Mke aliomba talaka tugawane Mali, nilichomfanyia hajawahi kurudia tena

Kwa hili naona amejifunza sana..ila bado inabidi usimuamini kwa asilimia zote endelea kumkumbusha asije akajisahau
 
Kwa hili naona amejifunza sana..ila bado inabidi usimuamini kwa asilimia zote endelea kumkumbusha asije akajisahau
Kuna kipind aliomba nimrudishe nikakata,
Mpaka leo kabaki kua mama wa nyumbani,

Sema baada ya kelele nyingi nikamfungulia mradi wa bodaboda za mikataba wanamletea kipande kila siku,akazembea ukapitia changamoto nyingi ukafa.

Sikuhizi anao mradi wa ng'ombe wa maziwa na kuuza maji ya kisima ambao anausimamia mwnyw pale pale nyumbani kwa ajili ya pesa zake ndogo ndogo kujikimu.
 
Kwenye mashangazi ndo panachekeshaa😂😂😂😂
..binti yetu mzuri bado mchanga!🤣 ila we jamaa hao wamama mpk wanaanza izo shombo mbele yako jitafakari huwenda una unakasoro zako lkn hapa tumeskia upande mmoja wa story.
 
Hata Kama ningekua na kasoro zangu,
Hawakutakiwa kunisimanga kwa Maneno yote yale na wanajua nmekwenda kwa ajili ya usuluhishi wa kesi ya wizi wife na kaka ake dukan

Binafs nikishaona msuluhisi keshaanza kua na upande najua kabisa hapa Sina msuluhisi, nmevamia mtumbwi wa vibwego.
 
Hata Kama ningekua na kasoro zangu,
Hawakutakiwa kunisimanga na nmekwenda kwa ajili ya usuluhishi.

Binafs nikishaona msuluhisi keshaanza kua na upande najua kabisa hapa Sina msuluhisi, nmevamia mtumbwi wa vibwego.
Usikanyage tena ukweni/ kwa mashangazi kwanza wao wapo nyumbani
 
Baada ya kumpuuza akajiona mjinga[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…