Kuna waarabu walipewa viwanja vya mnazi mmoja miaka hiyo. Wakiwa wamezungushia uzio wa mabati kabla ya kuanza ujenzi, wananchi wenye hasira wakavamia eneo na kubomoa uzio wakimtaka aliyewagawia akawape eneo kwao Zanzibar.hata mkataba wa Loliondo uliingiwa kipindi Cha Mwinyi
Wewe ni mmoja ya watu wanaofanya hivyo kwa bidii. Na Samia wako. Kimsingi kila awamu inayoshikwa na muislam nchi inaiingia kwenye mgogoro wa kidini. Muislam akikosolewa anaingia kwenye kivuli cha udini na kusingizia anakosolewa kwa sbabu ya dini yake, eti mfumo Kristo. Kipindi cha Mwinyi ndiyo tuliona vikundi vya mihadhara vya kiislam vikiibuka. Kikwete naye alifanyiwa kampeni msikitini baada ya kuona uchaguzi unamjia vibaya. Samia ameingia mkataba mbovu na waarabu wake anakosolewa naye anakodi vikundi ili viseme ni kwa sababu ni muislam.Jinsi nnavyoona Tanzania tunavyokwenda, zinakaangwa mbuyu wachwe wenye meno wazitafune.
Nchi inaingizwa kwenye vita ya kidini na watu wanashangilia.
Kwa uono mpana ni kwamba watu waliopigania uhuru (weusi) bado hawajakombolewa kiuchumi, pamoja na nadharia za kujidanganya kwa wachache wasioona mbali kuwa uchumi unakua.Uchumi umekuwa sana na ni kutokana na sera zake ndiyo akina Mkapa na JK wameweza kuifikisha Tanzania kwenye top 10 biggest economies in Africa. Sera ya kutoruhusu raslimali zetu zitumike kabla watu wetu hawaja elimika na sera ya ardhi kuwa mali ya serikali ni nguzo muhimu za uchumi wa sasa.
Wewe kama mwananchi wapaswa kuangalia fursa zilizopo na kushiriki kwa kuwa Serikali haiwezi kukuwekea fedha mfukoni
Ushahidi? Wivu tu.Nawakumbusha tu kuwa mkataba wa IPTL uliingiwa kati ya nchi yetu na IPTL ya Malaysia mwaka 1994 ambapo rais alikuwa Mwinyi.
Rais Mwinyi ni Mzanzibar.
cc johnthebaptist
Kuishi miaka mingi bila vita siyo guarantee kuwa haviwezi kutokea. Ni kwa sababu tulikuwa na kiongozi mwenye maono in the name of Julius Nyerere. Kadiri miaka inavyokwenda mbele ile misingi inazidi kubomoka na viongozi wanazidi kutumia dini na ukabila kujihami. Magufuli alitumia ukabila na ukanda. Samia anaona maji ya shingo baada ya kuvundunda naye anaanza kutumia udini.Vita ya kidini ni ngumu sana kutokea tz, usiikuze kihivyo wkt tz watu wameishi kwa dini an makabila mchanganyiko for all those years bila vita ya kidini
Nimekupenda bure!!Nami nakukumbusha kuwa mwaka 1993 tulikuwa na matatizo ya umeme ya kihistoria kutokana na mabwawa ya Mtera na Kidatu kutokuwa na maji ya kutosha kuzalisha umeme.
Halafu ukumbuke Ali Hassan Mwinyi ndiye aliyeleta sera za soko huria, kuruhusu mitumba, kuanzisha Daladala za Chai Maharage nk
Kabla ya hapo wakati wa JKN nchi ilikuwa haina fedha za kigeni watu wakawa wanavaa makaratasi kama nguo, foleni za unga na mchele madukani.
Maamuzi ya Mwinyi ndiyo yalituvusha na kisha Mkapa akaja kuimarisha misingi ya uchumi wa soko
Wanaomsifu sio kwamba hawajuiSasa mbona Nyerere huwa anasifiwa sana kama alishindwa kwa vitu vidogo kama hivyo?
Mlithubutu kumkosowa Magufuli?Wewe ni mmoja ya watu wanaofanya hivyo kwa bidii. Na Samia wako. Kimsingi kila awamu inayoshikwa na muislam nchi inaiingia kwenye mgogoro wa kidini. Muislam akikosolewa anaingia kwenye kivuli cha udini na kusingizia anakosolewa kwa sbabu ya dini yake, eti mfumo Kristo. Kipindi cha Mwinyi ndiyo tuliona vikundi vya mihadhara vya kiislam vikiibuka. Kikwete naye alifanyiwa kampeni msikitini baada ya kuona uchaguzi unamjia vibaya. Samia ameingia mkataba mbovu na waarabu wake anakosolewa naye anakodi vikundi ili viseme ni kwa sababu ni muislam.
Seleman KikweteNitajie ndugu mmoja wa kikwete aliye msoga...ikiwa umewasahau,nitajie ndugu wa Samia,hivi kiongozi akiingia madarakani huwa inawekwa orodha ya ndugu zake ili taifa liwajue!?..unafikiri sawasawa wewe!?
Njoo Mkuranga tukuoneshe mpaka nyumba aliyozaliwa.Seleman Kikwete
SSH hata kwao Zanzibar panajulikana. Wewe ulishaona nyumba ya wazazi wa Mwinyi Mkuranga?
Weka picha ya selemani kikwete,ana ndugu mmoja tu!?Seleman Kikwete
SSH hata kwao Zanzibar panajulikana. Wewe ulishaona nyumba ya wazazi wa Mwinyi Mkuranga?
We unaugua siyo Bure,Faiza foxy si kakwambia uende mkuranga akakuoneshe alipozaliwa mwinyi,na kama huendi nunua kitabu Cha mwinyi akisema mwenyewe kazaliwa mkuranga,bado unabwabwaja tu Kama mbwa Koko akiwa home!?Unaongeza vipimo vya magoli tu. Pale Bagamoyo kwa baba yake JK panajulikana. Mwinyi hakuwa na kwao huko Mkuranga? Au alikuwa yatima?
Hiyo economic structure ni historical. Watanzania wenye asili ya Asia (wahindi) walikuja miaka 200 iliyopita kujenga reli ya kati. Na kihistoria wakajishirikisha na biashara baada ya reli kujengwa. Kwa hiyo kwenye umiliki wa viwanda na biashara kubwa huwezi kuwatoa. Sisi weusi hatuna discipline ya kulinda mtaji na ndiyo maana huoni mali ikihama kutoka kizazi kwenda kizazi. Kwanza tunapenda starehe na pili siyo waaminifu.Kwa uono mpana ni kwamba watu waliopigania uhuru (weusi) bado hawajakombolewa kiuchumi, pamoja na nadharia za kujidanganya kwa wachache wasioona mbali kuwa uchumi unakua.
Maana halisi ya uchumi kukua ni kwa waliodai uhuru ambao ni wengi kumiliki asilimia kubwa ya uchumi wa nchi kulingana na idadi yao. Uchumi unaomilikiwa na wageni (wasio weusi) kwa asilimia zaidi ya 80 hauakisi maana halisi ya uhuru. Kuna aina fulani ya utumwa iliyojificha.
Fanya utafiti badala ya nadharia potofu. Wahindi,waarabu na wageni wengine wachache wanaomiliki uchumi waliokuwepo kabla ya uhuru ni asilimia ndogo sana, wengi wamekuja na wanaendelea kuja baada ya uhuru. Bahati mbaya, watu wenye fikra kama yako, wakiwemo raia, viongozi na watumishi wa uma ndiyo wanaowapa fursa za upendeleo. Uduni wa fikra na rushwa inayoambatana nao ndiyo changamoto kubwa.Hiyo economic structure ni historical. Watanzania wenye asili ya Asia (wahindi) walikuja miaka 200 iliyopita kujenga reli ya kati. Na kihistoria wakajishirikisha na biashara baada ya reli kujengwa. Kwa hiyo kwenye umiliki wa viwanda na biashara kubwa huwezi kuwatoa. Sisi weusi hatuna discipline ya kulinda mtaji na ndiyo maana huoni mali ikihama kutoka kizazi kwenda kizazi. Kwanza tunapenda starehe na pili siyo waaminifu.
Rostam Aziz leo ni Bilionea anayetambuliwa Afrika, lakini waliompa fursa aligawana nao fedha kwenye wizi wa EPA.
Jiulize waswahili wote waliochukua fedha za EPA wanafanya biashara gani leo hii na wamebaki na fedha kiasi gani.
Sasa wewe unasema nifanye utafiti, wewe mwenyewe unaandika hisia zako hapa. Hizo hoja zako utafiti uko wapi? Kilaza mkubwa wewe, wivu utakuuaFanya utafiti badala ya nadharia potofu. Wahindi,waarabu na wageni wengine wachache wanaomiliki uchumi waliokuwepo kabla ya uhuru ni asilimia ndogo sana, wengi wamekuja na wanaendelea kuja baada ya uhuru. Bahati mbaya, watu wenye fikra kama yako, wakiwemo raia, viongozi na watumishi wa uma ndiyo wanaowapa fursa za upendeleo. Uduni wa fikra na rushwa inayoambatana nao ndiyo changamoto kubwa.
Kwanza thibitisha ukilaza wangu kwa data za kuonesha wahindi waliokuja miaka 200 ndiyo hao wanaoshikilia uchumi.Sasa wewe unasema nifanye utafiti, wewe mwenyewe unaandika hisia zako hapa. Hizo hoja zako utafiti uko wapi? Kilaza mkubwa wewe, wivu utakuua
Jibu hili swaliFanya utafiti badala ya nadharia potofu. Wahindi,waarabu na wageni wengine wachache wanaomiliki uchumi waliokuwepo kabla ya uhuru ni asilimia ndogo sana, wengi wamekuja na wanaendelea kuja baada ya uhuru. Bahati mbaya, watu wenye fikra kama yako, wakiwemo raia, viongozi na watumishi wa uma ndiyo wanaowapa fursa za upendeleo. Uduni wa fikra na rushwa inayoambatana nao ndiyo changamoto kubwa.
yaani unajivunia kuvaa mitumba?, nguo ambazo zimeshavaliwa na binadamu mwenzio zikatupwa?Nami nakukumbusha kuwa mwaka 1993 tulikuwa na matatizo ya umeme ya kihistoria kutokana na mabwawa ya Mtera na Kidatu kutokuwa na maji ya kutosha kuzalisha umeme.
Halafu ukumbuke Ali Hassan Mwinyi ndiye aliyeleta sera za soko huria, kuruhusu mitumba, kuanzisha Daladala za Chai Maharage nk
Kabla ya hapo wakati wa JKN nchi ilikuwa haina fedha za kigeni watu wakawa wanavaa makaratasi kama nguo, foleni za unga na mchele madukani.
Maamuzi ya Mwinyi ndiyo yalituvusha na kisha Mkapa akaja kuimarisha misingi ya uchumi wa soko