Mke adai talaka na kugawana mali kwa kumzuia kutoenda msibani Hadi nitakapo rudi, nimemwambia chukua Kila kitu

Habar wakuu nima mke na watoto 3Niko safarini kikazi,gafla ikatokea dharura nyumbani mke Wangu kafiwa na bibi yake mkoa mwingine akanitaarifa,nikamsihi asubiri ndani ya siku3 ntakua nimerud ila watoto wawe salama,

Mke akagoma akasema hawezi akasubiria Hadi nije haiwezekani lazma ataenda na kama akasema sitaki basi atakaporudi tuachene na tugawane mali kila mtu aendelee na maisha yake,

Nikamwambia kama umenikaidi amri yangu we chukua Kila kitu safisha nyumba nzima usiacha kitu chochote,chukua hati zote za viwanja usiache hata kimoja nkaenda mbali Zaid nikamuonesha nakadi ya bank ilipo inakiasi Cha pesa kidogo kama 10m nikampa namba ya Siri akatoe nazo aende nazo
Una ukoloni na utemi usiokuwa na maana inaonekana unamnyanyasa sana mkeo na huenda mkeo kakwambia ivo sababu kavumilia mengi kutoka kwako mpaka amechoka moyo
 
Je nikweli ulikua unajali usalama wa watoto au ulijua anaenda kulombwa na ma x wake
 
Ukakosa hata marafiki hapo unapoishi wakuangalizie watoto unakuja na bla bla za ajabu ndugu yangu
 
Habar wakuu nima mke na watoto 3Niko safarini kikazi,gafla ikatokea dharura nyumbani mke Wangu kafiwa na bibi yake mkoa mwingine akanitaarifa,nikamsihi asubiri ndani ya siku3 ntakua nimerud ila watoto wawe salama,

Mke akagoma akasema hawezi akasubiria Hadi nije haiwezekani lazma ataenda na kama akasema sitaki basi atakaporudi tuachene na tugawane mali kila mtu aendelee na maisha yake,

Nikamwambia kama umenikaidi amri yangu we chukua Kila kitu safisha nyumba nzima usiacha kitu chochote,chukua hati zote za viwanja usiache hata kimoja nkaenda mbali Zaid nikamuonesha nakadi ya bank ilipo inakiasi Cha pesa kidogo kama 10m nikampa namba ya Siri akatoe nazo aende nazo
Unadhani kuileta taarifa hii hapa,unasaidia kitu gani?
 
yan wanawake sehem inawapaga kiburi ni kugawana mali na kuachana, ata wiki haijaisha nikasikia redioni jamaa kamnunulia mchumba gari ila hatimiliki ina jina la jamaa, mda si mrefu bint kaanza kubadilika haelewek, ikafikia hatua wanaachana jamaa akachukua tu gari lake........ siku mbili 3 hivi muchumba kapeleka kesi mahakamani anadai arudishiwe mali yake😋........... 😇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani ndoa za siku hizi makibaliano yao km Iran na Trump
 
yan wanawake sehem inawapaga kiburi ni kugawana mali na kuachana, ata wiki haijaisha nikasikia redioni jamaa kamnunulia mchumba gari ila hatimiliki ina jina la jamaa, mda si mrefu bint kaanza kubadilika haelewek, ikafikia hatua wanaachana jamaa akachukua tu gari lake........ siku mbili 3 hivi muchumba kapeleka kesi mahakamani anadai arudishiwe mali yake😋........... 😇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo mchumba hakuona kadi, alafu mchumba unadaiji mali ya mtu mdangaji asiyejielewa.
 
Kama ni ukweli tembea tu barabarani ugonge fuso la mchanga lisambaratike(kinyume chake). Msiba kama msiba panapokuwepo na uwezekano wa kwenda ni lazima mtu aende. Kwani kama shda ni watoto kwa nin hakuenda nao arudi. Hata kama upo kikaz kwanini hukuomba ruhusa uje mpange wote kuliko kumletea orders za mlilo. Pesa unazo kwa nin hukuita mtu wa kwenu aje kukuangalia watoto au hata ungeliwakatia tiket ya ndege waende kwenu kwa cku 3 wife arudi. Achukue kila kitu afu badae ufe kwa presha. It doest make sense hata kidogo. Mda mwingne vaa viatu vyake ndugu yangu msiba na ni mjukuu ulitarajia urudi aende kuandaa msiba mwingne au. Kwani wewe ungelikuja kwa maana hio huo msiba usingelienda ungelibaki na watoto. Hapo umefeli mme wa mfiwa.
Yaan nife sababu mke kachukua Kila kitu siufala uo,kwamba mtu akishakufa maisha hayaendelei
 
Habar wakuu nima mke na watoto 3Niko safarini kikazi,gafla ikatokea dharura nyumbani mke Wangu kafiwa na bibi yake mkoa mwingine akanitaarifa,nikamsihi asubiri ndani ya siku3 ntakua nimerud ila watoto wawe salama,

Mke akagoma akasema hawezi akasubiria Hadi nije haiwezekani lazma ataenda na kama akasema sitaki basi atakaporudi tuachene na tugawane mali kila mtu aendelee na maisha yake,

Nikamwambia kama umenikaidi amri yangu we chukua Kila kitu safisha nyumba nzima usiacha kitu chochote,chukua hati zote za viwanja usiache hata kimoja nkaenda mbali Zaid nikamuonesha nakadi ya bank ilipo inakiasi Cha pesa kidogo kama 10m nikampa namba ya Siri akatoe nazo aende nazo
Hamna Ndoa hapo. Kuna kutoelewana kulikoanzia mda mrefu sana, mpaka mke anasema direct bila kupepesa macho kuwa tuachane tugawane mali?? Duh. Ishi naye kwa akili
 
Una ukoloni na utemi usiokuwa na maana inaonekana unamnyanyasa sana mkeo na huenda mkeo kakwambia ivo sababu kavumilia mengi kutoka kwako mpaka amechoka moyo
Sijawahi kumyanyasa kwa chochote anapata kitu anachoka anasafiri kokote anataka sijawahi mtu au kumuambia maneno ya kashfa
 
Inaonekana mlikuwa kwenye migogoro muda mrefu au mmojawapo alikuwa na Jambo linalomtatiza chini Kwa chini, nyote mmekosea... Hofu yako ilikuwa watoto, Kwani nyumbani hakuna usaidizi?, au kama hakuna usaidizi kwanini asingeenda nao wote hao watoto?...Kwani utaratibu wenu marehemu anazikwa baada ya siku ngapi?, wewe kusema baada ya siku tatu ina maana ulishapiga hesabu kuwa marehemu atakuwa bado hajazikwa au Kama ni kinyume hapo ulipuyanga kabisa!...Kisa msiba ndo mgawane Mali, nyumba imejaa EGO hiyo Kila mahali.
 
Kama ni ukweli tembea tu barabarani ugonge fuso la mchanga lisambaratike(kinyume chake). Msiba kama msiba panapokuwepo na uwezekano wa kwenda ni lazima mtu aende. Kwani kama shda ni watoto kwa nin hakuenda nao arudi. Hata kama upo kikaz kwanini hukuomba ruhusa uje mpange wote kuliko kumletea orders za mlilo. Pesa unazo kwa nin hukuita mtu wa kwenu aje kukuangalia watoto au hata ungeliwakatia tiket ya ndege waende kwenu kwa cku 3 wife arudi. Achukue kila kitu afu badae ufe kwa presha. It doest make sense hata kidogo. Mda mwingne vaa viatu vyake ndugu yangu msiba na ni mjukuu ulitarajia urudi aende kuandaa msiba mwingne au. Kwani wewe ungelikuja kwa maana hio huo msiba usingelienda ungelibaki na watoto. Hapo umefeli mme wa mfiwa.
Nahisi mara nyingi ni mawasiliano, chemistry inakuwa zero. Huyu jamaa wanaugomvi na mke wake, imeanzia mbali sio hapo tu.

Kwanza mkeo kafiwa why making her uncomfortable? It's like kaamuliwa cha kufanya na msiba ni wake. Kwa hiyo jamaa ana udikteta flan hivi, ila kingine watoto sio issue, kama pesa zipo mbona inawezekana. Mkuu anahisi Bado tupo zama za kale, akatafte submissive women atakaye mnufaisha ego yake
 
Inaonekana mlikuwa kwenye migogoro muda mrefu au mmojawapo alikuwa na Jambo linalomtatiza chini Kwa chini, nyote mmekosea... Hofu yako ilikuwa watoto, Kwani nyumbani hakuna usaidizi?, au kama hakuna usaidizi kwanini asingeenda nao wote hao watoto?...Kwani utaratibu wenu marehemu anazikwa baada ya siku ngapi?, wewe kusema baada ya siku tatu ina maana ulishapiga hesabu kuwa marehemu atakuwa bado hajazikwa au Kama ni kinyume hapo ulipuyanga kabisa!...Kisa msiba ndo mgawane Mali, nyumba imejaa EGO hiyo Kila mahali.
Sasa kama mwenyewe kataka mali sinimemuachia chote tafsiri yake alikua yupo ndoani kwa sababu ya mali
 
Back
Top Bottom