Mke adai talaka na kugawana mali kwa kumzuia kutoenda msibani Hadi nitakapo rudi, nimemwambia chukua Kila kitu

Mke adai talaka na kugawana mali kwa kumzuia kutoenda msibani Hadi nitakapo rudi, nimemwambia chukua Kila kitu

hata wewe fikiria mkuu kweli kama hela unazo kusingelishindikana kitu. Tuseme hauna majiran sawa, huna mandugu sawa, huna marafiki sawa, yaan n wewe tu na mke wako na watoto wako wapendwa, hata kukodi mtu akuangalizie watoto ikawa tabu kiongozi. Bora basi hata aende nao ukirudi upitie huko uwachukue urudi nao maisha yaendelee msingefika hapo pa kufanya maamuzi yasiyo na busasa ndugu yangu. Mda mwingne tunajiua wenyewe bro.
Sasa hizo njia mbadala za marafiki, ndugu, mtu wa kukodi ilitakiwa aseme mwanamke baada ya jamaa kuomba siku 3. Sasa kitendo cha mwanamke kwenda moja kwa moja kuachana ndiyo kosa lilipotokea.
 
Hakuna hekima kabisaa mkuu na ndio kinachoangusha ndoa nyingi na ndio maan wengi wao hawapendi /hatupendi kuoa




KATAA NDOA TUPO

KATAA NDOA TUPO

KATAA NDOA TUPO

#TUTAENDELEA KUWEPOšŸ‘Š
Jifanyeni wajinga muoe mkuu, zinaa ni dhambi, dhambi ni mzigo, mshahara ni mauti!
 
Habar wakuu nima mke na watoto 3Niko safarini kikazi,gafla ikatokea dharura nyumbani mke Wangu kafiwa na bibi yake mkoa mwingine akanitaarifa,nikamsihi asubiri ndani ya siku3 ntakua nimerud ila watoto wawe salama,

Mke akagoma akasema hawezi akasubiria Hadi nije haiwezekani lazma ataenda na kama akasema sitaki basi atakaporudi tuachene na tugawane mali kila mtu aendelee na maisha yake,

Nikamwambia kama umenikaidi amri yangu we chukua Kila kitu safisha nyumba nzima usiacha kitu chochote,chukua hati zote za viwanja usiache hata kimoja nkaenda mbali Zaid nikamuonesha nakadi ya bank ilipo inakiasi Cha pesa kidogo kama 10m nikampa namba ya Siri akatoe nazo aende nazo
Kuna kitu hujaeleza na kinaacha maswali, that's why wengi wanakuona jau sana.

Tafadhari. Malizia hicho ulichokiacha
 
Lakini unamzuiaje mtu kwenda kuzika bibi yake jamani? Kama kuna arrangement nzuri ya kuacha watoto hakuna sababu ya kumzuia baada ya siku tatu atakuta wameshazika
...'Arrangement nzuri ya kuacha watoto'... !
Rudia kuisoma topic!
 
1779356356468.gif
 
Hujawahi kugombana na mkeo akatamka maneno tu kwa hasira au wewe ukatamka tu? Huo ni msiba lazima umemgusa na ndio akaongea kwa ukali! Unafikiri hayo maongezi ndio Yameishia hapo kwenye huo ujumbe? Huwezi jua wamevutana muda gani mpaka kaongea vile! Mtu una watoto wa tatu unataka uachike ili ukafanye nini? Mbona hata kama huna ndoa hapa unatumia akili kufikiria!
Mtoa mada ametuficha baadhi ya taarifa
 
Mtoa mada ametuficha baadhi ya taarifa
Watu wengi wanamsupport kwa kuangalia nafasi zao kama wanaume huko makwao bila kuangalia uhalisia! Hii issue ya gender imekuwa na ubinafsi usio wa kawaida! Kuna kitu..
 
Habar wakuu nima mke na watoto 3Niko safarini kikazi,gafla ikatokea dharura nyumbani mke Wangu kafiwa na bibi yake mkoa mwingine akanitaarifa,nikamsihi asubiri ndani ya siku3 ntakua nimerud ila watoto wawe salama,

Mke akagoma akasema hawezi akasubiria Hadi nije haiwezekani lazma ataenda na kama akasema sitaki basi atakaporudi tuachene na tugawane mali kila mtu aendelee na maisha yake,

Nikamwambia kama umenikaidi amri yangu we chukua Kila kitu safisha nyumba nzima usiacha kitu chochote,chukua hati zote za viwanja usiache hata kimoja nkaenda mbali Zaid nikamuonesha nakadi ya bank ilipo inakiasi Cha pesa kidogo kama 10m nikampa namba ya Siri akatoe nazo aende nazo
Chai
 
Back
Top Bottom