TangataUnyakeWasu
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,268
- 1,611
Povu la sabuni gani tena hilo?Soma vizuri na ukome kunipa timu ya ovyo
MO sio sponsor ni MMILIKIKI MWENZA au mmesahau mlimpa 51% ya shares za Simba!!!!..... Na mkataba wa awali mkaingia... MO halalamiki kama mdhamini analalamika kama mmiliki MWENZAMo hakuwa exclusive and solely sponsor wa Simba na hakukuwa na makubaliano rasmi kwamba yeye ndiye mwenye uamuzi wa mwisho kuhusu udhamini wa Simba sasa alitaka ashirikishwe kivipi wakati hao wadhamini wengine wanafanya biashara tofauti isiyofanana na zake.
Teeeeeeeeeeh teeeeeeeeeeh teeeeeeeeeeMO sio sponsor ni MMILIKIKI MWENZA au mmesahau mlimpa 51% ya shares za Simba!!!!..... Na mkataba wa awali mkaingia... MO halalamiki kama mdhamini analalamika kama mmiliki MWENZA
MO ni mchumia tumbo, hana lolote, alitaka yeye akiwa kama mmiliki wa simba ndiyo aingie mkataba na sportpesa kisha mafungu yote ayatie mfukoni! Sasa huo kama sio ukanjanja ni nini?MO sio sponsor ni MMILIKIKI MWENZA au mmesahau mlimpa 51% ya shares za Simba!!!!..... Na mkataba wa awali mkaingia... MO halalamiki kama mdhamini analalamika kama mmiliki MWENZA
Kuwa na adabu MO avitamani 4.8B?kweli ????MO ni mchumia tumbo, hana lolote, alitaka yeye akiwa kama mmiliki wa simba ndiyo aingie mkataba na sportpesa kisha mafungu yote ayatie mfukoni! Sasa huo kama sio ukanjanja ni nini?
Mkia ***** wewe ****
Swala La Mikataba Bongo Bado Sana Elim Hakuna Vitu Watu Wanepelekesha Kana kwamba Hakuna Utaratibu
Kwani mkataba unawataka Simba wafanye nini?huu mkataba mdogo sana mil 888 kwa mwaka pia aveva ajawashirikisha wenzake uhoni Yanga wamekataa pesa za madafu
Na kama una ukakasi je? Lakini kama kuna haja ya Mo kuuona huo mkataba hivi sasa, hakukuwa na haja ya kuuona kabla ya kusainiwa? Wakati upi ungekuwa mwafaka zaidi kuuona huo mkataba?Wakae Meza moja na MO wayamalize hao ni wadhamini, na MO alijinasibu kuwa mwekezaji kuna vitu viwili hapo! Mwekezaji anakuwa na time flame ya miaka zaidi ya 10 au 20/ ila mdhamini ankuwa na muda mfupi, nafikiri wamuoneshe mkataba walioingia na yeye aone kama hauna ukakasi basi waendelee na kuijenga simba sport club, migogoro hii haitasaidia kitu,
Aibariki Yanga iendelee kununua mechi na kupendelewa na Malinzi...Mungu ibariki Yanga .....ahsante.
Mo jeuri sana, anataka kununua na lile jengo la pale bondeni linalotaka kupigwa mnada.Nasikia mo ameshachachagua na jengo la kuchukua kati ya yale mawili amechagua lile la kona duh mjanja kweli poleni sana watani