Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Hezbollah unakaribia kukamilika

We hivi umeiona hayo mahojiano ya Aimos Hochstein huyo US Envoy, isikilize interview yake na Al Jazeera kweli wamefanya translate kwa kiarabu, lakini unamsikia anacho ongea hakuna cha 60 days ni vita vya kusimamisha moja kwa moja hio 60 days ni kama kuna askari wa israel walio baki kwenye sehemu walizo ingia 2 to 3Km waondoke

We unajua sheria ya Lebanon inasema ni Jeshi na Al Muqawama mpa ardhi ya Lebanon ikombolewe na hapo ndipo mapuppets wa US walipo failed. Hawawezi kuivunja Hezbullah

Lebanon’s security formula of ‘the army, the people and the resistance’ gives Hezbollah legitimacy within the state without the accountability required of a state institution.

 
We nae sio kwa nondo hizo haya hamasi karusha mawe fafanua
 
NETANYAHU mjanja ujue
Ni fala wa mwisho Hezbullah hakuna kibanda cha kutengeneza silaha kikiwacha, na North kapachafua vibaya sana watu wake hawakuhawahi kuishi nje, mpaa nyumba zimalizwe kujengwa ni lini
 
Asala kubwa kama sio asala tudanganye kwanini wanataka vita visimame pande ile ya Hezbullah sio Gaza wanawapenda sana. Msimamo wa Hezbullah vita visimame Gaza na kuondoa uchafu wao pale watu warudi kwenye maisha yao
Tatzo la kuanzia madrasa kusoma ona sasa unaandika kiarabu hueleweki Asala ndo takataka gani?waislamu ni wajinga sana
 
Subutu apige risasi moja labda zile za kurusha hewani 😄 🤣 Hao askari Hezbullah alikuwa anawachia waingie kwenye miji ya mpakani ni km 1 5 to 3km ili awe anapiga hivyo vifaru ndio wamebaki tena wataondoka labda mda wa week mbili tu wote
Kuna mapunguani humu yalikuwa yameshikiwa akili na gaidi Netanyahu yanashingilia tu.

Alisema ataifuta Hezbollah na Hamas na watawanyanganya silaha Hezbollah😅

Kiko wapi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…