Umaskini wa akili kama wako ni mbaya zaidi.Umasikin bana
Fafanua mkuu, hapo huruma iko wapi!Ila wanawake wana huruma sana!
Ila tabia ndiyo nzuri, sio?!!!Kweli Hela ngumu,kaibiwa Kwa muda Gani hivi???
Hata jambazi alianza kuiba kwao kipande cha nyama.Huyu jamaa yako mwambie atafute pesa kuchukuliwa buku kila siku ndio anataka kumuacha?
Na wewe ni mchonganishi unashauri vipi wapenzi waachane?
Mwizi ni mwizi tu..1,000 x 30 = 30,000/=
5,000 x 2 = 10,000/=
Jumla 40,000/= kwa mwezi.
Mshahuri kila mwezi awe anampa mke wake 50,000/= ya matumizi binafsi.
Huwezi muacha mtu kisa cha kingese ivo.
Tatizo sio "ishu" , tatizo ni "Tabia"Baada ya mume kupatana na mkewe kama nakuona sura Yako 😥
Ugomvi wa mke na mume hauingiliwi by the way hiyo issue ni mdogo rahisi kuirekebisha
Wewe WhoWeBe na huyo jamaa yako ambaye ni wewe mwenyewe kupitia mgongo wa jamaa yako just go & check up on your mental health! How come Miamala ya 10,000/= mara mbili kwa mwezi ( a total of 20,000/=) na muda wa maongezi 2,000/= kila siku ( a total of 60,000/=) kwa mke wako kujitumia unakuja ku-raise issue hapa JF To The Home of GT! This is so disrespectful indeed!
We unaweza kuishi na mwizi?Amwache mke wake aje akuoe wewe? Waache na mambo yao, mwambie jamaa yako attafute pesa zaidi.
Tatizo sio kiasi gani, tatizo "Tabia sio sahihi"Dah Wanaume tutafute hela.
Yaani amuache mke kwa 45,000
Manake kwanza ncheke.
Nlidhani anamuacha coz anachapiwa kumbe kujirushi hela.
Na Tabia yake ya wizi?Wanaume wengine mna utindio wa ubongo utaacha wangapi, Kaa chini na mkeo muulize mahitaji yake binafsi mtimizie
Kama kuzuia ujambazi ni uvulana basi Acha niwe mvulana milele!!
Kwa hali hiyo unafikiri hajachepuka mkuu?!!! Ndo dalili zenyewe hizo.
Sababu ya msingi ya kuacha mke ni uzinzi. Haya mengine yanarekebishika.Baada ya kuinasa amekuwa akijirushia 5,000-10,000 mara mbili kila mwezi na muda wa maongezi wa tshs 1,000-2,000 kila siku.
Mume anataka amuache sasa hivi na mimba yake akilalamika kuwa ni mwizi na asiye na shukrani kwani amekuwa akimtunzia ndugu zake na mtoto aliyemkuta kwa miaka mingi tu huku huduma akizitoa.
Lakini pia anadai kuna cases nyingi tu za ye kupoteza hela kila mara bila kuelewa, ingawa alidhani ni yeye mwenyewe tu anazipoteza lkn kwa hali hii anahitimisha kuwa itakuwa ni huyo mke aliyekuwa anamchezea michezo hiyo.
Kwakuwa siku za mwizi ni arobaini amegundua hilo juzi tu baada ya kutumiwa hela ya mtu huku salio likiwa hilo tu, sasa kila akijaribu kutoa anaambiwa salio halitoshi. Alipowapigiwa huduma kwa wateja wakawa wanamwambia mbona umetoa hela mwenyewe. Sasa alipochukua taarifa za miamala ndipo alipokutana na hayo. Mke alikuwa anafuta jumbe zote anazofanya miamala mume asione.
Mimi nimemwambia amwache, tena leo usiku huu huu kwani sio mtu wa kawaida huyo dada.......huwezi kujua ameshamdanganya mangapi na amepanga mangapi dhidi yake! Vipi wadau nimeshauri vibaya?!!!!!
Iwepo nidhamu ya kuomba na sio kujichukulia bila ya ridhaa ya mwenye hela zake.
Wizi ni pale unapochukua kitu ambacho si chako bila ridhaa ya mwenye nacho.
Umlnaposema ni mwizi je alikua anampa vitu hivyo mwanamke anahitaji huduma muhimu zote na zile za ziada kama vocha kuweka kucha kuvaa vizuri kutumia mtandao na vyote hivo vinahitaji pesa kama alikua hampinza kutosha basi acha mwanamke ajichukulie ni zake pia.Baada ya kuinasa amekuwa akijirushia 5,000-10,000 mara mbili kila mwezi na muda wa maongezi wa tshs 1,000-2,000 kila siku.
Mume anataka amuache sasa hivi na mimba yake akilalamika kuwa ni mwizi na asiye na shukrani kwani amekuwa akimtunzia ndugu zake na mtoto aliyemkuta kwa miaka mingi tu huku huduma akizitoa.
Lakini pia anadai kuna cases nyingi tu za ye kupoteza hela kila mara bila kuelewa, ingawa alidhani ni yeye mwenyewe tu anazipoteza lkn kwa hali hii anahitimisha kuwa itakuwa ni huyo mke aliyekuwa anamchezea michezo hiyo.
Kwakuwa siku za mwizi ni arobaini amegundua hilo juzi tu baada ya kutumiwa hela ya mtu huku salio likiwa hilo tu, sasa kila akijaribu kutoa anaambiwa salio halitoshi. Alipowapigiwa huduma kwa wateja wakawa wanamwambia mbona umetoa hela mwenyewe. Sasa alipochukua taarifa za miamala ndipo alipokutana na hayo. Mke alikuwa anafuta jumbe zote anazofanya miamala mume asione.
Mimi nimemwambia amwache, tena leo usiku huu huu kwani sio mtu wa kawaida huyo dada.......huwezi kujua ameshamdanganya mangapi na amepanga mangapi dhidi yake! Vipi wadau nimeshauri vibaya?!!!!!
Pumbavu, Jinga sana wewe.
Unaujua umri wangu we punguani?
Kama ungekuwa na utajiri wa hiyo akili ungekuwa na pesa na usingeanzisha thread ya Tuelfu 50 hela ndogo hivyoUmaskini wa akili kama wako ni mbaya zaidi.
Kwahyo umegeuka mshauri tena wa kushauri kuachana kwenye mapenzi ya watu. Haya mfano wameachana ww ndio utakua mke wa jamaa yako au maana mwanaume kuwa mshauri wa kijinga hizo ni dalili za upinde acha hizo tabiaBaada ya kuinasa amekuwa akijirushia 5,000-10,000 mara mbili kila mwezi na muda wa maongezi wa tshs 1,000-2,000 kila siku.