Mke anatoa mashuzi usiku kucha; Kuna madhara ninayoweza kuyapata?

Dr wa Manesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
997
Reaction score
1,220
Naombeni ushauri wadau, si kwa lengo la kumdharirisha mke Bali kusema ukweli ya kinachojiri.

Aisee mke anayaachia mashuzi, kha!!!
Yaani kazi inaanza dakika hiyo hiyo anayofumba macho na inaisha tu pale anapofumbua, yaani asubuhi anapoamka!

Ajabu ni kuwa Kuna wakati unaweza kudhani anayatoa makusudi maana unahisi kabisa anajikama. Utasikia 'pfuuuuuuuuu.....' halafu kama mtu anayezivuta pumzi apate nguvu na balance tena utasikia anamalizia kwa mkupuo, 'pfuu!'. Na Hali ipo hivyo muda wote. Inanishangaza sana. Salama yangu ipo kwenye kulala tu ndo nakuwa sisikii lolote ingawa sipati picha ni kiwango gani Cha hewa chafu nabugia.......maana dah!

Naomba kujua madhara ya kiafya ninayoweza kuyapata katika Hali kama hii wadau. Muwe na asubuhi njema!
 
Kikawaida hata wewe ukilala unajamba maan hewa chafu huwezi kuzuia utazuia mchana usiku ukilala utaiachia tu bila ya wewe kujua, kingine mwambie apunguze kula vyakula vyenye gas nyingi..kama chips
 
Naombeni ushauri wadau, si kwa lengo la kumdharirisha mke Bali kusema ukweli ya kinachojiri.

Aisee mke anayaachia mashuzi, kha!!!
Yaani kazi inaanza dakika hiyo hiyo anayofumba macho na inaisha tu pale anapofumbua, yaani asubuhi anapoamka!

Ajabu ni kuwa Kuna wakati unaweza kudhani anayatoa makusudi maana unahisi kabisa anajikama. Utasikia 'pfuuuuuuuuu.....' halafu kama mtu anayezivuta pumzi apate nguvu na balance tena utasikia anamalizia kwa mkupuo, 'pfuu!'. Na Hali ipo hivyo muda wote. Inanishangaza sana. Salama yangu ipo kwenye kulala tu ndo nakuwa sisikii lolote ingawa sipati picha ni kiwango gani Cha hewa chafu nabugia.......maana dah!

Naomba kujua madhara ya kiafya ninayoweza kuyapata katika Hali kama hii wadau. Muwe na asubuhi njema!
We jamaa kwa akili hizi ilikuwaje ukaoa...na huyo Mke aliyekukubali bila shaka Dishi lake halipo vizuri.
 
Naombeni ushauri wadau, si kwa lengo la kumdharirisha mke Bali kusema ukweli ya kinachojiri.

Aisee mke anayaachia mashuzi, kha!!!
Yaani kazi inaanza dakika hiyo hiyo anayofumba macho na inaisha tu pale anapofumbua, yaani asubuhi anapoamka!

Ajabu ni kuwa Kuna wakati unaweza kudhani anayatoa makusudi maana unahisi kabisa anajikama. Utasikia 'pfuuuuuuuuu.....' halafu kama mtu anayezivuta pumzi apate nguvu na balance tena utasikia anamalizia kwa mkupuo, 'pfuu!'. Na Hali ipo hivyo muda wote. Inanishangaza sana. Salama yangu ipo kwenye kulala tu ndo nakuwa sisikii lolote ingawa sipati picha ni kiwango gani Cha hewa chafu nabugia.......maana dah!

Naomba kujua madhara ya kiafya ninayoweza kuyapata katika Hali kama hii wadau. Muwe na asubuhi njema!
Bw. Mdogo acha uvulana, ungekua mwanaume usingelalamikia huu ujinga. Na watu aina yako ndio mnafanya isemekane sikuhiz kuna wanaume wachache.

Karibu JF.
 
Naombeni ushauri wadau, si kwa lengo la kumdharirisha mke Bali kusema ukweli ya kinachojiri.

Aisee mke anayaachia mashuzi, kha!!!
Yaani kazi inaanza dakika hiyo hiyo anayofumba macho na inaisha tu pale anapofumbua, yaani asubuhi anapoamka!

Ajabu ni kuwa Kuna wakati unaweza kudhani anayatoa makusudi maana unahisi kabisa anajikama. Utasikia 'pfuuuuuuuuu.....' halafu kama mtu anayezivuta pumzi apate nguvu na balance tena utasikia anamalizia kwa mkupuo, 'pfuu!'. Na Hali ipo hivyo muda wote. Inanishangaza sana. Salama yangu ipo kwenye kulala tu ndo nakuwa sisikii lolote ingawa sipati picha ni kiwango gani Cha hewa chafu nabugia.......maana dah!

Naomba kujua madhara ya kiafya ninayoweza kuyapata katika Hali kama hii wadau. Muwe na asubuhi njema!
= kumdhalilisha.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
= kumdhalilisha.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Hii jamii forum ina watu watunga story wengi tu. Ujinga mwingi sana.
1728794664561.png
 
Naombeni ushauri wadau, si kwa lengo la kumdharirisha mke Bali kusema ukweli ya kinachojiri.

Aisee mke anayaachia mashuzi, kha!!!
Yaani kazi inaanza dakika hiyo hiyo anayofumba macho na inaisha tu pale anapofumbua, yaani asubuhi anapoamka!

Ajabu ni kuwa Kuna wakati unaweza kudhani anayatoa makusudi maana unahisi kabisa anajikama. Utasikia 'pfuuuuuuuuu.....' halafu kama mtu anayezivuta pumzi apate nguvu na balance tena utasikia anamalizia kwa mkupuo, 'pfuu!'. Na Hali ipo hivyo muda wote. Inanishangaza sana. Salama yangu ipo kwenye kulala tu ndo nakuwa sisikii lolote ingawa sipati picha ni kiwango gani Cha hewa chafu nabugia.......maana dah!

Naomba kujua madhara ya kiafya ninayoweza kuyapata katika Hali kama hii wadau. Muwe na asubuhi njema!
Tumia dole gumba 👍 kumziba njia ya upepo
 
Back
Top Bottom