Kumbe jf lina rundo la mandondo hivi aisee!Kwa akili hizo, huyo mwanamke anamvumilia sana. Jamaa na rafiki yake ni wajinga na umaskini unawasumbua sana. Akili za kitoto na za kimaskini mno.
Sio kweli, zipo familia umlipa mshahara mke wake kila mwezi pasipokuuliza yeye(mke) amepata nini kwenye biashara yake.Na ukimuendekeza hivyo siku ukiishiwa akakosa pa kuchukua (kuiba) ataenda kugongwa nje
Ulitaka akahongwe nje? cha mme wake ni sawa na chakeUaminifu huanza kwenye mambo madogo ,
Mwanamke akishindwa kuepuka kuiba senti hata zikiwa nyingi haachi kuiba.
Sijui watu hawaelewi maana ya mke?Mke wako hawez kuwa mwizi kwa kutumia au kutoa pesa yako, ile ni halali yake na usiporuhusu huo uhalali basi jua atazitafuta kwingine na usirudi hapa kulalama, ila we kama bado ni mchanga kwenye ndoa hayo hauwezi kuyajua.
Hii kesi ukiisoma vizuri haihusu hicho unachoongea. Jifunze kutofautisha hela ambazo mume anampa mkewe mkewe na hela ambazo mke anavizia simu ya mume akijipindua tu inakula kwake.Sio kweli, zipo familia umlipa mshahara mke wake kila mwezi pasipokuuliza yeye(mke) amepata nini kwenye biashara yake.
Ulitaka akahongwe nje? cha mme wake ni sawa na chake
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Achana na ndoa Za watu weweBaada ya kuinasa amekuwa akijirushia 5,000-10,000 mara mbili kila mwezi na muda wa maongezi wa tshs 1,000-2,000 kila siku.
Mume anataka amuache sasa hivi na mimba yake akilalamika kuwa ni mwizi na asiye na shukrani kwani amekuwa akimtunzia ndugu zake na mtoto aliyemkuta kwa miaka mingi tu huku huduma akizitoa.
Lakini pia anadai kuna cases nyingi tu za ye kupoteza hela kila mara bila kuelewa, ingawa alidhani ni yeye mwenyewe tu anazipoteza lkn kwa hali hii anahitimisha kuwa itakuwa ni huyo mke aliyekuwa anamchezea michezo hiyo.
Kwakuwa siku za mwizi ni arobaini amegundua hilo juzi tu baada ya kutumiwa hela ya mtu huku salio likiwa hilo tu, sasa kila akijaribu kutoa anaambiwa salio halitoshi. Alipowapigiwa huduma kwa wateja wakawa wanamwambia mbona umetoa hela mwenyewe. Sasa alipochukua taarifa za miamala ndipo alipokutana na hayo. Mke alikuwa anafuta jumbe zote anazofanya miamala mume asione.
Mimi nimemwambia amwache, tena leo usiku huu huu kwani sio mtu wa kawaida huyo dada.......huwezi kujua ameshamdanganya mangapi na amepanga mangapi dhidi yake! Vipi wadau nimeshauri vibaya?!!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Mimi Kuna siku jirani yangu alikuwa anapigana na mke wake, nikaenda kuamua aiseeh bahati mbaya nikagonga TV yao ikandondoka na kupasuka kioo.
Ugomvi wao ukaishia hapo, wakaungana kuanza kunidai TV yao tokea hapo Huwa siamua kesi za mme na mke
Mengine tumezoea.Sisi wanywa ugimbi tumeshazoea "kuhifadhiwa" fedha zetu tunazorudi nazo kutoka matembezini.Uaminifu huanza kwenye mambo madogo ,
Mwanamke akishindwa kuepuka kuiba senti hata zikiwa nyingi haachi kuiba.
Kwa kuendelea kuishi na zuzu?Ila wanawake wana huruma sana!
Changamoto ni vikoba,bodaboda na wauza gengeWanawake mama wa nyumbani wana mazuri yao na changamoto zao
Mke hawezi kuwa mwizi kwa mme wake, anachochukua ni halali yake, sema huyo au wewe bado ni mvulana akikua ataelewa ninachoongea.Na anatakiwa asimuulize chochote.Hii kesi ukiisoma vizuri haihusu hicho unachoongea. Jifunze kutofautisha hela ambazo mume anampa mkewe mkewe na hela ambazo mke anavizia simu ya mume akijipindua tu inakula kwake.
Pumbavu, Jinga sana wewe.Mke hawezi kuwa mwizi kwa mme wake, anachochukua ni halali yake, sema huyo au wewe bado ni mvulana akikua ataelewa ninachoongea.Na anatakiwa asimuulize chochote.
Mkuu hawa jamaa sijui wanafikiria anticlockwise?!!!!Pumbavu, Jinga sana wewe.
Unaujua umri wangu we punguani?