwe salama. Nyuma yake kuna wastaafu wanakaribia kuchungulia kaburi lakini wanafukuzana na pesa ya dunia badala ya kutubu dhambi zao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sipingi huja ya mbunge lkn Kuna shida nyingine naiona kwa sisi wa bongo.
Hivi mbunge atoke Tanzania hadi Dubai hajui alienda kufanya nn? Hatupo serious kiasi hiki kweli?
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Shopping ndiyo ilikuwa namba moja kwao.Wakati wanaondoka waliambiwa wanaenda kutembelea dpw kuona utendaji uliotukuka. Walipofika Dubai wakaishia mahotelini wakatanua halafu wakarudishwa. Ndo anashàngaa walienda kufanya nini.
Kwa hili ni ajabu sana kuliko ajabu yenyewe..!Mimi naona katika kila awamu ya bunge ya miaka mitano basi wabunge huwa wanakwenda nje ya nchi kwa mambo mbali mbali. Na wala siyo ajabu kuwa wengine wamekwenda Dubai na wengine kwenda India.
OKW BOBAN SUNZU unataka atumie lugha ili uelewe kuwa rushwa imetembea? Kwa maelezo yake;Kama kuna rushwa aseme, tutamsamehe
Jambo hili litatuharibia sana WatanzaniaSipingi huja ya mbunge lkn Kuna shida nyingine naiona kwa sisi wa bongo.
Hivi mbunge atoke Tanzania hadi Dubai hajui alienda kufanya nn? Hatupo serious kiasi hiki kweli?
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Sheria ya manunuzi ya umma inazuia kutoa tender kwa upendeleo na kwa kushawishiwa na vitu vinavyoashiria rushwa, sijui hawa watu wanadhani hizi sheria zinamhusu nani hasa? maana kwenye hili la bandari ni kama sheria ya manunuzi ya umma imekanyagwa.OKW BOBAN SUNZU unataka atumie lugha ili uelewe kuwa rushwa imetembea? Kwa maelezo yake;
1. Kwa Tanzania, walilipwa posho zao na kila gharama na TPA Kwa pesa ya Tanzania..
2. Huko Dubai, wakalipwa posho zao na DP WORLD wenyewe ambao kimsingi ndiyo mfalme mwenyewe wa Dubai maana ndiye mmiliki wa kampuni hii kwa 100%...
3. Hakuishia hapo, anasema, walilipwa na kampuni hizi mbili "kwa utaratibu wa Bunge". Mpaka hapa unaelewa nini wewe? ....... Complete contradiction!!
Lakini pia, hebu tujiulize hili:
Inawezekana vipi kampuni inayoomba deal la mkataba mnono kama huu iwachukue waidhinishaji wa tenda hiyo mahali kwa tour huku walilipa gharama zote na posho juu?
Tafsiri yake ni nini? Obviously ni RUSHWA HIYO. Ndiyo maana wengine humo ndani ya bunge walikuwa wanazungumza kama vile wameamushwa toka usingizini au kama watu mazuzu vile kuonesha kuwa hawajui lolote kuhusu hilo jambo!!.
Ndugu OKW BOBAN SUNZU, elewa kuwan aliyesemaga kuwa RUSHWA HUPOFUSHA FIKRA ZA WATU HUSUSANI UKIWA KIONGOZI WA UMMA hakukosea. Ushahidi ni huu..
Na sheria ya maadili ya viongozi wa umma hapa Tanzania kwetu inasemaje eti kuhusu hili?