digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Ndoa ikifikia kupigana ndo isonge mbele hiyo siyo ndoa,ni bora kuachana,namshukuru mungu 10+ years ya ndoa bila hata kofi kwa mke wangu,ikifikia huko ni bora nimwache
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewahi kuunguzwa 1200 au afu tatu lakini?Atapona, kuungua mbona sio issue hata kidogo.
Sasa mkuu, ulitaka akeshe daimaHatari sana unampiga mwanamke then unatangulia kulala duh
Unalala kijeshi chumba Cha silaha kikiwa kimefungwaSasa mkuu, ulitaka akeshe daima