Mke amuunguza mumewe sehemu za siri na maji ya moto kisa wivu wa kimapenzi

Wewe unampiga mwenzako wakti mwingine bila kosa kabisa au sababu ya Msingi....huku unaenda kulala naye chumba hicho hicho na usingizi fofofo??

Ikifika mahali unalazimika Kumpiga Mke wako ndio akusikie na kukuheshimu basi bora uachane naye tu.

Sasa Mwl yapo ndio basi tena.

Moto mkali sana umeunguza mashine zote Pufumbu na Microphone
 
Kiufupi kiwanda cha uzalishaji kimechomwa moto, mtambo wote vagalanti.
 
Dah mie ndio nimetetemeka! Dah hizi sehemu ziko very sensitive
 
Kanda maalumu ya kipolisi Mara

Sishangai matukio kama hayo kutokea ni kawaida

Piga nikupige (utamaduni wao)
 
One man down!!,usalama wa wanandoa ni mdogo sana,KATAA NDOA heshima kwenu japo mimi tayar ni prisoner but hakuna kitu kinanyima uhuru kama ndoa,kidogo story za simba na yanga zinatupunguzia makali,otherwise ni ngumu kuishi na mtu hujui anawaza,kupanga nin juu yako
 
Hivi bei ya kufuli za chuma ni shilingi ngapi?

Vyema kuanza kulinda vifanyio vyetu sasa kabla havijaunguzwa moto 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…