imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Basi Hezbola akatae kusimamisha Vita mbona kakubali wakati malengo yao ya Vita isimame Gaza hajafikiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We hivi umeiona hayo mahojiano ya Aimos Hochstein huyo US Envoy, isikilize interview yake na Al Jazeera kweli wamefanya translate kwa kiarabu, lakini unamsikia anacho ongea hakuna cha 60 days ni vita vya kusimamisha moja kwa moja hio 60 days ni kama kuna askari wa israel walio baki kwenye sehemu walizo ingia 2 to 3Km waondokeHapa sio Issue ya Hezbola tena hapa kwenye Issue ya Sheba Farms ni kati ya Serikali ya NCHI ya LEBANON na Serikali ya NCHI ya ISRAEL Hezbola atabakia tu Chama cha Kisiasa cha Kishia na hii Ceasefire ni ya muda wa siku 60 Hezbola akishupaza shingo tena KIPIGO kinaendelea😂🤣
Yahaudi jeusi la Makete linaongea fikra zake🤣
View: https://x.com/noorfatimapk/status/1861721428241899815?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
We nae sio kwa nondo hizo haya hamasi karusha mawe fafanuaJana tu hio mziki ilipigwa na hzb maji wakaitwa mma
🟡 Hezbollah's War Media:
Islamic Resistance Operations
"The Battle of the First Cry"
Sunday, November 24, 2024
69 days since the start of the aggression
Total Operations: 51
Targeted Locations:
Within Lebanese territory: 19
Within the occupied Palestinian territories: 34
Target Depth:
Up to 150 km
Types of Targets:
Military vehicles: 6
Military bases: 9
Aircraft and drones: 1
Military sites and barracks: 5
Cities and settlements: 14
Civilian gatherings: 18
Weapons Used:
Guided missiles: 7
Precision rockets: 4
Short-range surface-to-surface rockets: 1
Long-range surface-to-surface rockets: 38
Air defense systems: 4
🚩 @ResistanceTrench
Hata kwenye meza ya makubaliano hawapo
Ni fala wa mwisho Hezbullah hakuna kibanda cha kutengeneza silaha kikiwacha, na North kapachafua vibaya sana watu wake hawakuhawahi kuishi nje, mpaa nyumba zimalizwe kujengwa ni liniNETANYAHU mjanja ujue
Subutu apige risasi moja labda zile za kurusha hewani 😄 🤣 Hao askari Hezbullah alikuwa anawachia waingie kwenye miji ya mpakani ni km 1 5 to 3km ili awe anapiga hivyo vifaru ndio wamebaki tena wataondoka labda mda wa week mbili tu wote
View: https://x.com/Osint613/status/1861780977959288878
IDF inawakumbusha sababu ya kukimbia makazi yao ilikuwa ni nini
Nani atakiwa kuondoka kwa hiari huko Lebanon?Subutu apige risasi moja labda zile za kurusha hewani 😄 🤣
Kaa utulieWe nae sio kwa nondo hizo haya hamasi karusha mawe fafanua
Ni fala wa mwisho Hezbullah hakuna kibanda cha kutengeneza silaha kikiwacha, na North kapachafua vibaya sana
Walio sema Hezbullah imekufa wako wapi 😄 🤣 😂Yahaudi jeusi la Makete linaongea fikra zake🤣
View: https://x.com/noorfatimapk/status/1861721428241899815?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Tatzo la kuanzia madrasa kusoma ona sasa unaandika kiarabu hueleweki Asala ndo takataka gani?waislamu ni wajinga sanaAsala kubwa kama sio asala tudanganye kwanini wanataka vita visimame pande ile ya Hezbullah sio Gaza wanawapenda sana. Msimamo wa Hezbullah vita visimame Gaza na kuondoa uchafu wao pale watu warudi kwenye maisha yao
Hahahaha angalia hili shoga limekasirika mimi na wewe nani anaunga story mimi nakuja na ushahdi wewe unakuja na maneno matupu tafuta habari kwa mabasha zako.Acha kuunga story wewe kenge, unadhani humu kuna maamuma wenzako?
Walio sema Hezbullah imekufa wako wapi 😄 🤣 😂
Kuna mapunguani humu yalikuwa yameshikiwa akili na gaidi Netanyahu yanashingilia tu.Subutu apige risasi moja labda zile za kurusha hewani 😄 🤣 Hao askari Hezbullah alikuwa anawachia waingie kwenye miji ya mpakani ni km 1 5 to 3km ili awe anapiga hivyo vifaru ndio wamebaki tena wataondoka labda mda wa week mbili tu wote
Nani atakiwa kuondoka kwa hiari huko Lebanon?