Mkataba wa IPTL uliingiwa mwaka 1994 Rais akiwa Mzee Mwinyi

Jinsi nnavyoona Tanzania tunavyokwenda, zinakaangwa mbuyu wachwe wenye meno wazitafune.

Nchi inaingizwa kwenye vita ya kidini na watu wanashangilia.
Wewe ni mmoja ya watu wanaofanya hivyo kwa bidii. Na Samia wako. Kimsingi kila awamu inayoshikwa na muislam nchi inaiingia kwenye mgogoro wa kidini. Muislam akikosolewa anaingia kwenye kivuli cha udini na kusingizia anakosolewa kwa sbabu ya dini yake, eti mfumo Kristo. Kipindi cha Mwinyi ndiyo tuliona vikundi vya mihadhara vya kiislam vikiibuka. Kikwete naye alifanyiwa kampeni msikitini baada ya kuona uchaguzi unamjia vibaya. Samia ameingia mkataba mbovu na waarabu wake anakosolewa naye anakodi vikundi ili viseme ni kwa sababu ni muislam.
 
Uchumi umekuwa sana na ni kutokana na sera zake ndiyo akina Mkapa na JK wameweza kuifikisha Tanzania kwenye top 10 biggest economies in Africa. Sera ya kutoruhusu raslimali zetu zitumike kabla watu wetu hawaja elimika na sera ya ardhi kuwa mali ya serikali ni nguzo muhimu za uchumi wa sasa.

Wewe kama mwananchi wapaswa kuangalia fursa zilizopo na kushiriki kwa kuwa Serikali haiwezi kukuwekea fedha mfukoni
Kwa uono mpana ni kwamba watu waliopigania uhuru (weusi) bado hawajakombolewa kiuchumi, pamoja na nadharia za kujidanganya kwa wachache wasioona mbali kuwa uchumi unakua.
Maana halisi ya uchumi kukua ni kwa waliodai uhuru ambao ni wengi kumiliki asilimia kubwa ya uchumi wa nchi kulingana na idadi yao. Uchumi unaomilikiwa na wageni (wasio weusi) kwa asilimia zaidi ya 80 hauakisi maana halisi ya uhuru. Kuna aina fulani ya utumwa iliyojificha.
 
Vita ya kidini ni ngumu sana kutokea tz, usiikuze kihivyo wkt tz watu wameishi kwa dini an makabila mchanganyiko for all those years bila vita ya kidini
Kuishi miaka mingi bila vita siyo guarantee kuwa haviwezi kutokea. Ni kwa sababu tulikuwa na kiongozi mwenye maono in the name of Julius Nyerere. Kadiri miaka inavyokwenda mbele ile misingi inazidi kubomoka na viongozi wanazidi kutumia dini na ukabila kujihami. Magufuli alitumia ukabila na ukanda. Samia anaona maji ya shingo baada ya kuvundunda naye anaanza kutumia udini.
 
Nami nakukumbusha kuwa mwaka 1993 tulikuwa na matatizo ya umeme ya kihistoria kutokana na mabwawa ya Mtera na Kidatu kutokuwa na maji ya kutosha kuzalisha umeme.

Halafu ukumbuke Ali Hassan Mwinyi ndiye aliyeleta sera za soko huria, kuruhusu mitumba, kuanzisha Daladala za Chai Maharage nk

Kabla ya hapo wakati wa JKN nchi ilikuwa haina fedha za kigeni watu wakawa wanavaa makaratasi kama nguo, foleni za unga na mchele madukani.

Maamuzi ya Mwinyi ndiyo yalituvusha na kisha Mkapa akaja kuimarisha misingi ya uchumi wa soko
Nimekupenda bure!!
 
Wewe ni mmoja ya watu wanaofanya hivyo kwa bidii. Na Samia wako. Kimsingi kila awamu inayoshikwa na muislam nchi inaiingia kwenye mgogoro wa kidini. Muislam akikosolewa anaingia kwenye kivuli cha udini na kusingizia anakosolewa kwa sbabu ya dini yake, eti mfumo Kristo. Kipindi cha Mwinyi ndiyo tuliona vikundi vya mihadhara vya kiislam vikiibuka. Kikwete naye alifanyiwa kampeni msikitini baada ya kuona uchaguzi unamjia vibaya. Samia ameingia mkataba mbovu na waarabu wake anakosolewa naye anakodi vikundi ili viseme ni kwa sababu ni muislam.
Mlithubutu kumkosowa Magufuli?

Au umesahau?
 
Nitajie ndugu mmoja wa kikwete aliye msoga...ikiwa umewasahau,nitajie ndugu wa Samia,hivi kiongozi akiingia madarakani huwa inawekwa orodha ya ndugu zake ili taifa liwajue!?..unafikiri sawasawa wewe!?
Seleman Kikwete
SSH hata kwao Zanzibar panajulikana. Wewe ulishaona nyumba ya wazazi wa Mwinyi Mkuranga?
 
Njoo Mkuranga tukuoneshe mpaka nyumba aliyozaliwa.

Unataka kushindana na Mwinyi mwenyewe kwa aliyoyaandika kwenye kitabu chake?

Weka picha ya selemani kikwete,ana ndugu mmoja tu!?
Unaongeza vipimo vya magoli tu. Pale Bagamoyo kwa baba yake JK panajulikana. Mwinyi hakuwa na kwao huko Mkuranga? Au alikuwa yatima?
 
We unaugua siyo Bure,Faiza foxy si kakwambia uende mkuranga akakuoneshe alipozaliwa mwinyi,na kama huendi nunua kitabu Cha mwinyi akisema mwenyewe kazaliwa mkuranga,bado unabwabwaja tu Kama mbwa Koko akiwa home!?
 
Nchi yetu inahitaji watu wenye maono makubwa katika utawala
 
Kwa uono mpana ni kwamba watu waliopigania uhuru (weusi) bado hawajakombolewa kiuchumi, pamoja na nadharia za kujidanganya kwa wachache wasioona mbali kuwa uchumi unakua.
Maana halisi ya uchumi kukua ni kwa waliodai uhuru ambao ni wengi kumiliki asilimia kubwa ya uchumi wa nchi kulingana na idadi yao. Uchumi unaomilikiwa na wageni (wasio weusi) kwa asilimia zaidi ya 80 hauakisi maana halisi ya uhuru. Kuna aina fulani ya utumwa iliyojificha.
Hiyo economic structure ni historical. Watanzania wenye asili ya Asia (wahindi) walikuja miaka 200 iliyopita kujenga reli ya kati. Na kihistoria wakajishirikisha na biashara baada ya reli kujengwa. Kwa hiyo kwenye umiliki wa viwanda na biashara kubwa huwezi kuwatoa. Sisi weusi hatuna discipline ya kulinda mtaji na ndiyo maana huoni mali ikihama kutoka kizazi kwenda kizazi. Kwanza tunapenda starehe na pili siyo waaminifu.

Rostam Aziz leo ni Bilionea anayetambuliwa Afrika, lakini waliompa fursa aligawana nao fedha kwenye wizi wa EPA.

Jiulize waswahili wote waliochukua fedha za EPA wanafanya biashara gani leo hii na wamebaki na fedha kiasi gani.
 
Fanya utafiti badala ya nadharia potofu. Wahindi,waarabu na wageni wengine wachache wanaomiliki uchumi waliokuwepo kabla ya uhuru ni asilimia ndogo sana, wengi wamekuja na wanaendelea kuja baada ya uhuru. Bahati mbaya, watu wenye fikra kama yako, wakiwemo raia, viongozi na watumishi wa uma ndiyo wanaowapa fursa za upendeleo. Uduni wa fikra na rushwa inayoambatana nao ndiyo changamoto kubwa.
 
Sasa wewe unasema nifanye utafiti, wewe mwenyewe unaandika hisia zako hapa. Hizo hoja zako utafiti uko wapi? Kilaza mkubwa wewe, wivu utakuua
 
Kwanza thibitisha ukilaza wangu kwa data za kuonesha wahindi waliokuja miaka 200 ndiyo hao wanaoshikilia uchumi.
Pili , thibitisha walioiba fedha za EPA na Rostam, yeye amekuwa billionaire anayetambulika kimataifa wakati wao hawana biashara yoyote.
Hapa hakuna habari za wivu, ni hoja za ukombozi wa mtu mweusi ambaye ndiye mwenye nchi na Afrika kwa ujumla.
Ni lazima mtu mweusi aione dunia kama mahali bora kwa kuishi hasa hasa akiwa nyumbani kwake alipopewa na Mungu.
 
Fanya utafiti badala ya nadharia potofu. Wahindi,waarabu na wageni wengine wachache wanaomiliki uchumi waliokuwepo kabla ya uhuru ni asilimia ndogo sana, wengi wamekuja na wanaendelea kuja baada ya uhuru. Bahati mbaya, watu wenye fikra kama yako, wakiwemo raia, viongozi na watumishi wa uma ndiyo wanaowapa fursa za upendeleo. Uduni wa fikra na rushwa inayoambatana nao ndiyo changamoto kubwa.
Jibu hili swali

Jiulize waswahili wote waliochukua fedha za EPA wanafanya biashara gani leo hii na wamebaki na fedha kiasi gani.
 
Nami nakukumbusha kuwa mwaka 1993 tulikuwa na matatizo ya umeme ya kihistoria kutokana na mabwawa ya Mtera na Kidatu kutokuwa na maji ya kutosha kuzalisha umeme.

Halafu ukumbuke Ali Hassan Mwinyi ndiye aliyeleta sera za soko huria, kuruhusu mitumba, kuanzisha Daladala za Chai Maharage nk

Kabla ya hapo wakati wa JKN nchi ilikuwa haina fedha za kigeni watu wakawa wanavaa makaratasi kama nguo, foleni za unga na mchele madukani.

Maamuzi ya Mwinyi ndiyo yalituvusha na kisha Mkapa akaja kuimarisha misingi ya uchumi wa soko
yaani unajivunia kuvaa mitumba?, nguo ambazo zimeshavaliwa na binadamu mwenzio zikatupwa?

Unasifu uuzaji holela wa mashirika ya umma na madini, unasema huo ni uchumi wa soko?
 
Back
Top Bottom