Mke aiba namba za siri za mumewe na kujitumia pesa kila mwezi na kujinunulia vocha kila siku. Nimemwambia amwache usiku huu huu

Huyu jamaa yako mwambie atafute pesa kuchukuliwa buku kila siku ndio anataka kumuacha?
Na wewe ni mchonganishi unashauri vipi wapenzi waachane?
Hata jambazi alianza kuiba kwao kipande cha nyama.

Tatizo sio "cause" tatizo ni "the effect"

#YNWA
 
Wewe WhoWeBe na huyo jamaa yako ambaye ni wewe mwenyewe kupitia mgongo wa jamaa yako just go & check up on your mental health! How come Miamala ya 10,000/= mara mbili kwa mwezi ( a total of 20,000/=) na muda wa maongezi 2,000/= kila siku ( a total of 60,000/=) kwa mke wako kujitumia unakuja ku-raise issue hapa JF To The Home of GT! This is so disrespectful indeed!

Changamoto sio kiasi, changamoto ni "Tabia"
Leo kaiba buku "Kesho ataiba nini?"

#YNWA
 
Wote Mnaotetea Wizi humu ni WAJINGA # 1

Kutotoa Matumizi kwa mke(kama ni kweli) Ni Ujinga #2

Kuiba ni ujinga # 3

Kushauri Watu waachane ni Ujinga # 4

Kwa ufupi humu 90% ni maandishi ya Kijinga, ambayo ukiyatetea Basi wewe Pia ni mjinga.
Rubish.
 
Baada ya kuinasa amekuwa akijirushia 5,000-10,000 mara mbili kila mwezi na muda wa maongezi wa tshs 1,000-2,000 kila siku.

Mume anataka amuache sasa hivi na mimba yake akilalamika kuwa ni mwizi na asiye na shukrani kwani amekuwa akimtunzia ndugu zake na mtoto aliyemkuta kwa miaka mingi tu huku huduma akizitoa.

Lakini pia anadai kuna cases nyingi tu za ye kupoteza hela kila mara bila kuelewa, ingawa alidhani ni yeye mwenyewe tu anazipoteza lkn kwa hali hii anahitimisha kuwa itakuwa ni huyo mke aliyekuwa anamchezea michezo hiyo.

Kwakuwa siku za mwizi ni arobaini amegundua hilo juzi tu baada ya kutumiwa hela ya mtu huku salio likiwa hilo tu, sasa kila akijaribu kutoa anaambiwa salio halitoshi. Alipowapigiwa huduma kwa wateja wakawa wanamwambia mbona umetoa hela mwenyewe. Sasa alipochukua taarifa za miamala ndipo alipokutana na hayo. Mke alikuwa anafuta jumbe zote anazofanya miamala mume asione.

Mimi nimemwambia amwache, tena leo usiku huu huu kwani sio mtu wa kawaida huyo dada.......huwezi kujua ameshamdanganya mangapi na amepanga mangapi dhidi yake! Vipi wadau nimeshauri vibaya?!!!!!
Sababu ya msingi ya kuacha mke ni uzinzi. Haya mengine yanarekebishika.
Ushauri wako ni batili
 
Iwepo nidhamu ya kuomba na sio kujichukulia bila ya ridhaa ya mwenye hela zake.

Wizi ni pale unapochukua kitu ambacho si chako bila ridhaa ya mwenye nacho.

Mwenye hela zake?!?

Ridhaa ya mwenye nacho?!?

Fortunately huyo mke ndio mwenye kumiliki vyote hapo, Mume na pesa za mume.
 
Baada ya kuinasa amekuwa akijirushia 5,000-10,000 mara mbili kila mwezi na muda wa maongezi wa tshs 1,000-2,000 kila siku.

Mume anataka amuache sasa hivi na mimba yake akilalamika kuwa ni mwizi na asiye na shukrani kwani amekuwa akimtunzia ndugu zake na mtoto aliyemkuta kwa miaka mingi tu huku huduma akizitoa.

Lakini pia anadai kuna cases nyingi tu za ye kupoteza hela kila mara bila kuelewa, ingawa alidhani ni yeye mwenyewe tu anazipoteza lkn kwa hali hii anahitimisha kuwa itakuwa ni huyo mke aliyekuwa anamchezea michezo hiyo.

Kwakuwa siku za mwizi ni arobaini amegundua hilo juzi tu baada ya kutumiwa hela ya mtu huku salio likiwa hilo tu, sasa kila akijaribu kutoa anaambiwa salio halitoshi. Alipowapigiwa huduma kwa wateja wakawa wanamwambia mbona umetoa hela mwenyewe. Sasa alipochukua taarifa za miamala ndipo alipokutana na hayo. Mke alikuwa anafuta jumbe zote anazofanya miamala mume asione.

Mimi nimemwambia amwache, tena leo usiku huu huu kwani sio mtu wa kawaida huyo dada.......huwezi kujua ameshamdanganya mangapi na amepanga mangapi dhidi yake! Vipi wadau nimeshauri vibaya?!!!!!
Umlnaposema ni mwizi je alikua anampa vitu hivyo mwanamke anahitaji huduma muhimu zote na zile za ziada kama vocha kuweka kucha kuvaa vizuri kutumia mtandao na vyote hivo vinahitaji pesa kama alikua hampinza kutosha basi acha mwanamke ajichukulie ni zake pia.
 
Baada ya kuinasa amekuwa akijirushia 5,000-10,000 mara mbili kila mwezi na muda wa maongezi wa tshs 1,000-2,000 kila siku.

Mume anataka amuache sasa hivi na mimba yake akilalamika kuwa ni mwizi na asiye na shukrani kwani amekuwa akimtunzia ndugu zake na mtoto aliyemkuta kwa miaka mingi tu huku huduma akizitoa.

Lakini pia anadai kuna cases nyingi tu za ye kupoteza hela kila mara bila kuelewa, ingawa alidhani ni yeye mwenyewe tu anazipoteza lkn kwa hali hii anahitimisha kuwa itakuwa ni huyo mke aliyekuwa anamchezea michezo hiyo.

Kwakuwa siku za mwizi ni arobaini amegundua hilo juzi tu baada ya kutumiwa hela ya mtu huku salio likiwa hilo tu, sasa kila akijaribu kutoa anaambiwa salio halitoshi. Alipowapigiwa huduma kwa wateja wakawa wanamwambia mbona umetoa hela mwenyewe. Sasa alipochukua taarifa za miamala ndipo alipokutana na hayo. Mke alikuwa anafuta jumbe zote anazofanya miamala mume asione.

Mimi nimemwambia amwache, tena leo usiku huu huu kwani sio mtu wa kawaida huyo dada.......huwezi kujua ameshamdanganya mangapi na amepanga mangapi dhidi yake! Vipi wadau nimeshauri vibaya?!!!!!
Kwahyo umegeuka mshauri tena wa kushauri kuachana kwenye mapenzi ya watu. Haya mfano wameachana ww ndio utakua mke wa jamaa yako au maana mwanaume kuwa mshauri wa kijinga hizo ni dalili za upinde acha hizo tabia
 
Back
Top Bottom