Nimekukubali 100%Nami nakukumbusha kuwa mwaka 1993 tulikuwa na matatizo ya umeme ya kihistoria kutokana na mabwawa ya Mtera na Kidatu kutokuwa na maji ya kutosha kuzalisha umeme.
Halafu ukumbuke Ali Hassan Mwinyi ndiye aliyeleta sera za soko huria, kuruhusu mitumba, kuanzisha Daladala za Chai Maharage nk
Kabla ya hapo wakati wa JKN nchi ilikuwa haina fedha za kigeni watu wakawa wanavaa makaratasi kama nguo, foleni za unga na mchele madukani.
Maamuzi ya Mwinyi ndiyo yalituvusha na kisha Mkapa akaja kuimarisha misingi ya uchumi wa soko
Magumashi asilimia 1000Nawakumbusha tu kuwa mkataba wa IPTL uliingiwa kati ya nchi yetu na IPTL ya Malaysia mwaka 1994 ambapo rais alikuwa Mwinyi.
Rais Mwinyi ni Mzanzibar.
cc johnthebaptist
Hapa unataka kusemaje MzeeNawakumbusha tu kuwa mkataba wa IPTL uliingiwa kati ya nchi yetu na IPTL ya Malaysia mwaka 1994...
Sasa mbona Nyerere huwa anasifiwa sana kama alishindwa kwa vitu vidogo kama hivyo?Nami nakukumbusha kuwa mwaka 1993 tulikuwa na matatizo ya umeme ya kihistoria kutokana na mabwawa ya Mtera na Kidatu kutokuwa na maji ya kutosha kuzalisha umeme...
Kwani kuna ubaya wakitajwa kina kabudi na kesi zinazoendelea sasa hivi?Mwinyi alikuwa Mzanzibar. Kwani kuna ubaya hilo likisemwa?
Hahahaha abahaya na abatajiri yaniii?[emoji23][emoji23][emoji23]
Tritel
Wahaya ni mabilionea kitambo sana na hawanaga mbambamba kama Wachagga [emoji1][emoji1]
hata mkataba wa Loliondo uliingiwa kipindi Cha MwinyiNawakumbusha tu kuwa mkataba wa IPTL uliingiwa kati ya nchi yetu na IPTL ya Malaysia mwaka 1994 ambapo rais alikuwa Mwinyi.
Rais Mwinyi ni Mzanzibar.
cc johnthebaptist
Mna gubu sana siku hizi kha😄Nawakumbusha tu kuwa mkataba wa IPTL uliingiwa kati ya nchi yetu na IPTL ya Malaysia mwaka 1994 ambapo rais alikuwa Mwinyi.
Rais Mwinyi ni Mzanzibar.
cc johnthebaptist
Mla, mla leo.Hakuna ubaya. Kwani ya IPTL imeisha? Tunasubiri za DPW tuhangaike nazo miaka kwa 5,000 ijayo