Mkataba wa IPTL uliingiwa mwaka 1994 Rais akiwa Mzee Mwinyi

Jibu hili swali

Jiulize waswahili wote waliochukua fedha za EPA wanafanya biashara gani leo hii na wamebaki na fedha kiasi gani.
Fedha za EPA hazikuibwa kwa lengo la kwenda kufanya biashara (unless unithibitishie), kwa hiyo sijui biashara zao.
Hata huyo Rostam mnayemtaja, biashara zake na huo wizi wa EPA ni vitu viwili tofauti.
Hata hivyo, ni muhimu kujua kuwa ukwapuaji wa fedha za uma uliowahi kufanyika nchini siyo EPA tu, na fedha za aina hiyo hugawanywa kwa mtiririko kuanzia mamilioni mpaka maelfu kwa wale wa chini (kumb. Escrow).
 

Jibu hili swali

Jiulize waswahili wote waliochukua fedha za EPA wanafanya biashara gani leo hii na wamebaki na fedha kiasi gani.
lebabu11 jibu la swali lako hapo juu hilo hapo chini limeletwa na Jagina
 
lebabu11 jibu la swali lako hapo juu hilo hapo chini limeletwa na Jagina
Naomba nikupuuze kwa hili au tukubaliane kutokubaliana. Umeanza kuniita kilaza mkubwa, nitakufa kwa wivu. Sasa nikukutana na mtu mwenye reaction ya namna hii, sipendi sana kuendeleza mjadala naye,ni bora zaidi kumpuuza tusonge mbele.
 
Naomba nikupuuze kwa hili au tukubaliane kutokubaliana. Umeanza kuniita kilaza mkubwa, nitakufa kwa wivu. Sasa nikukutana na mtu mwenye reaction ya namna hii, sipendi sana kuendeleza mjadala naye,ni bora zaidi kumpuuza tusonge mbele.
Nakubaliana na wewe. Huna hoja. Case closed
 
Na mnyarwanda (mzungu)mgalatia nae akaja kuwaingiza kwenye migogoro ya mikataba
Ambayo labda kwisha kwake ni kufunga mikanda karne
 
Nyie watu mna upungufu sana. Yaani kujua kuchamba mavi kwa maji au mchanga ndio mumeona ustaarabu sana?πŸ€£πŸ˜‚ Kama hamjui wenzenu hawashiki mavi. Wanachamba na karatasi maalum kisha wanajisafisha na maji. Nyie kushika mimavi ndio mnaona ustaarabu🀣. Halafu wala sio issue kuuubwa hadi kua moja ya mambo kwenye imani yao ya kiroho.πŸ˜ŽπŸ€”
 
Nilichojifunza ni gubu la watu waliopata imani ya kikoloni hawataki kuona tz inapata mafanikio kutokana na juhudi za Rais mwanamke.Naimani kuwa atatufikisha salama na maendeleo makubwa yanakuja hata kama waliokuwa wanapitisha makontena bure kwa mgongo wa dini ya kikoloni hawataki uwekezaji wenye tija.
 
Natamani hii Jamii forum ili ujiunge utume kwanza CV afu wakuite wakufanyie interview ukifuzu ndio ujiunge maana naona maoni ya.wengi ni ya wale waliofeli darasa la 7. Nashauri ukitoa maoni yako lazima yaseme faida na hasara juu ya kitu unachozungumzia hapo utaonesha una elimu au una KKK tu
 
Nawakumbusha tu kuwa mkataba wa IPTL uliingiwa kati ya nchi yetu na IPTL ya Malaysia mwaka 1994 ambapo rais alikuwa Mwinyi.

Rais Mwinyi ni Mzanzibar.

cc johnthebaptist

Mzanzibar wapi uyo mndengeleko uyo aliyekulia visiwani uko
 
Hapa ilikua bara na visiwani, dini/ imani imefikaje tena?
 
Sifa ya kuwa Rais wa Zanzibar ni lazima uwe raia wa Zanzibar. Mzee Mwinyi aliwahi kuwa rais wa Zanzibar na Mwanae pia ni Rais huko Zanzibar kwa sasa
Ndiyo nakwambia sasa Mzee Mwinyi ni wa huku bara kama hujui hata kama aliwahi kuwa Rais wa kule bado ni wa huku, nakuongezea mwingine Mzee Karume Rais wa kwanza wa kule, ni Myao kwa kabila na kazaliwa huku bara ila kawa Rais kule

Mzee Mwinyi si Mzanzibar na hajawahi kuwa mzanzibar, ni mdengereko wa Pwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…