Mke aiba namba za siri za mumewe na kujitumia pesa kila mwezi na kujinunulia vocha kila siku. Nimemwambia amwache usiku huu huu

We Ni fala kabisa. Hiyo elfu hamsini kwa mwezi ndio utusumbue wanaume. Tafuteni ela wajinga nyie. Huwenda anahinga na kunywea laki 4 kwa mwezi Alafu alalamikq mke kuchukuq elfu 40.
Mi sijadili ukubwa wa hela bali ubaya na madhara na tafsiri ya tendo husika punga wewe, acha kukurupuka!
 
Umemshauri vizuri mkuu
 
Ngoja "ukue" uyaone vizuri na kwa ukaribu.Ungesimuliwa yote yanayotokea kwenye vyumba vyetu vyenye kuta nne zisizoongea nadhani ungeshikwa wazimu kwa kujishangaza.Muda bado unao.
Sawa, kama tafsiri ya ukubwa ni kuwa bwege basi endeleeni kuwa wakubwa!
 
Sawa, kama tafsiri ya ukubwa ni kuwa bwege basi endeleeni kuwa wakubwa!
Kuna kanuni nyingine za kijinga na kuchefua sana:-
-unanyamazia upumbavu ili maisha yasonge,
-unakaa mbali na unaowapenda ili kutetea uhai wao,
-unakubali dhihaka na fadhaa ili uwapendao waishi/wale,
-unakubali kutolewa uhai wako ili tu kuokoa uhai wa wenzako nk.
 
Akisha mwacha aje akuoe awe anakudinya Sasa. Yaan mwanaumme mzima na mapu.... Mbu yako unatoa ushauri wa kitoto hivyo
 
Yaani vocha tu ndio uvunje ndoa? acheni ujinga watoto,

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Uaminifu huanza kwenye mambo madogo ,
Mwanamke akishindwa kuepuka kuiba senti hata zikiwa nyingi haachi kuiba.
 
Huyo me nadhani bado ni mvulana, wengine tukitoa ten kununua chapati za watu 3 hatuulizi chenji iko wapi.
 


Hii inaonyesha ni jinsi gani hilo jamaa bahili, amuonye na hizo hela ampe cash kila mwezi. Vihela vidogo hivyo.
 
Mimi napita tu
 
Mke wako hawez kuwa mwizi kwa kutumia au kutoa pesa yako, ile ni halali yake na usiporuhusu huo uhalali basi jua atazitafuta kwingine na usirudi hapa kulalama, ila we kama bado ni mchanga kwenye ndoa hayo hauwezi kuyajua.
 
Mke wako hawez kuwa mwizi kwa kutumia au kutoa pesa yako, ile ni halali yake na usiporuhusu huo uhalali basi jua atazitafuta kwingine na usirudi hapa kulalama, ila we kama bado ni mchanga kwenye ndoa hayo hauwezi kuyajua.
Na ukimuendekeza hivyo siku ukiishiwa akakosa pa kuchukua (kuiba) ataenda kugongwa nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…