Mkataba wa sportpesa na Yanga unaruhusu haya?

Mkataba wa sportpesa na Yanga unaruhusu haya?

Maswali yako haya yoooote yanajibiwa na jibu moja toka kwenye swali hili:

Kwanini Yanga waliomba ridhaa ya Sportspesa juu ya kuweka logo nyingine kwenye jezi katika mashindano ya kimataifa hatua ya makundi?
Bango lipo wazi kampuni ya Pespsi waliwaomba waweke tangazo lao. kazi ya mwenye bago ilikuwa kujibu wekeni au msiweke, lakini sio kuwachagulia bidhaa ya kuweka pale. Tatizo kubwa la sp ni kuwaambia wekeni visit tanzania bila hata ya mazungumzo na wadau wa utalii wenyewe kuona kama wanakubali au la, je yanga ina sifa ya kutangaza utalii au laa. Mfano, Simba walikamatwa wakifanya mambo ya kichawi uwanjani (unsporting) kule South Africa, je wanayo sifa na hadhi ya kuvaa visit Tanzania kuwa mabalozi wa utalii? Kuwa balozi wa utalii kuna sifa na vigezo vyake ambavyo ni lazima viwekwe na kufanyiwa tathimini na wadau wenyewe wa utalii. Sio kila mtu anastahili kuvaa visit Tanzania. Hata Rwanda walichagua Arsenal kuvaa visit Rwanda, kwanini hawakuweka kwa crystal Palace?
 
Bonus haizingatii gharama za kushiriki mashindano. Timu inahitaji kukaa siku 6 kule Tunis kabla ya mechi kama mbinu ya vita, sp inachangia sh. ngapi kwenye gharama ya namna hii? Wapenzi na mashabiki wanaweza kuichukia sp milele kama itaonekana kama vile inataka kuihujumu Yanga kwa kushirikiana na Simba kuwatoa mchezoni.
Jamaa kuna vitu vingi huvielewi kwenye mambo ya mikataba, nami nikuulize wakati yanga na sp wanaingia mikataba walijua yanga itafika makundi ili kwamba kama ikifika makundi basi kwa kipindi hicho mishahara isilipwe, no bonas no nauli za kwenda tunis nk nk au mwezi huu sp isiwalipe mishahara wachezaji kwa kuwa timu iko kwenye mashindano ya caf?
 
Kwahiyo Sp ndo analipa mishahara pale Yanga?
 
Yanga hamna mwanasheria pale ukimuona kavaa suti unasema bonge la msomi kumbe kichwani ni empty set
 
Snake snake🐍🐍🐍🐸 fc kwa kujichanganya tu... Mupo vizuri
 
Jamaa kuna vitu vingi huvielewi kwenye mambo ya mikataba, nami nikuulize wakati yanga na sp wanaingia mikataba walijua yanga itafika makundi ili kwamba kama ikifika makundi basi kwa kipindi hicho mishahara isilipwe, no bonas no nauli za kwenda tunis nk nk au mwezi huu sp isiwalipe mishahara wachezaji kwa kuwa timu iko kwenye mashindano ya caf?
Inaonekana kama vile sp hawakufikiria kama Yanga inaweza kushiriki makundi. Ndio maana ya hiki unachokiona Leo, mkataba uko kimya kuhusu nini lifanyike kama kama kama, ndiyo maana sp inatoa maagizo ya upande mmoja kuhusu nn kiandikwe pale kwenye Jez. Kuwa balozi wa utalii Kuna mipango yake, vigezo vyake na bajeti yake, sio matamko TU ya kujikomba, Nani kakwambia kuwa Yanga imeacha kuitangaza sp wakati wa mashindano ya CAF? Kuna vitengo vingi vyenye uhusiano na Yanga bado vinapiga mzingo wa kuitangaza sp, wadau wa Yanga bado wanaendelea ku bet na sportpesa. Hata hivyo ni nani kakwambia sp ndiyo inalipa mishahara na safari Yanga?
 
Mwenye haki ni sportpesa kijana Yanga wamepuyanga wamerudia yale yale waliomlalamikia Feisal Salum.
Yanga wamesha chukua hela za Haier na jezi wameuza bilioni Fulani hivi watafanya Nini?
Mkataba wa Sportpesa unakuwa valid tu Kama nchi au waandaaji wa michuano wamekubali nukta
 
Yanga wamesha chukua hela za Haier na jezi wameuza bilioni Fulani hivi watafanya Nini?
Mkataba wa Sportpesa unakuwa valid tu Kama nchi au waandaaji wa michuano wamekubali nukta
Eti eeh, tukutane next chapter
 
Kuna wale watu hubishana bila kusikiliza hoja za upande wa pili. Kwa hiyo anakuwa haelewi hata maelezo unayompa. Ndio mashabiki wa Yanga
Sasa SI waende wanakotaka.
Wasiwe Kama Fei toto anauza urojo badala kwenda atakakopata maslahi makubwa mkataba SI unamruhusu.tuondoleeni ujinga hapa .washaurini Cha kufanya.jezi tunavaa hela za pande zote tumevuta.na ataendelea kuwa mdhamini wa Yanga mpaka mkataba utakapoisha kwa bilioni 4+ per year,sio billion 2 Kama huko Ngada fc
 
Endeleeni kuwa wabishi, mtarudi kucheza vifua wazi.

Kwa maswali yako hayo utakuwa mgeni kwenye masuala ya mpira. Hatukudhani mmeathirika hivi kisaikolojia kwa kutokuwa kwenye makundi toka enzi Nyerere akiwa hai.

Kama hamtaki kutangaza utalii, wekeni matangazo ya kuwaambia watu wavae barakoa maana bado mko nyuma sana.
Hakuna mjinga anayeweza kutoa mwanya wa watu kutumia bajeti kwa maslahi yao... Visit Tz sio mdhamin wa yanga na sportpesa hawezi kuilazimisha yanga kuvaa nembo hiyo...
 
Kwakuwa kifua kitakuwa wazi kwasababu za CAF. Sportpesa hawana mamlaka ya kuwaamuru Yanga wavae visit Tanzania. Tanapa ndio wanaoweza kuomba Yanga wavae visit Tanzania.
Kwa nini kisingeendelea kubaki wazi kama "visit Tanzania" haikukubalika!?
 
Back
Top Bottom