Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Lazima upate mambo yote ya Nyerere in a big picture then u uangalie aliyo feli. Utagundua kuwa kwa kiasi kikubwa alifanikiwa. Nyerere alifanikiwa kujenga taifa lenye umoja na mshikamano, taifa lenye amani, lugha ya Kiswahili, ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika, elimu bure hadi chuo kikuu, viwanda etcSasa mbona Nyerere huwa anasifiwa sana kama alishindwa kwa vitu vidogo kama hivyo?
Suala la uchumi alifeli miaka ya baada ya Vita vya Kagera dhidi ya Iddi Amin. Na hapo ndipo A H Mwinyi alipojipatia ujiko