Mke aliomba talaka tugawane Mali, nilichomfanyia hajawahi kurudia tena

Huyu mwanaMMU anajiita exalioth mwambieni apitie huku, huu Uzi niliuandika baada ya kuguswa na kisa chake
 
Pongezi kaka na pokea mkono wa kongole!!!!!👍🏽
 
Yaani hatari!
 

😂😂😂
Kuoa Mwanamke wa uswahili lazima ujizime Data. 90% ni vichwa panzi.
Alafu asipokua amesoma ndio kabisa
 
Dah! Kuna watu ukiwabeba ni Kama gunia la misumari, hawabebeki kabisa yaan[emoji26]
Nimekoma kwa sasa kwanza hata biashara na wanawake sina kabisa mpaka iwe lazima sana kwa tofauti za kibinaadam na kibiologia na ni very selective siingii popote tu ilimradi
 
Hongera ulitufundishia dogo akapata akili...sisi wanawake usipokaa vzr ukaruhusu mwanya wwt kwny maamuzi yako kama kichwa cha famillia yaani ukalegea ujue badae utajutaaa huwa vichwa vyetu havifai kuachwa huru sana...so u did well
Yah! Sahii kabisa,
Nyie wanawake mnawaamini Watu kirahisi Sana.

Can u imagine mateso yote aliyokua anapitia wife, Kaka ake aliekua anampelekea pesa na mizigo Hakuna alichomsaidia.

Baadae wife ananambia kule kwao,
Shangaz zake walianza kumsimanga sn kua kavunja ndoa yake kwa ujinga wake mwnyw, hawakumtuma wao akaombe kugawana Mali akiwa dukan

Wkt anasema wao ndo walimpa Lile wazo kua tukiachana, lazma tutagawana. Usaliti ule Ulimsababishia asione Tena umuhimu wa kua duniani akataka kujiua Mara 2 maana nyumban wanamsema sn na uku kwangu ndo nmegoma kabisa kumsamehe.

Mwisho wa siku Yamemkuta kila mtu kamsaliti.
 
Kaka nyuzibzako zimekaa kisaikolojia sana aise. Enotional Intelligence at its best.

Ukiamua kumuacha manzi ambae anajiona mdogi na mzuri kwamba watamfata tu. Umekua umeivunja ego boundary yake kikatili mnoo

Najifunza!
Kwanza sikutaka anipande kichwan,
Wao waichodhan Nmeoa kufata umri na uzur, wanasahau nilikua na access na wazur sn Zaid Yake Sema sikuona km wangenifaa kwa ndoa.
 
Nimekoma kwa sasa kwanza hata biashara na wanawake sina kabisa mpaka iwe lazima sana kwa tofauti za kibinaadam na kibiologia na ni very selective siingii popote tu ilimradi
Ha ha ha n.....umekua muoga mno,
Mi wife baada ya kumtoa dukan kabaki kua mama wa nyumbani Hadi leo.

Sema ana mradi wa ngombe wa maziwa na kuuza maji ya kisima anausimamia na kupata Ela binafsi.

Yule kijna ndo lilimkabidhi kijiti,
Anaendesha vzur Lile duka na Hadi nae kaoa ana watoto wengi kuliko hata Mimi[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…