Umri ni namba tu unaweza ukawa na 60+ lakini ukawa zezeta tu kama ulivyojidhihirisha hapo.Pumbavu, Jinga sana wewe.
Unaujua umri wangu we punguani?
Nimejidhihirisha wapi?Umri ni namba tu unaweza ukawa na 60+ lakini ukawa zezeta tu kama ulivyojidhihirisha hapo.
Yaani anamshauri mwenziwe amwache MKEHuyu jamaa yako mwambie atafute pesa kuchukuliwa buku kila siku ndio anataka kumuacha?
Na wewe ni mchonganishi unashauri vipi wapenzi waachane?
Kuna mijitu humu inapinga hii. Eti sababu ni mkeo basi ajichukulie tu anavyotaka.Iwepo nidhamu ya kuomba na sio kujichukulia bila ya ridhaa ya mwenye hela zake.
Wizi ni pale unapochukua kitu ambacho si chako bila ridhaa ya mwenye nacho.
Point kabisa acha hili lijinga lijikute lishauri nasaha..Mke na mume wakigombana chukua jembe kalime. Wakija kupatana wewe nenda shambani ukavune
Nilishasema tangu awali, hii mada haiwahusu mnaofirimbwa!Kwahyo umegeuka mshauri tena wa kushauri kuachana kwenye mapenzi ya watu. Haya mfano wameachana ww ndio utakua mke wa jamaa yako au maana mwanaume kuwa mshauri wa kijinga hizo ni dalili za upinde acha hizo tabia
Dawa sio kutafuta pesa ili hata akiibiwa zibaki zingine. Wala dawa sio kumuacha sababu ya hizo buku buku. Bali dawa ni kuzuia asiibiwe. Amchane tu mkewe kua tabia yake sio poa.Huyu jamaa yako mwambie atafute pesa kuchukuliwa buku kila siku ndio anataka kumuacha?
Na wewe ni mchonganishi unashauri vipi wapenzi waachane?
Avatar yako ni ya KE. Tutafutane nikuonyeshe uvulana wangu.Sasa Haya majibu yako Mbona Kama yanathibitisha huo uvulana?
Kwa mimi sitaki ushauri na muacha muda huo huo6
Ulitaka akahongwe nje? cha mme wake ni sawa na chake
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Anachukua kwa sababu hapewiNa Tabia yake ya wizi?
#YNWA
Ngoja nikuache na matatizo yako ya kijinsia.....pumbaaav wewe!Point kabisa acha hili lijinga lijikute lishauri nasaha..
Una uhakika?!!!Anachukua kwa sababu hapewi
Watu wanajifanya vichwa ngumu sana!Kwenda nje ni tabia ya mtu na hulka.
Hata ukimpa pesa au akawa nazo zake mwenyewe Kama ni mwana kwenda huenda tu kuliwa nje.
Kwa hiyo huo sio utetezi.
Kama anahitaji hela aombe ndio nidhamu na uaminifu lakini kujichukulia ni wizi.