Mke aiba namba za siri za mumewe na kujitumia pesa kila mwezi na kujinunulia vocha kila siku. Nimemwambia amwache usiku huu huu

Mke aiba namba za siri za mumewe na kujitumia pesa kila mwezi na kujinunulia vocha kila siku. Nimemwambia amwache usiku huu huu

Ndege wafananao huruka pamoja.
Kabla ya kuoa ama kuolewa huwa tunajiridhisha kwamba niliyenae ni wa kufanana na mimi.
So,wewe waache hao wanajuana.
Mimi nahisi mwizi kama mwizi
Aliyeuza cheni bandia sijui nini
 
Wizi ni mbaya ila asimwache ajitahidi kulinda password zake.
 
Iwepo nidhamu ya kuomba na sio kujichukulia bila ya ridhaa ya mwenye hela zake.

Wizi ni pale unapochukua kitu ambacho si chako bila ridhaa ya mwenye nacho.
Kuna mijitu humu inapinga hii. Eti sababu ni mkeo basi ajichukulie tu anavyotaka.
 
Kwahyo umegeuka mshauri tena wa kushauri kuachana kwenye mapenzi ya watu. Haya mfano wameachana ww ndio utakua mke wa jamaa yako au maana mwanaume kuwa mshauri wa kijinga hizo ni dalili za upinde acha hizo tabia
Nilishasema tangu awali, hii mada haiwahusu mnaofirimbwa!
 
Huyu jamaa yako mwambie atafute pesa kuchukuliwa buku kila siku ndio anataka kumuacha?
Na wewe ni mchonganishi unashauri vipi wapenzi waachane?
Dawa sio kutafuta pesa ili hata akiibiwa zibaki zingine. Wala dawa sio kumuacha sababu ya hizo buku buku. Bali dawa ni kuzuia asiibiwe. Amchane tu mkewe kua tabia yake sio poa.
 
Ulitaka akahongwe nje? cha mme wake ni sawa na chake

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app



Kwenda nje ni tabia ya mtu na hulka.

Hata ukimpa pesa au akawa nazo zake mwenyewe Kama ni mwana kwenda huenda tu kuliwa nje.

Kwa hiyo huo sio utetezi.

Kama anahitaji hela aombe ndio nidhamu na uaminifu lakini kujichukulia ni wizi.
 
Kwenda nje ni tabia ya mtu na hulka.

Hata ukimpa pesa au akawa nazo zake mwenyewe Kama ni mwana kwenda huenda tu kuliwa nje.

Kwa hiyo huo sio utetezi.

Kama anahitaji hela aombe ndio nidhamu na uaminifu lakini kujichukulia ni wizi.
Watu wanajifanya vichwa ngumu sana!
 
Mi kwangu shida sio ni kiasi gani amepata huyo mke,mi shida yangu ni mwizi huyo! Kuhusu kumuacha au kuendelea nae atajua mwenyewe ila tatizo huyo ni mwizi!
 
Hii sijaelewa kabisa, mfano kwenye account yangu ya benki ukitoa hela either kwenye ATM au SIMbank lazima nipate ujumbe wa kuhakikisha kama hela iliyotolewa nimehusika. Au alikuwa akitumia simu ya mmewe kutoa hela, na huyo jamaa inamaana muda wote yupo nyumbani hiyo simu yake inafanya miamala miwili mpaka mitatu kwa siku kila siku?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom