Tutaona mengi raundi hii ila hawa jamaa wamesaini mkataba mapema sana sijui hata umepitiwa saa ngapi umesaini mkataba Alhamisi Ijumaa unavaa Nembo za Mdhamini kwanini wafanye haraka hivyo?Mkuu mbona nilisikia ni tetesi..imeshakuwa rasmi?
Na jezi zikachapwa haraka ,wkt wangesubiri ligi iishe,wajua km wamefuzu ,kisha watammbulishe mdhamini na jezi mpya,hii ingesaidia kupata muda wa kifikiri na kujadili mkatabaTutaona mengi raundi hii ila hawa jamaa wamesaini mkataba mapema sana sijui hata umepitiwa saa ngapi umesaini mkataba Alhamisi Ijumaa unavaa Nembo za Mdhamini kwanini wafanye haraka hivyo?
Inahitaji busara sana kuwazua hili jambo.
"Hiyo nguvu unaitoa wapi kwa hali kama hii mkuu"" Simba nguvu moja"
Hakuna kukata tamaa, mapito tu hayo..."Hiyo nguvu unaitoa wapi kwa hali kama hii mkuu"
Mchezaji gani alicheza akiwa na kadi tatu? Unavuruga bandiko lako kwa kuleta ushabiki usiotija. Timu mojawapo ilifoji nyaraka kulazimisha kadi tatu, get your arcs together brother. Tusitetee ujinga.
Kwa hilo la Hanspope, kwani kujiuzulu kwake kutafanya mkataba na Spotipesa uvunjike na mkataba wa awali wa Mo kuwa honoured?
Ni rasimi mkuu...Mkuu mbona nilisikia ni tetesi..imeshakuwa rasmi?
Hawakushirikishwa kwenye mchakato mzima!Kuna kitu sijakielewa hapa!
Klabu inapata mkataba wa +5 bilions, alafu 'mfadhili' na baadhi ya viongozi wanakuwa against bila hata ya kutuelewesha mapungufu ya huo mkataba
Kuna kitu sijakielewa hapa!
Klabu inapata mkataba wa +5 bilions, alafu 'mfadhili' na baadhi ya viongozi wanakuwa against bila hata ya kutuelewesha mapungufu ya huo mkataba
Around 4.6 bilions + other bonus / 5 yrs!800M Au 5 B ?