Umefunga uzi broMaswali yako haya yoooote yanajibiwa na jibu moja toka kwenye swali hili:
Kwanini Yanga waliomba ridhaa ya Sportspesa juu ya kuweka logo nyingine kwenye jezi katika mashindano ya kimataifa hatua ya makundi?
Mkataba hauna kipengele Cha mdhamiini kuuweza kutufungisha ndoa na mume mwingine (kama tanapa) bila ridhaa yetu. Pili, gharama za timu kushiriki mashindano ya CAF hazikujadiliwa kwenye mkataba, tatu Yanga bado inaendelea kuitangaza sportpesa kwenye website, Instagram, Yanga App, jezi za Yanga princess, mabasi ya Yanga na jezi zinazovaliwa na wanachama na mashabiki, nne, Hailer sio kampuni ya michezo ya kubahatisha hivyo hakuna mgongano wa kibiashara, Tano, caf ndiye waliiamuru Yanga isivae logo ya sportpesa, sita, gharama za kushiriki mashindano ya CAF ni kubwa mno.Endeleeni kuwa wabishi, mtarudi kucheza vifua wazi.
Kwa maswali yako hayo utakuwa mgeni kwenye masuala ya mpira. Hatukudhani mmeathirika hivi kisaikolojia kwa kutokuwa kwenye makundi toka enzi Nyerere akiwa hai.
Kama hamtaki kutangaza utalii, wekeni matangazo ya kuwaambia watu wavae barakoa maana bado mko nyuma sana.
Caf kuanzia makundi wana mdhamini wao ambae ni kampuni ya betting ambayo ni 1×bet sasa ukivaa sportpesa unachanganya madawa maana yule ni mshindani wa 1x bet, sp inatoa bonas kama yanga wakifanya vzr kwenye mashindano haya sasa mtu anaekupa bonas, mshahara, usafiri chakula nk nk leo unaendaje kuvaa mdhamini mwingine.Visit Tanzania Ina uhusiano gani na sportpesa? Hatujali kama sportpesa wangesema huweke picha ya mshindi wa sportpesa jackpot, lakini sio kitu kingine. Kesho watakwambia tuweke picha ya mo au pkipiki ya boxer, tutakubali?
Nauona mnapiga unyoka mwingi "Cesar Manzoki"
Kwanini SportPesa wanalalamika? Mzee wa unyoka!!!!
Yanga bado inaitangaza sp kipindi hiki. Sp angeeleweka kama Yanga ndio iliyokataa kuvaa SP kwenye caf tonaments. Pili ingekuwa na hoja kama Hailer ingekuwa kampuni ya kubet, ingeeleweka kama sp ingebeba gharama za timu kusafiri na kuhudumia timu kwenye mashindano ya CAF. Hiyo bonus na pesa za CAF zote zinakuja mwisho wa mashindano (to late to help the team). Sp ingeeleweka pia kama ingeamuru jezi zibaki wazi kifuani badala ya kulazimisha wavae visit tz. Siku nyingine watakulazimisha uvae jezi yenye picha ya kondom ya kike kama kampeni ya kuzuia magonjwa.Caf kuanzia makundi wana mdhamini wao ambae ni kampuni ya betting ambayo ni 1×bet sasa ukivaa sportpesa unachanganya madawa maana yule ni mshindani wa 1x bet, sp inatoa bonas kama yanga wakifanya vzr kwenye mashindano haya sasa mtu anaekupa bonas, mshahara, usafiri chakula nk nk leo unaendaje kuvaa mdhamini mwingine.
Ndio, sp wanawapangia yanga nani awe mbadala wao kwenye hatua hii ya makundi kwa kuwa fedha zitaendelea kutolewa na sp kwani visit tz hawatoi hata buku, sp wana umiliki wa kifua cha yanga hadi 25,
Shida walikataa kuvaa visit tz kwamba wataonekana wameiga simba,
Kumbuka jezi za haier ziko mtaani na zimeuzwa na pembeni kuna nembo ya yanga basi tayari soko la sp lishaaribika...
Feisal anaambiwa aheshimu mkataba wakati club yenyewe haieshimu mikataba ya wenzao
Hakuna uhusiano kati ya kilichofanyika na alichofanya Fei Toto. Unademka tu. Yanga haijaachana na sp, ligi inaendelea na hata kesho kutwa Kuna mechi za ligi na FA Yanga itaendelea na mdhamiini wake mkuu kifuani. Hii ni special operation ya mechi tatu TU yenye Lengo la kufanikisha. Hili ni fundisho kwa sp na yanga wakati wa kuhuisha mkataba wao. Mkataba lazima useme itakuwaje kama timu ikiingia hatua ya makundi kuhusu gharama na uvaaji wa jezi.Mwenye haki ni sportpesa kijana Yanga wamepuyanga wamerudia yale yale waliomlalamikia Feisal Salum.
Nukuu kifungu na utuambie kifua cha Simba nani ana hatumiliki yakeSportpesa ndiye mwenye Hatimiliki na kifua cha Yanga ( mdhamini mkuu).
Si yanga tena, umiliki wake ulikata pale alipo chukua Bil 12.
Kifua cha Simba ni mali halali ya M-Bet, Kifua cha Yanga pamoja na vifua visaidizi (cha Namungo na cha Singida Big Stars) ni mali halali ya Sportpesa.Nukuu kifungu na utuambie kifua cha Simba nani ana hatumiliki yake
kWa manufaa ya nani?Nukuu kifungu na utuambie kifua cha Simba nani ana hatumiliki yake
Mkuu kavulata mimi nakuheshimu sana mtani wangu, ila katika andiko lako unaonesha wasiwasi wako juu ya vipengele vya mkataba wenu na Sportpesa.Hakuna uhusiano kati ya kilichofanyika na alichofanya Fei Toto. Unademka tu. Yanga haijaachana na sp, ligi inaendelea na hata kesho kutwa Kuna mechi za ligi na FA Yanga itaendelea na mdhamiini wake mkuu kifuani. Hii ni special operation ya mechi tatu TU yenye Lengo la kufanikisha. Hili ni fundisho kwa sp na yanga wakati wa kuhuisha mkataba wao. Mkataba lazima useme itakuwaje kama timu ikiingia hatua ya makundi kuhusu gharama na uvaaji wa jezi.
Safi, hii inaitwa kukabia juu.Maswali yako haya yoooote yanajibiwa na jibu moja toka kwenye swali hili:
Kwanini Yanga waliomba ridhaa ya Sportspesa juu ya kuweka logo nyingine kwenye jezi katika mashindano ya kimataifa hatua ya makundi?
Mwamba ambapo huelewi ni wapi lkn, sp wapo kifuani mwa yanga hadi 2025 iwe ni masika au kiangazi hivyo yanga wakitaka kuweka chochote kifuani lazima wawaombe sp ila sp wanaweza kuwaelekeza yanga nn cha kuvaa full stop na hayo maelekezo ni kwa mujibu wa mkatabaYanga bado inaitangaza sp kipindi hiki. Sp angeeleweka kama Yanga ndio iliyokataa kuvaa SP kwenye caf tonaments. Pili ingekuwa na hoja kama Hailer ingekuwa kampuni ya kubet, ingeeleweka kama sp ingebeba gharama za timu kusafiri na kuhudumia timu kwenye mashindano ya CAF. Hiyo bonus na pesa za CAF zote zinakuja mwisho wa mashindano (to late to help the team). Sp ingeeleweka pia kama ingeamuru jezi zibaki wazi kifuani badala ya kulazimisha wavae visit tz. Siku nyingine watakulazimisha uvae jezi yenye picha ya kondom ya kike kama kampeni ya kuzuia magonjwa.
Ona huyu, mkataba ni mpaka 2025 mzee kwenye mashindano yoyote yale ambayo yanga watashiriki hukuona nbc, mapinduzi, fa na round ya awali ya caf ambazo yote yanga wametangaza sp kifuani lkn sasa tunapoingia makundi hapo ndio kimbembe kwamba hakuna timu yoyote kuvaa betting company isipokuwa kama tangu mwanzo unaitangaza 1xbet maana wao ndio wanadhamini mashindano haya kuanzia makundi kwa maana hiyo basi kama mnatangaza sp au m bet inabidi mrudi kwa mdhamini wenu awaamulie nn cha kuvaa pengine akiamua mvae plain nayo ni sawa tu, ila sasa sp mara nyingi hupendekeza visit tz ndio ionekane mbeleHakuna uhusiano kati ya kilichofanyika na alichofanya Fei Toto. Unademka tu. Yanga haijaachana na sp, ligi inaendelea na hata kesho kutwa Kuna mechi za ligi na FA Yanga itaendelea na mdhamiini wake mkuu kifuani. Hii ni special operation ya mechi tatu TU yenye Lengo la kufanikisha. Hili ni fundisho kwa sp na yanga wakati wa kuhuisha mkataba wao. Mkataba lazima useme itakuwaje kama timu ikiingia hatua ya makundi kuhusu gharama na uvaaji wa jezi.
Sawa, lakini anaruhusiwa kuichagulia Yanga nini Cha kuandika kifuani? Kwanini asiishie kusema kifua kiwe wazi ili asione chochote pale. Yaani huko ni sawa na kumchagulia mkeo mume wa kulala nae chumbani wakati ukiwa safarini. Je, mume anayo mamlaka hayo kwa mkewe?