hata wewe fikiria mkuu kweli kama hela unazo kusingelishindikana kitu. Tuseme hauna majiran sawa, huna mandugu sawa, huna marafiki sawa, yaan n wewe tu na mke wako na watoto wako wapendwa, hata kukodi mtu akuangalizie watoto ikawa tabu kiongozi. Bora basi hata aende nao ukirudi upitie huko uwachukue urudi nao maisha yaendelee msingefika hapo pa kufanya maamuzi yasiyo na busasa ndugu yangu. Mda mwingne tunajiua wenyewe bro.Yaan nife sababu mke kachukua Kila kitu siufala uo,kwamba mtu akishakufa maisha hayaendelei