Mke adai talaka na kugawana mali kwa kumzuia kutoenda msibani Hadi nitakapo rudi, nimemwambia chukua Kila kitu

Mke adai talaka na kugawana mali kwa kumzuia kutoenda msibani Hadi nitakapo rudi, nimemwambia chukua Kila kitu

Mimi mke hawezi kwenda popote pasipo na ruhusa yangu.
Na panapo tokea jambo zito lazima tukae tuzungumze ili kilakitu kikae sawa, maana ninaamini hakuna jambo linalo shindikana ikiwa tutafanya mazungumzo.

1. Lakinipia nadhani huyo mke hana utii kwako ndio sababu ametoa majibu yasio faa kwa jambo la msingi.

2. Pili, nina uhakika kuna shida kati yenu na mmekua na migogoro ya kila wakati na hata wakati unaondoka nyumbani hamkua na maelewano mazuri.

3. Naona umetoa majibu ya hasira kuliko kutumia busara kwenye jambo zito la kuhusu msiba

4. Mkeo haoni mbele, anaamini msiba ndio mwisho wa maisha yenu kwa ustawi wa watoto wenu ilhali alipaswa akusikilize kwa upole na ungelimpa majibu yanayo faa.

5. Kwasasa nikama amekuchoka nawewe hauna upendo nae tena ndio sababu unaona ni rahisi kuachana nae kwa gharama yeyote.

Mwisho lakini sio kwa umuhimu:-
Ebu fanyeni namna nzuri na mfuate taratibu za kisheria ili muachane kwa amani kwa manufaa na ustawi wa watoto wenu.
Taratibu za kisheria zipi ndo maana sijataka kuchukua kitu chochote vyoote avichukue,sitaki usumbufu wa mambo ya mahakamani
 
Dahh wanaume wa sikuhizi mnajishaua sana! Sasa si watu wataachana kila kukicha maana mwanamke mara nyingi akiongea neno ni kinyume ya anachokimaanisha!
Hiyo kinyume atajua mwenyewe, huwezi nitishia kuachana wakati kuna players wengine wako banch wanapasha misuli kuingia dimbani 😆😆
 
Hiyo kinyume atajua mwenyewe, huwezi nitishia kuachana wakati kuna players wengine wako banch wanapasha misuli kuingia dimbani 😆😆
dahh ndoa zitawashinda sana nyinyi vijana! Wazee wenu walivuka viunzi vyote nyinyi hamtaki kabisa kuvumilia hata kidogo!
 
“kumzuia” tatizo liko kwenye lugha mnazotumia sasa sijui kama pia zinaendana na matendo yenu, hauwezi kumzuia mtu mzima, unaweza kumzuia mtoto mdogo na labda mtumwa unayemliki sasa mke from a Christian perspective atleast siyo mtoto wala mtumwa wako …
 
Kama ni ukweli tembea tu barabarani ugonge fuso la mchanga lisambaratike(kinyume chake). Msiba kama msiba panapokuwepo na uwezekano wa kwenda ni lazima mtu aende. Kwani kama shda ni watoto kwa nin hakuenda nao arudi. Hata kama upo kikaz kwanini hukuomba ruhusa uje mpange wote kuliko kumletea orders za mlilo. Pesa unazo kwa nin hukuita mtu wa kwenu aje kukuangalia watoto au hata ungeliwakatia tiket ya ndege waende kwenu kwa cku 3 wife arudi. Achukue kila kitu afu badae ufe kwa presha. It doest make sense hata kidogo. Mda mwingne vaa viatu vyake ndugu yangu msiba na ni mjukuu ulitarajia urudi aende kuandaa msiba mwingne au. Kwani wewe ungelikuja kwa maana hio huo msiba usingelienda ungelibaki na watoto. Hapo umefeli mme wa mfiwa.
 
Back
Top Bottom