Mkataba wa IPTL uliingiwa mwaka 1994 Rais akiwa Mzee Mwinyi

Jinsi nnavyoona Tanzania tunavyokwenda, zinakaangwa mbuyu wachwe wenye meno wazitafune.

Nchi inaingizwa kwenye vita ya kidini na watu wanashangilia.

Vita ya kidini ni ngumu sana kutokea tz, usiikuze kihivyo wkt tz watu wameishi kwa dini an makabila mchanganyiko for all those years bila vita ya kidini
 
Fikiria akija Rais mwenye akili atakubali kuendelea na huu uharo wa Dp world?

Hakika ataona ni heri tulipe mabilioni ya dola kuliko kuendelea kuukumbatia upumbavu wa namna hii!
 
Wana mafuvu yamejaa msaafu tu akili za Dunia ni sifuri wanakula ngiri Kwa kificho wataachaje kufanya matope
 
Ni sahihi kabsa, na Nyerere aliyakubali hayo mabadiliko kupitia Mwinyi na sio kupitia yeye mwenyew, pengine hakuaka kuwa mnafiki kama viongoz wa leo...
 
Hizi ni hisia tu. Hazina ukweli. Hakuna ushahidi wa dhahiri kuhusu hili. Mbona hatuoni hao ndugu zake wa Mkuranga?
Una umri gani!?.. Hussein mwinyi mwenyewe alikua mbunge wa mkuranga,akahamishiwa zenji kwa sababu 'maalum'.. akasema nilikua mbunge ubabani Sasa nagombea umamani,Tena mzeee mwinyi kiasili ni mnyamwezi,mwenyewe kaeleza alihamia zenji akiwa na umri gani
 
Changamoto kubwa ni umoja huo kutotumika kuendeleza watu wake kiuchumi baadaye.
Huu umoja na mshikamano ulitakiwa uwe chachu (catalyst) kwa maendeleo ya kiuchumi na kamwe usitumike kuendeleza uduni wa fikra.
 
Changamoto kubwa ni umoja huo kutotumika kuendeleza watu wake kiuchumi baadaye.
Huu umoja na mshikamano ulitakiwa uwe chachu (catalyst) kwa maendeleo ya kiuchumi na kamwe usitumike kuendeleza uduni wa fikra.
Uchumi umekuwa sana na ni kutokana na sera zake ndiyo akina Mkapa na JK wameweza kuifikisha Tanzania kwenye top 10 biggest economies in Africa. Sera ya kutoruhusu raslimali zetu zitumike kabla watu wetu hawaja elimika na sera ya ardhi kuwa mali ya serikali ni nguzo muhimu za uchumi wa sasa.

Wewe kama mwananchi wapaswa kuangalia fursa zilizopo na kushiriki kwa kuwa Serikali haiwezi kukuwekea fedha mfukoni
 
Wako wapi hao ndugu zake wa Mkuranga? Hizo ni chai tu ili kuhalalisha kuwa ni mtu wa Bara. Hakuna mtu wa bara anaweza kuwa rais Zanzibar
 
Nitajie ndugu mmoja wa Mwinyi aliyeko Mkuranga
Nitajie ndugu mmoja wa kikwete aliye msoga...ikiwa umewasahau,nitajie ndugu wa Samia,hivi kiongozi akiingia madarakani huwa inawekwa orodha ya ndugu zake ili taifa liwajue!?..unafikiri sawasawa wewe!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…