Mke anamnyima mumewe tendo la ndoa, nini kifanyike?

Mwambie aache uzwazwa, ndio maana ananyimwa. Mwanamke akikunyima tafuta mwengine atakaekupa hadi uwe unatosheka!
 
Tatizo ni hii kauli "tendo la ndoa kabla ya ndoa ni dhambi" hii kauli ipigwe chini, piga mzigo kabla ya ndoa ili ujue mambo yake. Tena uchumba uwe wa mda mrefu ili ujue mbivu na mbichi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…