Mke anatoa mashuzi usiku kucha; Kuna madhara ninayoweza kuyapata?

Naombeni ushauri wadau, si kwa lengo la kumdharirisha mke Bali kusema ukweli ya kinachojiri.

Aisee mke anayaachia mashuzi, kha!!!
Yaani kazi inaanza dakika hiyo hiyo anayofumba macho na inaisha tu pale anapofumbua, yaani asubuhi anapoamka!

Ajabu ni kuwa Kuna wakati unaweza kudhani anayatoa makusudi maana unahisi kabisa anajikama. Utasikia 'pfuuuuuuuuu.....' halafu kama mtu anayezivuta pumzi apate nguvu na balance tena utasikia anamalizia kwa mkupuo, 'pfuu!'. Na Hali ipo hivyo muda wote. Inanishangaza sana. Salama yangu ipo kwenye kulala tu ndo nakuwa sisikii lolote ingawa sipati picha ni kiwango gani Cha hewa chafu nabugia.......maana dah!

Naomba kujua madhara ya kiafya ninayoweza kuyapata katika Hali kama hii wadau. Muwe na asubuhi njema!
Mwanamke anaekuheshimu hawezi toa mashuzi mbele zako, huyo kashakuona boya ndo maana anafanya huo ujinga kwa kujikamua.
 
Naombeni ushauri wadau, si kwa lengo la kumdharirisha mke Bali kusema ukweli ya kinachojiri.

Aisee mke anayaachia mashuzi, kha!!!
Yaani kazi inaanza dakika hiyo hiyo anayofumba macho na inaisha tu pale anapofumbua, yaani asubuhi anapoamka!

Ajabu ni kuwa Kuna wakati unaweza kudhani anayatoa makusudi maana unahisi kabisa anajikama. Utasikia 'pfuuuuuuuuu.....' halafu kama mtu anayezivuta pumzi apate nguvu na balance tena utasikia anamalizia kwa mkupuo, 'pfuu!'. Na Hali ipo hivyo muda wote. Inanishangaza sana. Salama yangu ipo kwenye kulala tu ndo nakuwa sisikii lolote ingawa sipati picha ni kiwango gani Cha hewa chafu nabugia.......maana dah!

Naomba kujua madhara ya kiafya ninayoweza kuyapata katika Hali kama hii wadau. Muwe na asubuhi njema!
Sasa wewe dokta wa manesi halafu unaogopa vitu vidogo namna hiyo mpe tiba ama mpunguze kula mandondo.
 
lazima uwe mstahimuluvu sana kwenye ndoa,
zile shida na raha za ndoa ni pamoja na hizo sasa, lazima ukubali kuishi nazo.

infact,
hiyo hali haina madhara makubwa kiafya bali inachangamsha ndoa tu chumbani,

hizo ngurumo labda ndio kidogo zina athari kwasababu ni noise pollution gentleman :pulpTRAVOLTA:
Ahsante sana
 
Back
Top Bottom