Mke aiba namba za siri za mumewe na kujitumia pesa kila mwezi na kujinunulia vocha kila siku. Nimemwambia amwache usiku huu huu

Mke aiba namba za siri za mumewe na kujitumia pesa kila mwezi na kujinunulia vocha kila siku. Nimemwambia amwache usiku huu huu

Mke wako hawez kuwa mwizi kwa kutumia au kutoa pesa yako, ile ni halali yake na usiporuhusu huo uhalali basi jua atazitafuta kwingine na usirudi hapa kulalama, ila we kama bado ni mchanga kwenye ndoa hayo hauwezi kuyajua.
Sijui watu hawaelewi maana ya mke?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli, zipo familia umlipa mshahara mke wake kila mwezi pasipokuuliza yeye(mke) amepata nini kwenye biashara yake.
Hii kesi ukiisoma vizuri haihusu hicho unachoongea. Jifunze kutofautisha hela ambazo mume anampa mkewe mkewe na hela ambazo mke anavizia simu ya mume akijipindua tu inakula kwake.
 
Baada ya kuinasa amekuwa akijirushia 5,000-10,000 mara mbili kila mwezi na muda wa maongezi wa tshs 1,000-2,000 kila siku.

Mume anataka amuache sasa hivi na mimba yake akilalamika kuwa ni mwizi na asiye na shukrani kwani amekuwa akimtunzia ndugu zake na mtoto aliyemkuta kwa miaka mingi tu huku huduma akizitoa.

Lakini pia anadai kuna cases nyingi tu za ye kupoteza hela kila mara bila kuelewa, ingawa alidhani ni yeye mwenyewe tu anazipoteza lkn kwa hali hii anahitimisha kuwa itakuwa ni huyo mke aliyekuwa anamchezea michezo hiyo.

Kwakuwa siku za mwizi ni arobaini amegundua hilo juzi tu baada ya kutumiwa hela ya mtu huku salio likiwa hilo tu, sasa kila akijaribu kutoa anaambiwa salio halitoshi. Alipowapigiwa huduma kwa wateja wakawa wanamwambia mbona umetoa hela mwenyewe. Sasa alipochukua taarifa za miamala ndipo alipokutana na hayo. Mke alikuwa anafuta jumbe zote anazofanya miamala mume asione.

Mimi nimemwambia amwache, tena leo usiku huu huu kwani sio mtu wa kawaida huyo dada.......huwezi kujua ameshamdanganya mangapi na amepanga mangapi dhidi yake! Vipi wadau nimeshauri vibaya?!!!!!
Achana na ndoa Za watu wewe
 
Mimi Kuna siku jirani yangu alikuwa anapigana na mke wake, nikaenda kuamua aiseeh bahati mbaya nikagonga TV yao ikandondoka na kupasuka kioo.

Ugomvi wao ukaishia hapo, wakaungana kuanza kunidai TV yao tokea hapo Huwa siamua kesi za mme na mke
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Hii kesi ukiisoma vizuri haihusu hicho unachoongea. Jifunze kutofautisha hela ambazo mume anampa mkewe mkewe na hela ambazo mke anavizia simu ya mume akijipindua tu inakula kwake.
Mke hawezi kuwa mwizi kwa mme wake, anachochukua ni halali yake, sema huyo au wewe bado ni mvulana akikua ataelewa ninachoongea.Na anatakiwa asimuulize chochote.
 
Pumbavu, Jinga sana wewe.
Unaujua umri wangu we punguani?
Mkuu hawa jamaa sijui wanafikiria anticlockwise?!!!!
Yaani kabisa wanaretea wizi wa namna hii, rena jamaa anasema amekuwa akipoteza hela mara kwa mara bila kuelewa sawasawa? Huyo mke ni tabia yake na ni mwizi
 
Back
Top Bottom