Mke adai talaka na kugawana mali kwa kumzuia kutoenda msibani Hadi nitakapo rudi, nimemwambia chukua Kila kitu

Habar wakuu nima mke na watoto 3Niko safarini kikazi,gafla ikatokea dharura nyumbani mke Wangu kafiwa na bibi yake mkoa mwingine akanitaarifa,nikamsihi asubiri ndani ya siku3 ntakua nimerud ila watoto wawe salama,

Mke akagoma akasema hawezi akasubiria Hadi nije haiwezekani lazma ataenda na kama akasema sitaki basi atakaporudi tuachene na tugawane mali kila mtu aendelee na maisha yake,

Nikamwambia kama umenikaidi amri yangu we chukua Kila kitu safisha nyumba nzima usiacha kitu chochote,chukua hati zote za viwanja usiache hata kimoja nkaenda mbali Zaid nikamuonesha nakadi ya bank ilipo inakiasi Cha pesa kidogo kama 10m nikampa namba ya Siri akatoe nazo aende nazo
Seran unamuona ambao wanataka kuoa 18 na wao wakiwa 23? Mke anatoa Taarifa na wala si kuomba ruhusa.
 
Hivi kwanini munaoa? Nawashangaa sana.. Tumia nguvu kulea wanao.. Wanaweka wa sasa amechanganyikiwa.. Sababu dunia imefika ukingoni
 
Habar wakuu nima mke na watoto 3Niko safarini kikazi,gafla ikatokea dharura nyumbani mke Wangu kafiwa na bibi yake mkoa mwingine akanitaarifa,nikamsihi asubiri ndani ya siku3 ntakua nimerud ila watoto wawe salama,

Mke akagoma akasema hawezi akasubiria Hadi nije haiwezekani lazma ataenda na kama akasema sitaki basi atakaporudi tuachene na tugawane mali kila mtu aendelee na maisha yake,

Nikamwambia kama umenikaidi amri yangu we chukua Kila kitu safisha nyumba nzima usiacha kitu chochote,chukua hati zote za viwanja usiache hata kimoja nkaenda mbali Zaid nikamuonesha nakadi ya bank ilipo inakiasi Cha pesa kidogo kama 10m nikampa namba ya Siri akatoe nazo aende nazo
Yeah 👏👏 Hongera brother hayo ndy mamuzi ya kiume life is to short.
 
Gentleman,
ukiona mke wako anakuonyesha kiburi hivyo, ujue nyuma ya hicho kiburi kuna mchepuko unakipa nguvu na jeuri zaidi.

In fact,
umetumia surrender tactic vizuri sana gentleman, na umempa ushindi utakaomtikisa kisaikolojia na kujitafakari zaidi juu ya jeuri hiyo ya kulazimisha kwenda kuzika mkoani hali yakua msiba hua hauishi, anaweza kwenda kuhani hata mwaka ujao.

Hivi kweli kufiwa na bibi tu , kunaweza kumsababisha afosi kuiacha nyumba yake na watoto wadogo na kulazimisha kwenda kuzika tu? Hakuna kitu behind the scene kinachomfosi?

No, kuna kitu kingine gentleman ,amepanga kwenda kufanya huko kwa kisingizio cha kwenda kuzika ndio maana analazimisha hivyo.

Na,
Gentleman,
hebu jaribu kama vile nawe unataka kuambatana nae kumsindikiza kwenda huko mkoani mazishini kumzika huyo bibi yake, halafu utagundua kitu, anaweza kuahirisha, kwasababu utakua tayari umeinterfear mipango yake ovu alikua ameikusudia katika ipindi hicho cha msiba.

Pole sana gentleman na hongera kwa ujasiri,
Kumbuka,
wanamke mjinga anaivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
Tuishi nao kwa akili 🐒
Mkuu Kuna time unakuwa smart 🤓👏 big point.
 
Habar wakuu nima mke na watoto 3Niko safarini kikazi,gafla ikatokea dharura nyumbani mke Wangu kafiwa na bibi yake mkoa mwingine akanitaarifa,nikamsihi asubiri ndani ya siku3 ntakua nimerud ila watoto wawe salama,

Mke akagoma akasema hawezi akasubiria Hadi nije haiwezekani lazma ataenda na kama akasema sitaki basi atakaporudi tuachene na tugawane mali kila mtu aendelee na maisha yake,

Nikamwambia kama umenikaidi amri yangu we chukua Kila kitu safisha nyumba nzima usiacha kitu chochote,chukua hati zote za viwanja usiache hata kimoja nkaenda mbali Zaid nikamuonesha nakadi ya bank ilipo inakiasi Cha pesa kidogo kama 10m nikampa namba ya Siri akatoe nazo aende nazo
Wewe huyo...
Kirahisi rahisi hivi ...eti hadi kadibya bank na sirio namba..
Aisee......
 
Baada ya kufanya uchunguzi wangu kwa muda mrefu nimekuja kugundua why sku izi ndoa especialy za vijana hazidumu

Nikaja pata jibu moja vijana wengi especially wakiume wanataka kuishi na wake zao kama baba na mama zao walivyo ishi.
Wazee wetu walikua ni wakora na wakoroni walikua wanaamua kila kitu katika familia sasa kwa miaka iyo mama zetu walikua waskivu na walikua hawapendi marumbano so walikubari kuishi adi leo wazazi wetu wanazeekea kwa ndoa

Sasa vijana wa leo wanataka yale maisha wazazi wao waliishi na wao wanataka waishi na wake zako kitu ambacho niki gumu sana
 
Kwamba ashikilie msimamo wa kuachana na mke wake? Ili iweje?
Kanuni ya kwanza kwa mwanmke kwenye ndoa ni utii,maelezo ya kwa nini umeniambia hivyo ni badaye.Hadi mume wake anamwambie hivyo ujue naye amisha pima uzito wa mambo mengi na yamkini ana sababu zake pia.
Wewe kama mwanamke kulazimisha kwenda against hiyo ni kutafuta migogoro zaidi.so,unaweza pima mwenyewe kwa akili zako ni kipi bora.
 
Dahh wanaume wa sikuhizi mnajishaua sana! Sasa si watu wataachana kila kukicha maana mwanamke mara nyingi akiongea neno ni kinyume ya anachokimaanisha!
Dada una vituko kauli wanazozungmza wanawake wakati wana hasira huwa zina ukweli wote,na kuna kauli unaweza zivumilia kwenye mahusiano sio kauli za kuachana.

Just imagine utapata wapi hisia au credibility ya kuendelea kuishi na mtu amabye ametishia muachane.Ukiwekea sumu utakuja mlaumu nani.

Ndoa,Mapenzi na mahusiano ni makubaliano iwapo moja wenu akatamka neno kuachana jua halijaja bahati mbaya kinywani mwake na ni hatari kuwndelea kuishi na mwanamke au mwanamume aliyekutamkia hivyo
 
Seran unamuona ambao wanataka kuoa 18 na wao wakiwa 23? Mke anatoa Taarifa na wala si kuomba ruhusa.
Nimemuona na vidonge vyake nishampa! Yaani hawa ndio wanaoa mwanamke asiye na ndoto wala lolote zaidi ya kupikia na kufulia mume! Hawajui kama hawa pia ni viumbe ambao wana maisha yao nje ya ndoa kiujumla! Unapomchukua mwanamke na kummiliki haimaanishi hatakiwi kushiriki mambo mengine ya kijamii kwa sababu wewe unamzuia! Ni kumnyima haki yake ya uhuru na machaguzi!
 
Kanuni ya kwanza kwa mwanmke kwenye ndoa ni utii,maelezo ya kwa nini umeniambia hivyo ni badaye.Hadi mume wake anamwambie hivyo ujue naye amisha pima uzito wa mambo mengi na yamkini ana sababu zake pia.
Wewe kama mwanamke kulazimisha kwenda against hiyo ni kutafuta migogoro zaidi.so,unaweza pima mwenyewe kwa akili zako ni kipi bora.
Utii haujavuka mipaka kama unavyotetea hapa, kwamba mwanaume akiniambia nichinje mtoto nitii kwa sababu nimeumbwa kutii? Hebu chekecha vizuri urudi na point yenye mashiko!
 
Dada una vituko kauli wanazozungmza wanawake wakati wana hasira huwa zina ukweli wote,na kuna kauli unaweza zivumilia kwenye mahusiano sio kauli za kuachana.

Just imagine utapata wapi hisia au credibility ya kuendelea kuishi na mtu amabye ametishia muachane.Ukiwekea sumu utakuja mlaumu nani.

Ndoa,Mapenzi na mahusiano ni makubaliano iwapo moja wenu akatamka neno kuachana jua halijaja bahati mbaya kinywani mwake na ni hatari kuwndelea kuishi na mwanamke au mwanamume aliyekutamkia hivyo
Basi mtaachana sana vijana wa karne hii! Unafikiri mwanamke ni tahira tu anakurupuka kusema neno bila kuchoshwa na vitendo vyako?
 
hata wewe fikiria mkuu kweli kama hela unazo kusingelishindikana kitu. Tuseme hauna majiran sawa, huna mandugu sawa, huna marafiki sawa, yaan n wewe tu na mke wako na watoto wako wapendwa, hata kukodi mtu akuangalizie watoto ikawa tabu kiongozi. Bora basi hata aende nao ukirudi upitie huko uwachukue urudi nao maisha yaendelee msingefika hapo pa kufanya maamuzi yasiyo na busasa ndugu yangu. Mda mwingne tunajiua wenyewe bro.
Just imagine unaishi ww na mke na watotowako pekee mpo Dar es salaa umepata janga kama hilo ni rafiki au jirani gani utamwamini umwachie watoto,katika nyakati hizi.Huyo ndugu naye ni mpaka umuandae aje hapo tayari siku 2-3 zimisha katika hapo ni sawa angamsubiri tu jamaa arudi.

Bado kuna maeneo mwngine kwenda msibani na watoto ni zaidi ya hatari,mfano sisi vijijini kwetu kwenye msiba ndio watu wanawekeana sumu-utaanzaje kuwalinda watoto 3 wote wakati wa msiba.

Sisemi sana but hadi jamaa kufikia hayo maamuzi ya kumwambia mke wake amusibiri kuna factors nyingi kazingatia.
 
Basi mtaachana sana vijana wa karne hii! Unafikiri mwanamke ni tahira tu anakurupuka kusema neno bila kuchoshwa na vitendo vyako?
Wanawake wengi wanafanya maamuzi kihisia sio kwa fact na huo ndio utofauti
 
Humu mnajifanya mnakaza ili kwa ground ukute you are tearing apart with intent of wanting her back. Wanaume wenzangu tusife na tai shingoni kisa uanaume.
 
Baada ya kufanya uchunguzi wangu kwa muda mrefu nimekuja kugundua why sku izi ndoa especialy za vijana hazidumu

Nikaja pata jibu moja vijana wengi especially wakiume wanataka kuishi na wake zao kama baba na mama zao walivyo ishi.
Wazee wetu walikua ni wakora na wakoroni walikua wanaamua kila kitu katika familia sasa kwa miaka iyo mama zetu walikua waskivu na walikua hawapendi marumbano so walikubari kuishi adi leo wazazi wetu wanazeekea kwa ndoa

Sasa vijana wa leo wanataka yale maisha wazazi wao waliishi na wao wanataka waishi na wake zako kitu ambacho niki gumu sana
Mkuu matendo ya mtu ni jinsi alivyolelewa,wazee wetu huko kijijini tulikuwa tunawaona -sasa unapo kutana na utandawazi ambao umewabadilisha wadada tabia ambazo sio kama zile za Mama yetu ndio shida zinapoanzia.

Upo sahihi kabisa,wanaume bado tuntaka kuishi ki uafrika ilihali wenzetu wanawake wanataka kuishi kimagharibi.
 
Just imagine unaishi ww na mke na watotowako pekee mpo Dar es salaa umepata janga kama hilo ni rafiki au jirani gani utamwamini umwachie watoto,katika nyakati hizi.Huyo ndugu naye ni mpaka umuandae aje hapo tayari siku 2-3 zimisha katika hapo ni sawa angamsubiri tu jamaa arudi.

Bado kuna maeneo mwngine kwenda msibani na watoto ni zaidi ya hatari,mfano sisi vijijini kwetu kwenye msiba ndio watu wanawekeana sumu-utaanzaje kuwalinda watoto 3 wote wakati wa msiba.

Sisemi sana but hadi jamaa kufikia hayo maamuzi ya kumwambia mke wake amusibiri kuna factors nyingi kazingatia.
kuwekeana sumu tena?!? Sa hapo kuna haja gani mtu uhudhurie msiba sasa. Msiba ndo kitu pekee kinachosimamisha mambo yote maishani. Hata serikali,dini zinatambua hilo. Bro kijijini kwenu mnakoekeana sumu ndo wapi tujihadhari ndugu yangu. Ila kulingana na maelezo yake kiuhalisia alifeli. Bibi mtu kwenda kuzika ulete issue hazina mashiko hata kama n wewe fikiria hilo.
 
Hasira hasara, hawa viumbe wanaongozwa na hisia zaidi, tuishi nao kwa akili.
 
Back
Top Bottom